Pakistan yaapa kulipiza kisasi kwa Afghanistan
Waziri Mkuu wa Pakistan Shehbaz Sharif amelaani kitendo alichokiita ni cha uchokozi kutoka kwa nchi jirani ya Afghanistan.
Iran mstari wa mbele katika kulinda mazingira ya Bahari ya Kaspi
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran siku zote imekuwa na nafasi athirifu na chanya katika kulinda mazingira ya Bahari ya Kaspi na aina mbalimbali za wanyama, ikiwa ni pamoja na Caspian…
Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) limeitaka Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela kuhakikisha inaendelea …
Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) limeitaka Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela kuhakikisha inaendelea kuboresha mikakati ya mtangamano wa kikanda, hasa katika maeneo ya mipakani, ili…
Rais mkongwe zaidi duniani anataka kuongeza muda wa utawala huku Cameroon ikifanya uchaguzi
Wapinzani wa Biya ni pamoja na msemaji wa zamani wa serikali Issa Tchiroma, 76, ambaye amevuta umati mkubwa wa watu akitaka kusitishwa kwa uongozi wa muda mrefu wa kiongozi huyo…
Bellingham aachwa kwenye kalenda mpya ya Madrid
Mambo yanazidi kwenda mrama kwa kiungo wa Real Madrid, Jude Bellingham, baada ya jina lake...
Barcelona yaitega Man United kwa Rashford
Barcelona imeanza kuitega Man United katika dili la mshambuliaji Marcus Rashford aliyetua...
Mwalwisi ashusha presha Mbeya Kwanza
BAADA ya Mbeya Kwanza kuanza msimu wa 2025-2026 kwa kuchapwa mabao 4-0, dhidi ya Mbuni, kocha mkuu wa kikosi hicho, Maka Mwalwisi amesema licha ya kichapo hicho kikubwa ila bado…
Kocha Gunners ataja mambo mawili
KOCHA Mkuu wa Gunners ya Dodoma, Juma Ikaba amesema mojawapo ya vipaumbele vyake kwa timu hiyo msimu huu, ni kuhakikisha kikosi hicho kinapanda Ligi Kuu Bara msimu wa 2026-2027, japo…
Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini kupitia CCM, Paul Makonda, amewataka waendesha bodaboda na bajaji nchini kutumia nafasi yao ya ku…
Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini kupitia CCM, Paul Makonda, amewataka waendesha bodaboda na bajaji nchini kutumia nafasi yao ya kusafirisha abiria kuhamasisha kura kwa wagombea wa CCM, akiwemo mgombea urais…
Aaron Kalambo aanika malengo mapya
KIPA wa Transit Camp, Aaron Kalambo amesema ni muda sahihi wa kurejesha kiwango chake na timu hiyo ya maafande, baada ya nyota huyo aliyejiunga na kikosi hicho msimu huu, akitokea…
Maguire agomea ofa nono
Harry Maguire yuko tayari kukataa ofa ya mshahara wa pauni 500,000 kwa wiki kutoka Saudi Arabia...
Kapilima ajiweka kando KenGold
ALIYEKUWA Kocha wa KenGold, Omary Kapilima amesema kwa sasa amejiweka kando na timu hiyo iliyoshuka daraja kutoka Ligi Kuu Bara hadi Ligi ya Championship, baada ya kukifundisha kikosi hicho cha…
Mbuni yaandika rekodi mpya Championship
BAADA ya Mbuni kuanza vyema Ligi ya Championship kwa msimu wa 2025-2026, kwa kuifunga Mbeya Kwanza mabao 4-0, Oktoba 10, kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha, timu hiyo…
Israel inadhulumu wafungwa Wapalestina kabla ya kuachiliwa chini ya makubaliano na Hamas, video inaonyesha
Picha zinaonyesha wafungwa wa Kipalestina wakiwa wamefungwa mikono nyuma ya migongo yao, wakilazimishwa kutembea kwenye mstari, wakiwa wamefumba macho, na kuinamisha vichwa vyao chini.
#HABARI: Wakulima na wakazi wa Kijiji cha Kasanda wilayani Kakonko mkoani Kigoma, wamesema ujenzi wa ghala la kuhifadhia chakula…
#HABARI: Wakulima na wakazi wa Kijiji cha Kasanda wilayani Kakonko mkoani Kigoma, wamesema ujenzi wa ghala la kuhifadhia chakula katika kijiji hicho utawanufaisha kwa kiasi kikubwa na kuwasaidia kuongeza thamani…
Mgombea Ubunge Jimbo la Kibamba kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi ( CCM ), Angellah Kairuki amesema akichaguliwa kuwa mbung…
Mgombea Ubunge Jimbo la Kibamba kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi ( CCM ), Angellah Kairuki amesema akichaguliwa kuwa mbunge wa Jimbo hilo, atahakikisha huduma ya maji pamoja na afya…
Rais wa Madagascar anaonya kuhusu ‘jaribio la mapinduzi’ baada ya wanajeshi kujiunga na maandamano
Rais Andry Rajoelina anashutumu vikosi hasimu kwa kujaribu kunyakua mamlaka "kinyume cha sheria na kwa nguvu" baada ya wanajeshi kujiunga na maandamano ya kuipinga serikali katika mji mkuu wa Madagascar.
Mwendokasi Mbagala yaanza majaribio kubeba abiria leo
Ikumbukwe mradi huo utahusisha mabasi 250 ya Kampuni ya Mofat ambayo yatatoa huduma katika njia...
Trump, Sisi kushirikiana kuandaa mkutano wa Gaza huko Sharm el-Sheikh nchini Misri
Misri inasema mkutano huo wa amani utawaleta pamoja viongozi kutoka zaidi ya nchi 20.
Siku ya kisasi, heshima
Fainali ya Ngao ya Jamii Wanawake inayozikutanisha Simba Queens na JKT Queens leo Jumapili...
Wanajeshi wa Madagascar wawasindikiza waandamanaji katika mji mkuu
Ripoti ya televisheni iliyotolewa na vyombo vya habari vya ndani ilionyesha kwamba baadhi ya askari walikuwa wametoka kwenye kambi zao ili kuwaongoza waandamanaji kwenye Uwanja wa May 13, ambao ni…
Mwanga waanza kurejea Gaza baada ya kusitishwa mapigano
Mamia ya wakazi wa Palestina wameendelea kurejea katika maeneo ya kaskazini mwa Gaza, kufuatia...
Photos from Azam TV’s post
Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama Cha Sauti ya Umma(SAU), Majalio Kyara Jana Oktoba 11, 2025, amezuru kaburi la Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere eneo la Mwitongo…
Upinzani wa Côte d’Ivoire waandamana mjini Abidjan
Côte d'Ivoire, taifa lenye watu milioni 32, linatazamiwa kufanya uchaguzi wa rais baada ya wiki mbili.
Uturuki inaunga mkono juhudi zote za kukomesha mauaji ya kimbari ya Israel Gaza: Erdogan
Erdogan anatumai makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya pande mbili yatapelekea amani ya kudumu, utulivu, usalama huko Gaza na maeneo mengine ya Palestina.
Serikali imesema itaendelea kufanya mambo makubwa kwa watu wenye ulemavu ili kuboresha ustawi wao na kuwawezesha kushiriki kikam…
Serikali imesema itaendelea kufanya mambo makubwa kwa watu wenye ulemavu ili kuboresha ustawi wao na kuwawezesha kushiriki kikamilifu katika shughuli za maendeleo. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema hayo Jijini Dar…
UEFA yatangaza kubadili mfumo wa kufuzu Mataifa Ulaya
Shirikisho la Soka Barani Ulaya (UEFA) linafanya mpango mpya wa kufanya hatua za kufuzu kwa...
Wanawake wakijua siri hii, tumekwisha
Siku ambayo wanawake watajua namna ya kutushinda ndio utakuwa mwisho wetu wa kujiona miamba.
Unajengaje maadili kwa mtoto katika dunia inayobadilika kwa kasi?
Bila kuwekeza katika maadili ya watoto wetu leo, kesho tutashuhudia jamii yenye misingi dhaifu...
Haya hapa malezi yanayomjenga mtoto kihisia
Daniel Goleman, mwandishi wa kitabu cha Emotional Intelligence, aliwahi kusema, “Usipomsaidia...
Hosptali ya rufaa ya Mkoa wa Kigoma ya Maweni imetangaza siku tano za matibabu kutoka kwa madaktari bingwa, ikiwa ni mwendelezo …
Hosptali ya rufaa ya Mkoa wa Kigoma ya Maweni imetangaza siku tano za matibabu kutoka kwa madaktari bingwa, ikiwa ni mwendelezo wa mpango wa kila robo ya mwaka kuendesha zoezi…
Usaliti unatosha kuvunja ndoa yako?
Katika nchi nyingi, ikiwa ni pamoja na Tanzania, sheria inatambua usaliti kama moja ya sababu...
Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza limewaelekeza waumini wake kuanza mfungo maalum wa kuombea amani ya …
Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza limewaelekeza waumini wake kuanza mfungo maalum wa kuombea amani ya Tanzania kuanzia Alhamisi, Oktoba 23, 2025, hadi matokeo ya Uchaguzi…
Ndoa inavyoweza kuficha uasherati
Umalaya ni tendo la mtu kuwa na uhusiano wa kimapenzi na watu mbalimbali kwa wakati mmoja...
Sababu mtoto wa kwanza kuwa kiongozi, wa mwisho mdekaji
Suala la umezaliwa wa ngapi huja na matarajio fulani na namna wazazi wanavyohusiana na wewe...
Unaongezaje ladha kwenye uhusiano wako?
Penzi halidumu kwa sababu ya mtu mmoja tu kujitahidi, bali kwa ushirikiano wa kweli kutoka kwa...
Iran yalaani vikali shambulio la Israel kusini mwa Lebanon lililoua watu na kusababisha hasara kubwa
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali mashambulio ya kijeshi yanayofanywa kila mara na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Lebanon…
Ethiopia: Mgogoro wazidi kutokota Amhara
Kwa mujibu wa Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu nchini Ethiopia, watu wengi waliuawa na kujeruhiwa katika siku za hivi karibuni huko Amhara, kaskazini mwa nchi hiyo. Tangu mwaka 2023,…
HAMAS: Tony Blair hakaribishwi kuwa na nafasi yoyote katika uongozi wa Ghaza baada ya vita
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imeonya kwamba Tony Blair hatakaribishwa kuwa na nafasi yoyote ya uendeshaji wa Ghaza kufuatia kuanza kutekelezwa usitishaji vita katika eneo hilo la…
#HABARI: Mgombea Mwenza wa Rais Samia Suluhu Hassan katika kinyang’anyiro cha Urais wa Tanzania katika mwaka huu kupitia Chama c…
#HABARI: Mgombea Mwenza wa Rais Samia Suluhu Hassan katika kinyang'anyiro cha Urais wa Tanzania katika mwaka huu kupitia Chama cha Mapinduzi Dkt.Balozi Emmanuel Nchimbi leo ananya ziara ya siku mbili…
Wanajeshi wa Madagascar waungana na waandamanaji wanaoipinga serikali katika mji mkuu
Baadhi ya makundi ya wanajeshi wa Madagascar yamekaidi amri na kuungana na maelfu ya waandamanaji wanaoipinga serikali, ambao wamekusanyika katika mji mkuu, Antananarivo, huku maandamano ya kupinga utawala wa Rais…
Wanajeshi wa Madagascar waungana na waandamanaji wanaoipinga serikali katika mji mkuu Antananarivo
Baadhi ya makundi ya wanajeshi wa Madagascar yamekaidi amri na kuungana na maelfu ya waandamanaji wanaoipinga serikali, ambao wamekusanyika katika mji mkuu, Antananarivo, huku maandamano ya kupinga utawala wa Rais…
Amerika ya Kusini yagawanyika juu ya kiongozi wa upinzani Venezuela kutunukiwa Tuzo ya Amani ya Nobel
Kutunukiwa Tuzo ya Amani ya Nobel kiongozi wa upinzani nchini Venezuela María Corina Machado kumeibua hisia tofauti katika nchi za Amerika Kusini, huku baadhi ya viongozi wa nchi za eneo…
Wanadiplomasia watatu wa Qatar wafariki katika ajali ya barabarani karibu na Sharm el-Sheikh
Wanadiplomasia watatu wa Qatar wamefariki na wengine wawili kujeruhiwa katika ajali ya gari karibu na kituo cha mapumziko cha Misri cha Sharm el-Sheikh, ambapo mkutano muhimu wa amani wa Gaza…
Afisa mkuu wa Hamas anasema kuachiliwa kwa mateka kutaanza Jumatatu asubuhi
Afisa mkuu wa Hamas ameliambia shirika la habari la Agence France-Presse(AFP) siku ya Jumamosi kwamba zoezi la kuachiliwa kwa mateka 48, wengi wao wakiwa Waisraeli wanaoshikiliwa huko Gaza litaanza Jumatatu…
Misri yathibitisha kongamano la amani kufanyika Jumatatu Sharm El-Sheikh
Rais wa Misri Abdel Fattah Al-Sisi na mwenzake wa Marekani, Donald Trump, hakika wataongoza “mkutano wa kilele wa amani” huko Sharm El-Sheikh siku ya Jumatatu, utakohudhuriwa na “viongozi kutoka zaidi…
Ushelisheli: Tume ya Uchaguzi yamtangaza Patrick Herminie mshindi katika uchaguzi wa urais
Kiongozi wa upinzani Patrick Herminie ameshinda uchaguzi wa urais nchini Ushelisheli kwa asilimia 52.7 ya kura, Tume ya Uchaguzi ya Ushelisheli imetangaza leo Jumapili, Oktoba 12. Imechapishwa: 12/10/2025 – 06:30…
Cameroon: Wapiga kura milioni 8 waitwa kupiga kura kumchagua rais wao
Wapiga kura milioni nane wanapiga kura kumchagua rais wao mpya katika uchaguzi wa duru moja. Kulingana na Elecam, chombo kinachosimamia kuandaa uchaguzi, baadhi ya vituo 31,000 vimepangwa kufunguliwa saa 2:00…
🔴MAGAZETI: SAMIA ASISITIZA NCHI IKO SALAMA
🔴MAGAZETI: SAMIA ASISITIZA NCHI IKO SALAMA.. 12 OKTOBA 2025