Wakimbizi 57,000 wamewasili kaskazini mwa Sudan baada ya mashambulizi ya RSF huko Darfur, Kordofan
Watu waliokimbia makazi yao walikumbwa na hali 'mbaya' wakati wa safari yao kuelekea Jimbo la Kaskazini, anasema kamishna wa misaada ya kibinadamu.
Emmanuel Macron kumpokea Volodymyr Zelensky mjini Paris Jumatatu, Novemba 17
Emmanuel Macron atampokea Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky mjini Paris Jumatatu, Novemba 17, kwa ziara inayolenga “kuthibitisha tena kujitolea kwa Ufaransa kwa Ukraine” na “kudumisha kasi ya kazi inayofanywa katika…
Usiyoyajua hotuba tatu za Rais Samia bungeni
Wakati Rais Samia Suluhu Hassan alipolihutubia Bunge la 12, katika Mkutano wa Pili, Aprili 22...
CDC: Afrika inakabiliwa na milipuko mingi ya kipindupindu
Kituo cha kudhibiti magonjwa ya milipuko barani Afrika-Africa CDC kimetangaza kwamba kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 25 iliyopita bara la Afrika linakabiliwa na milipuko mingi ya ugonjwa…
Ukraine: Ukraine yakumbwa na shambulio jipya ‘kubwa’ la Urusi
Shambulio kubwa la kombora na ndege isiyo na rubani ya Urusi katika mji mkuu wa Ukraine leo Ijumaa asubuhi, Novemba 14, limesababisha vifo vya watu wanne na angalau 18 kujeruhiwa,…
Namna ya kujali ngozi kwa urembo wa asili
DAR ES SALAAM; Ngozi ni kiungo muhimu cha mwili kinachohitaji utunzaji wa mara kwa mara, ili kubaki na afya na kuonekana vizuri. Urembo wa asili ni njia nzuri ya kutunza…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55, NOVEMBA 14, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55, NOVEMBA 14, 2025
Afrika Kusini yaruhusu kuingia kwa wakimbizi zaidi ya 150 kutoka Gaza, Palestina
Ndege hiyo ni ya pili kuwasafirisha Wapalestina wanaokimbia mauaji ya halaiki huko Gaza hadi Afrika Kusini
Jarida la Wall Street: Makampuni ya Marekani yalipata mabilioni ya dola kutokana na vita dhidi ya Gaza
Jarida la Wall Street limefichua kwamba vita vya miaka miwili vya Ukanda wa Gaza havikuwa tu janga kubwa la binadamu, bali pia muamala mkubwa wa biashara kwa makampuni ya Marekani…
NMB Mbarali yakabidhi kompyuta shule ya Msingi Vikaye
BENKI ya NMB imekabidhi Kompyuta tano kwa shule ya msingi Vikaye iliyopo kata ya Igava Wilaya ya Mbarali mkoa wa Mbeya. Akizungumza katika makabidhiano hayo, mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa…
Mashariki mwa DRC: Roger Lumbala hakufika katika kesi yake kwa siku ya pili
Kesi ya Roger Lumbala huko Paris imeendelea siku ya Alhamisi, Novemba 13, 2025. Siku ya pili ya kusikilizwa kwa kesi, na kama alivyotangaza siku iliyotangulia, mbabe huyo wa zamani wa…
Tanzania meets Oman, US, Australia envoys to explore investment in carbon trading sector
BELEM, BRAZIL: The Office of the Vice President (OVP) of Tanzania has held bilateral meetings with delegations from Oman, the United States, and Australia as part of Tanzania’s ongoing engagement…
CDC: Afrika inakabiliwa na mlipuko mbaya zaidi wa kipindupindu katika miaka 25
Shirika la Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika (CDC) limetahadharisha kuwa bara la Afrika linakabiliwa na mlipuko mbaya zaidi wa kipindupindu katika kipindi cha robo karne, likifungamanisha ongezeko hilo na miundombinu…
DRC: Jina la Naibu Waziri Mkuu Jean-Pierre Bemba latajwa katika kesi ya Lumbala jijini Paris
Kesi ya Roger Lumbala inaendelea mbele ya Mahakama ya Paris. Akishtakiwa kwa uhalifu wa kivita na kushirikianda na wahalifu, kiongozi huyo wa zamani wa waasi wa Kongo aliwafukuza mawakili wake…
Mastaa waliokutana na cha mtema kuni baada ya kubadili mwonekano
Katika ulimwengu wa umaarufu, sura imekuwa kama kitu cha tofauti na chenye thamani. Watu...
Dr Samia instructs the new PM to serve Tanzania diligently
DODOMA: THE President of the United Republic of Tanzania, Samia Suluhu Hassan, has urged the newly appointed Prime Minister, Dr. Mwigulu Nchemba, to serve citizens with professionalism and integrity to…
TFS, China establish a partnership to promote ecotourism
DODOMA: TANZANIA Forest Service (TFS) has signed a preliminary memorandum of understanding (MoU) between TFS and the Hunan Forestry Department of China, outlining specific areas of cooperation, including joint research,…
Samia orders speedy implementation of all General Elections’ pledges
DODOMA: PRESIDENT Samia Suluhu has instructed the newly sworn-in Prime Minister, Mwigulu Nchemba, to ensure there is a speedy implementation of all the promises made to the Tanzanian citizens during…
Sudan: Serikali inakusudia kukomesha ‘uingiliaji kati wa UAE katika mzozo’
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio, mnamo Novemba 12, alitoa wito wa kusitishwa kwa kuwapa silaha Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) nchini Sudan, nchi iliyokumbwa na…
Diamond na Cristiano Ronaldo kwenye chujio moja
Mshambuliaji wa Al-Nassr FC, Cristiano Ronaldo, 40, ameibua mjadala kuhusu kiwango cha...
Baraza la Haki za Binadamu la UN linapigia kura rasimu ya azimio kuhusu Sudan
Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa leo Ijumaa, litapiga kura katika kikao maalumu kinachojadili mgogoro wa Sudan, kuhusu rasimu ya azimio linalolaani ukiukwaji wa haki za binadamu…
Jumamosi hii Novemba 15, timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars itakuwa dimba la Al Salam, jijini Cairo ikicheza mechi ya kimata…
Jumamosi hii Novemba 15, timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars itakuwa dimba la Al Salam, jijini Cairo ikicheza mechi ya kimataifa ya kirafiki na Kuwait. Mchezo huu utachezwa kuanzia…
TotalEnergies pushes for safer roads for youth
DAR ES SALAAM: TOTAL Energies Marketing Tanzania Limited has reaffirmed its commitment to promote road safety education among young people in the country, aiming to reduce the impact caused by…
Yanayoendelea kwenye ndoa ya Dk Cheni
Mwigizaji na Mwongozaji wa filamu za Bongo, Mahsein Awadhi 'Dk Cheni' amefichua siri ya ndoa...
Afrika yakumbwa na mlipuko wa kipindupindu mbaya zaidi katika miaka 25
Kituo cha kudhibiti na kuzuia magonjwa Afrika (CDC) kimesema bara hilo linakabiliwa na mlipuko mbaya zaidi wa kipindupindu katika kipindi cha robo karne, hali inayochochewa na mifumo dhaifu ya maji…
Mali: Idadi ya wageni wanaotekwa na wanajihadi yazidi kukuwa
Nchini Mali, idadi ya wageni wanaotekwa na wanajihadi imeendelea kukuwa. Shirika lisilo la kiserikali la ACLED, ambalo hufuatilia vitendo vya vurugu katika maeneo ya migogoro duniani kote, linaonyesha kwamba angalau…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55, NOVEMBA 14, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55, NOVEMBA 14, 2025
Maisha ya Hamisa Mobetto katika dunia ya Aziz Ki
Mwaka wake huu. Ndiyo, msanii mrembo na mjasiriamali, Hamisa Mobetto ana kila sababu ya...
LATRA leads transport innovation drive
DAR ES SALAAM: BUS manufacturers, including major vehicle assembly firms, have confirmed plans to showcase new transport-innovation vehicles designed to transform the country’s public transport sector. The Director General of…
CAR: Ujumbe wa kulinda amani wa UM waongezewa muda wa mwaka mmoja
Licha ya kutoridhishwa na Marekani, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Alhamisi, Novemba 13, limeongeza muda wa walinda amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati kwa mwaka…
Patient numbers increase, women lead as Tanzania marks Diabetes Day
DODOMA: THE Ministry of Health has named women as the leading group for diabetes, with health statistics from the DHIS2 collection system for July 2024 to June 2025 showing more…
2,500 kuliamsha kwa siku tatu Rombo Marathoni 2025
WAKATI wanariadha 2,500 wakitarajiwa kushiriki msimu wa nne wa mbio za Rombo Marathon, taarifa njema ni kwamba tofauti na misimu iliyopita safari hii mbio hizo zitafanyika kwa siku tatu mfululizo.
Kesi TFF kumfungia kocha yasimama kwa muda
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam, Kisutu imesimamisha kwa muda usiojulikana usikilizwaji wa kesi ya Kocha Listoni Katabazi dhidi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF), akipinga kusimamishwa…
Ronaldo hatihati kukosa mechi Kombe la Dunia 2026
Mshambuliaji nyota wa Ureno, Cristiano Ronaldo, ana hatari ya kukosekana kwenye mchezo wa...
Bakwata, yalaani vurugu Oktoba 29 yagusia maridhiano, suluhu
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), limesikitishwa na vitendo vya vurugu vilivyotokea...
Mashariki mwa DRC: Kinshasa na AFC/M23 wakisubiri mkataba wa mwisho
Jitihada za upatanishi za Qatar zinaendelea kuharakisha utiaji saini wa makubaliano ya amani kati ya serikali ya Kongo na kundi la kisiasa na kijeshi la AFC/M23. Wajumbe wako Doha, na…
Mwigulu aapishwa kuwa Waziri Mkuu
DODOMA: RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, leo Novemba 14, amemuapisha Waziri Mkuu mteule, Dk. Mwigulu Nchemba, kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa…
Rais Samia Suluhu Hassan ameweka wazi kuwa uteuzi wa Waziri Mkuu, Dkt
Rais Samia Suluhu Hassan ameweka wazi kuwa uteuzi wa Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba umepitia ushindani mkubwa. Unaujua ushindani huo? Msikilize hapa Rais Samia akifafanua. Imeandaliwa na Nifa Omary. Mhariri…
Afrika yashauriwa kuboresha afya kwa akili mnemba
ARUSHA: SERIKALI za Afrika ikiwemo Tanzania, hospitali binafsi na wataalamu wa teknolojia wamehimizwa kushirikiana katika kuunda mikakati ya kitaifa ya huduma za afya zinazotumia akili mnemba, ili kuongeza ufanisi na…
Mwigulu Nchemba sworn in as Tanzania’s Prime Minister
DODOMA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has officially sworn in Mwigulu Nchemba as the new Prime Minister of Tanzania for the first five-year term. President Samia appointed Dr Nchemba as prime…
Kwa nini kutoshiriki Marekani katika kikao cha G20 nchini Afrika Kusini ni hasara kubwa kwa Washington?
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesisitiza kuwa kutohudhuria Wamarekani katika kikao cha G20 ni hasara kubwa kwao.
TRITA seeks solutions to migration challenges facing Tanzania
MWANZA: THE Regional Immigration Training Academy (TRITA) has organized the fifth Migration Management Workshop with the aim of discussing and exchanging experiences on immigration management. The workshop also seeks to…
Great Lakes nations firmly united in seeking everlasting regional peace, security
KINSHASA: THE International Conference on the Great Lakes Region (ICGLR) has been identified as an appropriate platform for seeking lasting solutions to challenges facing member states, particularly issues of peace,…
Kesi TFF kumfungia maisha Kocha Katabazi yasimama kwa muda usiojulikana
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam, Kisutu imesimamisha kwa muda usiojulikana usikilizwaji...
Iran na Uturuki zatilia mkazo kupunguzwa mivutano na kurejeshwa amani na uthabiti katika eneo
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyidd Abbas Araqchi, amefanya mazunguzmo kwa njia ya simu na mwenzake wa Uturuki Hakan Fidan, ambapo wawili hao wamejadili…
Rais Samia Suluhu Hassan amemuapisha Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt
Rais Samia Suluhu Hassan amemuapisha Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma. Kiapo hicho kimehudhuriwa na viongozi waandamizi akiwemo Waziri Mkuu Mstaafu, Kassim Majaliwa. Tazama…
Maiti zingine 51 za Wapalestina waliouliwa shahidi na jeshi la kizayuni zagunduliwa Ghaza
Timu za uokoaji za Palestina katika Ukanda wa Ghaza zimegundua na kufukua maiti zingine 51 za Wapalestina waliouliwa shahidi na jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel.
UN yamchagua Profesa Phoebe Okowa wa Kenya kuwa Jaji wa Mahakama ya ICJ
Katika kura ya kihistoria iliyopigwa Umoja wa Mataifa siku ya Alkhamisi, profesa wa sheria wa Kenya Phoebe Okowa alichaguliwa kuwa jaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), akiibuka mshindi…
Vitisho vya mzayuni vyaifanya serikali ya Al-Jolani ifute maadhimisho ya Kimbunga cha Al-Aqsa
Duru za habari zimeripoti kuwa kongamano la Operesheni ya Muqawama wa Palestina dhidi ya utawala wa kizayuni wa Israel ya Kimbunga cha Al-Aqsa, lililokuwa limepangwa kufanyika katika mji wa Aleppo…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani: EU siyo inayoainisha sheria za kimataifa
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio amesema, nchi yake haitakubali mahubiri yanayotolewa na Umoja wa Ulya EU kuhusu jinsi inavyoendesha shughuli zake za usalama wa taifa na…