🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, OKTOBA 06, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, OKTOBA 06, 2025
Iran yaunga mkono uamuzi wa Palestina juu ya usitishaji vita Gaza; lakini yaonya…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesema itaunga mkono uamuzi wowote wa watu wa Palestina na Muqawama kuhusu pendekezo la kusitisha mapigano Gaza linaloungwa mkono na Marekani, huku ikiionya…
Israel imeidhinisha mpango wa kunyakua ekari za ardhi katika Ukingo wa Magharibi kinyume ya sheria
Israel imeidhinisha mpango mpya wa makazi wa kunyakua ekari tisa za ardhi kutoka kijiji cha Wapalestina cha Kafr Qaddum, mashariki mwa Qalqilya kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi, afisa wa eneo…
Maandamano ya vijana wa Gen Z yaendelea kuripotiwa Madagascar
Nchini Madagascar, maafisa wa usalama, wanatetea uamuzi wao wa kutumia nguvu dhidi ya waandamanaji vijana maarufu kama Gen Z kwa madai kuwa, wanazua vurugu, badala ya kuandamana kwa amani. Imechapishwa:…
Trump anapongeza ‘majadiliano mazuri sana na Hamas’ huku wajumbe wakijiandaa kukutana nchini Misri
Trump anasema ataendelea kufuatilia hali hiyo, akisema kuwa wakati ni muhimu.
Timu ya voliboli ya wanawake ya Iran yatwaa ubingwa wa CAVA 2025
Timu ya voliboli ya wanawake ya Iran iliigaraza Uzbekistan kwenye mashindano ya Kombe la Chalenji ya Wanawake wa Asia ya Kati (CAVA) jana Jumapili na kushinda taji hilo la kieneo…
OTHMAN MASOUD OTHMAN: Anawania urais akitafutwa Maalim Seif ndani yake
Ile siku Othman Masoud Othman, alipoteuliwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, ilikuwa...
Sumaye: Vurugu haziwezi kuiondoa CCM madarakani
Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amesema Chama cha Mapinduzi (CCM), hakiwezi kuondoka...
Sudan: ICC kutoa uamuzi dhidi ya kiongozi wa wanamgambo
Mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC, Jumatatu hii inatazamiwa kutoa uamuzi wake dhidi ya kiongozi wa wanamgambo nchini Sudan anayetuhumiwa kwa makosa ya uhalifu wa kivita na uhalifu…
Hatua kuu kesi ya uhaini ya Lissu, kuanza kusikilizwa leo
Ile siku ambayo Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, alikuwa...
🔴MAGAZETI:HATIMA YA LISSU / FOLZ ANA SAA 24
🔴MAGAZETI:HATIMA YA LISSU / FOLZ ANA SAA 24
#KIPIMAJOTO: Ahadi zinazotolewa katika Kampeni za wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu
#KIPIMAJOTO: Ahadi zinazotolewa katika Kampeni za wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Je, wananchi wanaridhika nazo?
Ufaransa: Rais Macron atangaza baraza jipya la Mawaziri
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, ametangaza Baraza jipya la Mawaziri, litakaloongozwa na Waziri Mkuu Sébastien Lecornu. Imechapishwa: 06/10/2025 – 05:31 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma yanayofuata…
Madagascar: Waandamanaji watuhumiwa kwa kusababisha vurugu
Vyombo vya usalama nchini Madagascar, vimewatuhumu waandamanaji kwa kusababisha vurugu wakati wa maandamano ya tangu juma lililopita, vikisema matumizi ya nguvu walizotumia zilisababishwa na tabia zao. Imechapishwa: 06/10/2025 – 05:20…
Rwanda yaituhumu DRC kwa kukwamisha utekelezwaji wa baadhi ya vipengele muhimu
Nchi ya Rwanda, imeukosoa utawala wa Kinshasa kwa kuendelea kukwamisha utekelezwaji wa baadhi ya vipengele muhimu vya mkataba waliotiliana saini hivi karibuni, utawala wa Kigali ukitoa sababu za kwanini pande…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI …OKTOBA 06, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI ...OKTOBA 06, 2025
Waziri Araghchi: Ulaya ‘imehafifisha’ nafasi yake katika mazungumzo ya siku zijazo ya mpango wa nyuklia wa Iran
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi za Ulaya zimedhoofisha msimamo wao katika mchakato wa kidiplomasia unaolenga kutatua kadhia ya nyuklia ya Iran na…
Hizbullah: Mpango wa Trump wa Gaza unalenga ‘kuisafisha’ Israel
Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Naim Qassem amekosoa mpango wa Rais wa Marekani, Donald Trump kuhusu Gaza, na kuutaja kuwa ni hatua…
Trump atarajia matokeo ya mpango wa amani Gaza wiki hii
Rais wa Marekani Donald Trump amesema anatarajia matokeo wiki hii kutoka katika mazungumzo ya amani yanayoanza leo Jumatatu nchini Misri kuhusu mpango wake wa kumaliza vita vya Gaza.
Bunge la Chad lajiunga na mkondo wa kuondoa ukomo wa mihula ya urais, lamfungulia njia Deby Itno
Bunge la Chad limeidhinisha kwa wingi mkubwa sana wa kura marekebisho ya katiba yanayoondoa ukomo wa mihula ya urais, na kurefusha muda wa kila muhula kutoka miaka mitano hadi saba,…
Ripoti: Mossad ilihusika katika kutekwa nyara na kuuawa aliyekuwa waziri mkuu wa Italia Aldo Moro
Ripoti mpya ya uchunguzi iliyotolewa inaonyesha kuwa shirika la ujasusi la utawala wa kizayuni wa Israel, Mossad ilihusika katika kutekwa nyara na kuuawa Waziri Mkuu wa zamani wa Italia Aldo…
Netanyahu ndiye aliyeamuru kushambuliwa kwa droni meli za msafara wa Sumud bandarini Tunisia
Uchunguzi uliofanywa umebaini kuwa, waziri mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu ndiye aliyetoa idhini ya kufanywa mashambulio ya ndege zisizo na rubani yaliyolenga msafara wa kimataifa wa…
Netanyahu ndiye aliyeamuru kushambuliwa kwa droni meli za msafara wa Sumud zilizotia nanga Tunisia
Uchunguzi uliofanywa umebaini kuwa, waziri mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu ndiye aliyetoa idhini ya kufanywa mashambulio ya ndege zisizo na rubani yaliyolenga msafara wa kimataifa wa…
Putin aonya: Kuipatia Ukraine makombora ya Tomahawk kutavuruga uhusiano wa Russia na Marekani
Rais Vladimir Putin wa Russia amesema ikiwa Marekani itaipatia Ukraine makombora aina ya Tomahawk ili kufanyia mashambulio ya masafa marefu ndani ya Russia, hatua hiyo itapelekea kuvurugika husiano wa Moscow…
Jumatatu, Oktoba 6, 2025
Leo ni Jumatatu tarehe 14 Mehr, 1404 Hijria Shamsia, sawa na tarehe 13 Rabiuthani, 1447 Hijria Qamaria, na inayosadifiana na Oktoba 6, 2025 Miladia.
Kukaribisha madola ya Ulaya jibu la HAMAS kwa mpango wa Trump; nini sababu zake?
Katika hatua iliyoratibiwa, viongozi wa nchi kubwa za Ulaya wamekaribisha jibu la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina (HAMAS) kwa mpango wa Trump kuhusu Gaza.
Syria: Uchaguzi umefanyika kwa usalama bila kuingiliwa
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Syria, Noureddine al-Baba, amesema uchaguzi wa bunge nchini humo umekamilika katika vituo vyote vya kupigia kura bila tukio lolote la kuhatarisha usalama.
Trump: Tayari kuendeleza udhibiti wa silaha na Urusi
Rais wa Marekani Donald Trump aonesha utayari kuendeleza mkataba wa kudhibiti silaha za nyuklia kati ya Marekani na Urusi, kufuatia pendekezo la Rais Vladimir Putin la kuongeza muda wa mkataba…
Wajumbe wa Israeli na Hamas wanajiandaa kwa mazungumzo Misri
Wajumbe wa Israeli na Hamas wanajiandaa kwa mazungumzo ya Misri, huku matumaini ya kusitishwa mapigano Gaza yakiongezeka baada ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kusema huenda kutakuwa na tangazo la kuachiliwa…
Vikosi vya serikali Somalia vimefanikiwa kumaliza mzingiro
Vikosi vya serikali ya Somalia vimefanikiwa kumaliza mzingiro wa saa sita uliofanywa na wapiganaji katika gereza kubwa lililoko karibu na ofisi ya rais jijini Mogadishu, kwa kuwaua washambuliaji wote saba.
Waziri Mkuu mpya wa Ufaransa atangaza Baraza la Mawaziri
Ikiwa takribani mwezi mmoja baada ya kuanguka kwa serikali ya mrengo wa kati-kulia nchini Ufaransa, sehemu ya Baraza jipya la Mawaziri chini ya Waziri Mkuu mpya Sébastien Lecornu imaenza kutangazwa.
06.10.2025 Matangazo ya Mchana
Mazungumzo ya usitishaji vita Gaza yafanyika Misri+++Wanaharakati wa Global Sumud Flotilla walalamikia kuteswa Israel+++Mwenyekiti wa chama cha upinzani cha wananchi CUF nchini Tanzania, Profesa Ibrahim Lipumba ametaka mchakato wa uchaguzi…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 6, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
Ujerumani yajadili na Kabul kuwarejesha wahalifu Afghanistan
Ujerumani yafanya mazungumzo mjini Kabul kuhusu kuwarejesha wahalifu nchini Afghanistan.
Mahakama ilivyowaachia wawili walioua bila kukusudia
Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Tabora, imewaachia huru kwa masharti, watu wawili waliokiri kuua...
Kombe la Dunia 2026 Afrika moto unawaka
Michuano ya Kombe la Dunia 2026 inatarajiwa kuwa ya kihistoria si tu kwa ukubwa wake, bali timu...
Wananchi wataka hatua za ziada kudhibiti tembo
Wananchi wa Kata ya Sakasaka, Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu wameeleza hofu na masikitiko yao...
Chadema walia makada, viongozi wake kukamatwa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeibua kilio cha wanachama na viongozi wao...
Majeraha yamshtua Mikel Arteta Arsenal
Rice ambaye alitolewa dakika ya 78 baada ya kuanguka na kupatiwa matibabu, alifunga bao moja...
#HABARI: Watu 4 wamefariki dunia kwa ugonjwa wa Kipindupidu katika Kaunti ya Narok Nchini Kenya, huku wengine 15 wakilazwa Hospi…
#HABARI: Watu 4 wamefariki dunia kwa ugonjwa wa Kipindupidu katika Kaunti ya Narok Nchini Kenya, huku wengine 15 wakilazwa Hospitalini kutokana na kuumwa ugonjwa huo. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA…
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Warioba amewataka Watanzania kuungana na kauli ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania…
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Warioba amewataka Watanzania kuungana na kauli ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), kupinga vikali juhudi za kulihusisha jeshi hilo na siasa. Akizungumza…
Ayoub aahidi kuondoa changamoto ya maji Chaani
Mgombea ubunge Chaani, Ayoub Mohamed Mahmoud ameahidi kuchimba visima vinane na kuweka matanki...
Wanasayansi waikubali akili unde, wakisisitiza tahadhari
Wanasayansi wametoa tahadhari kuwa matumizi ya akili unde (AI) kama mbadala wa mtaalamu wa...
#HABARI: Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Dr
#HABARI: Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Dr. Janet Lekashingo akizungumza na baadhi ya wamiliki wa Migodi na wachimbaji wa Madini mkoani Ruvuma, amewataka kufuata kanuni za uchimbaji salama wa Madini,…
Sheikh Njalambaha: Waislamu tuitumie sharia mahakamani
Waumini wa dini ya Kiislamu wameshauriwa kutumia sharia za dini yao mahakamani kudai au kuomba...
Miili ya waliouawa Tunduru yazikwa, polisi waendelea na msako
Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma limesema miili ya watu watano waliouawa katika Kijiji cha Wenje,...
Utawala wa Trump waitangaza miji kadhaa kuwa ukanda wa vita
Utawala wa Trump umeutanga mji wa Chicago siku ya Jumapili kuwa eneo la vita, kama sababu ya kuhalalisha upelekaji wa wanajeshi huko dhidi ya matakwa ya maafisa wa ndani wa…
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI OKTOBA 05, 2025 – AHADI ZAENDELEA KUTOLEWA NA WAGOMBEA
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI OKTOBA 05, 2025 - AHADI ZAENDELEA KUTOLEWA NA WAGOMBEA
#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Sauti ya Umma, Bw.Majalio Kyara amesema endapo atash…
#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Sauti ya Umma, Bw.Majalio Kyara amesema endapo atashinda nafasi hiyo na kuingia madakani atarejesha mfumo wa matumizi ya…