Mazungumzo kati ya DRC na waasi wa AFC/M23 yatarajiwa wiki hii
Mazungumzo kati ya serikali ya Jamhuri ya kidemoktrasia ya Congo na waasi wa AFC/M23 wanaoungwa mkono na Rwanda, yanatarajiwa kufanyika wiki hii chini ya upatanishi wa Qatar, kwenye mji wa…
Ulimwengu wa Spoti, Okt 6
Hujambo mpenzi msikilizaji na karibu tuangazie baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbali mbali za dunia.
Kundi la M23 laonekana kujiimarisha mashariki mwa DRC
Waasi wa M23 wanaonekana kuimarisha utawala wao kisiasa na kiuchumi katika maeneo waliyoyateka mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Polepole adaiwa kutekwa, Polisi yasema wanafuatilia
Wakati kukiwepo na taarifa za madai ya kutekwa kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba...
Mazungumzo ya usitishaji vita Gaza yafanyika Misri
Wajumbe wa Hamas wamewasili Misri kushiriki mkutano na wenzao wa Israel, ambao Marekani inatumai utasitisha vita vinavyoendelea katika Ukanda wa Gaza na kuwachiwa mateka wanaoshikiliwa na kundi hilo la wanamgambo.
Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Nyakia Chirukile, amewashauri mafundi ujenzi mkoani Rukwa kuungana kwa pamoja ili kupata elimu zai…
Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Nyakia Chirukile, amewashauri mafundi ujenzi mkoani Rukwa kuungana kwa pamoja ili kupata elimu zaidi inayoendana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia kupitia vyuo vya VETA…
UNHCR imepoteza zaidi ya robo ya wafanyakazi wake mwaka huu
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi (UNHCR) limelazimika kupunguza karibu ajira 5,000 tangu mwanzoni mwa mwaka huu, huku kukiwa na upungufu mkubwa wa ufadhili wa misaada ya kimataifa,…
Chama tawala nchini Japan chamteua mwanamke kuwa Mwenyekiti
Chama tawala nchini Japan cha Liberal Democratic Party (LDP) kimempata kiongozi wake mpya ambaye ni Waziri wa zamani wa Uchumi Sanae Takaichi.
Wataalamu wa magonjwa ya kuambukiza kutoka Hospitali Maalum ya Tiba ya Magonjwa Ambukizi Kibongoto, wakiongozwa na Mkurugenzi wa…
Wataalamu wa magonjwa ya kuambukiza kutoka Hospitali Maalum ya Tiba ya Magonjwa Ambukizi Kibongoto, wakiongozwa na Mkurugenzi wa hospitali hiyo, Dkt. Subi, wamewasili mkoani Ruvuma kwa ajili ya kufanya uchunguzi…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, OKTOBA 06, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, OKTOBA 06, 2025
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Iringa imekutana na Baraza la Mila na Desturi la Wazee wa mkoa huo k…
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Iringa imekutana na Baraza la Mila na Desturi la Wazee wa mkoa huo kwa lengo la kuwajengea uwezo wa kutambua…
Mvutano nchini Ecuador: Rais Noboa atangaza hali ya dharura katika mikoa kumi mipya
Rais wa Ecuador Daniel Noboa ametangaza hali ya hatari katika mikoa kumi kati ya 24 ya nchi hiyo, huku maandamano ya watu wa asili dhidi ya serikali yake yamesababisha kifo…
Mmisri na Mkongo wapambana kumrithi kiongozi wa UNESCO Audrey Azoulay
Baada ya miaka minane ya uongozi wa shirika hilo, Audrey Azoulay anajiandaa kuachia ngazi. Halmashauri Kuu itamchagua mrithi wake leo Jumatatu, Oktoba 6. Wagombea wawili wako katika kinyang’anyiro: Mmisri Khaled…
Tiseza yasajili miradi ya Sh6.18 trilioni ndani ya miezi mitatu
Wakati Serikali ikilenga kutafuta uwekezaji wa Sh36.862 trilioni katika mwaka wa fedha...
Afrika yatikisa Kombe la Dunia U20
Timu tatu kati ya nne za Afrika zimefanikiwa kutinga hatua ya 16 ya Fainali za Kombe la Dunia la Vijana Chini ya Umri wa miaka 20 zinazoendelea nchini Chile.
Kairuki abainisha vipaumbele vyake kwa wananchi wa Saranga, Goba
Mgombea ubunge wa Kibamba kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Angellah Kairuki ameainisha...
Marine Le Pen: Kuvunjwa kwa Bunge la taifa ‘hakuwezi kuepukika kabisa’
Kiongozi wa siasa kali za mrengo wa kulia nchini Ufaransa Marine Le Pen amesema leo Jumatatu kwamba kuvunjwa kwa Bunge la taifa “hakuwezi kuepukika kabisa,” kufuatia kujiuzulu kwa Waziri Mkuu…
#HABARI: Jeshi la Polisi limetoa taarifa kuwa, bado linaendelea kumsubiri Ndg
#HABARI: Jeshi la Polisi limetoa taarifa kuwa, bado linaendelea kumsubiri Ndg. Humphrey Polepole aripoti katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai huku pia likikiri kuona taarifa ya…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55, OKTOBA 06, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55, OKTOBA 06, 2025
#HABARI: Tanzania imeshika nafasi ya pili duniani kwa uzalishaji wa mbaazi ambapo kwa msimu wa mwaka jana imesafirisha takriban…
#HABARI: Tanzania imeshika nafasi ya pili duniani kwa uzalishaji wa mbaazi ambapo kwa msimu wa mwaka jana imesafirisha takriban tani 350,000 kwenda nchini India. Katika msimu wa mwaka huu mbaazi…
Dhamira inayowezekana: kuwapa wateja kipaumbele miaka 25 ijayo
Leo tunapoanza Wiki ya Huduma kwa Wateja ya mwaka 2025 chini ya kauli mbiu “Dhamira...
M 23 waendelea kuimarika huku jitihada za kidiplomasia zikisuasua
Waasi wa M 23 wanaendelea kujiimarisha zaidi kisiasa na kiuchumi, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, licha ya kuwepo kwa mkataba wa kusitisha vita, ambao utekelezwaji wake, unaendelea kusuasua.…
Sébastien Lecornu: ‘Masharti hayakuweza kutimizwa’ ili kuwa Waziri Mkuu
Sébastien Lecornu ambaye amejiuzulu kwene wadhifa wa Waziri mkuu wa Ufaransa amesema kuwa masharti hayakuweza kutimiwza ili kuwa waziri mkuu. Hayo ni baada ya kujiuzu kwenye wadhifa huo Jumatatu, Oktoba…
Panda, shuka za ndoa ya Terry na Toni hadi kutoboa
Nahidha wa zamani wa Chelsea na timu ya taifa ya England, John Terry, 44, kwa sasa unaweza...
Wewe ni mfanyabiashara wa sanaa bunifu na bado haujajisajili katika Baraza la Sanaa Tanzania
Wewe ni mfanyabiashara wa sanaa bunifu na bado haujajisajili katika Baraza la Sanaa Tanzania Unapitwa na mengi, ili kuikuza biashara yako na kuipa thamani kama anavyotueleza Afisa Sanaa na Mkuu…
Mapema mwezi huu viongozi wa mataifa mbalimbali walikutana makao makuu ya Umoja wa Mataifa (UN), jijini New York kwenye mkutano …
Mapema mwezi huu viongozi wa mataifa mbalimbali walikutana makao makuu ya Umoja wa Mataifa (UN), jijini New York kwenye mkutano wa 80 wa UN, huku agenda kuu ikiwa ni kuitambua…
Ujumbe wa Hamas: Mateka walio hai wanaweza kuachiliwa mara moja
Mazungumzo ya kuachiliwa kwa mateka wa Israel na wafungwa wa Kipalestina na usitishwaji vita huko Gaza yamepangwa kuanza leo Jumatatu, Oktoba 6, katika eneo la mapumziko la Bahari Nyekundu la…
Waziri Mkuu wa Ufaransa ajiuzulu chini ya mwezi mmoja
Katika kile kinachoonekana kama kimbunga kipya cha kisiasa nchini Ufaransa, Waziri Mkuu mpya Sébastien Lecornu amejiuzulu siku chache tangu kuteuliwa kushika wadhifa huo, na chini ya mwezi mmoja tangu kuingia…
#HABARI: Wagonjwa sita ambapo ni wanawake wawili na wanaume wanne waliokuwa mahututi wamefariki dunia katika ajali ya moto iliyo…
#HABARI: Wagonjwa sita ambapo ni wanawake wawili na wanaume wanne waliokuwa mahututi wamefariki dunia katika ajali ya moto iliyotokea katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) cha hospitali iliyoko katika mji…
#HABARI: Serikali imewataka wananchi kutumia maji yaliyopimwa ubora kwa sababu ni safi na salama kwa afya
#HABARI: Serikali imewataka wananchi kutumia maji yaliyopimwa ubora kwa sababu ni safi na salama kwa afya. Meneja wa Wakala wa Majisafi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) mkoa wa Shinyanga…
#HABARI: Mgombea wa urais kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameacha gumzo la aina yake katika mikoa ya Kaskazini Tanga, Kilimanjaro…
#HABARI: Mgombea wa urais kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameacha gumzo la aina yake katika mikoa ya Kaskazini Tanga, Kilimanjaro, Arusha, Manyara kutokana na ahadi zake zilizoleta imani kwa wananchi…
Mambo kumi kuhusu Nikki Mbishi
Ni wazi kuwa Nikki Mbishi ni mmoja wa wasanii maarufu wa hip hop kutoka Tanzania ambapo wengi...
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55, OKTOBA 06, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55, OKTOBA 06, 2025
Lissu aibua mapya, kesi yake ya uhaini
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, anayekabiliwa na kesi...
Ndoa za mastaa zilizopenya bila kelele
Kwenye ulimwengu wa burudani, ndoa mara nyingi huwa ni tukio linalovuta macho na masikio ya...
Mastaa hawa wamejiongeza kiaina..
Mastaa Bongo ni wengi. Wako katika fani mbalimbali sanaa na michezo. Kipindi cha nyuma kila...
Waziri Mkuu mpya wa Ufaransa Sebastien Lecornu ajiuzulu
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amekubali hatua ya Waziri wake Mkuu Sebastien Lecornu kutangaza kujiuzulu saa chache baada ya kulitaja baraza lake la Mawaziri kulingana na taarifa kutoka kwa Ofisi…
#VIDEO: Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu tayari amefikishwa kwenye chumba cha Mahakama tay…
#VIDEO: Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu tayari amefikishwa kwenye chumba cha Mahakama tayari kwa kuanza kusikilizwa kwa kesi yake ya uhaini inayomkabili ambapo kama kawaida…
AY, Fid Q kuheshimisha vidume Grammy 2026?
Wakali wa hip hop Bongo, AY na Fid Q wameweka wazi kuwa nyimbo zao zimekubaliwa kuingia katika...
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, OKTOBA 06, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, OKTOBA 06, 2025
#HABARI: Idadi ya waliofariki kutokana na kuporomoka kwa jengo la shule nchini Indonesia imefikia 54, mamlaka imesema, huku waok…
#HABARI: Idadi ya waliofariki kutokana na kuporomoka kwa jengo la shule nchini Indonesia imefikia 54, mamlaka imesema, huku waokoaji wakiendelea kutafuta zaidi ya watu kumi na wawili waliopotea. Mamia ya…
Kamanda wa IRGC: Iran itajibu kwa ukali na nguvu zaidi uchokozi wa maadui
Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Meja Jenerali Mohammad Pakpour amesisitiza kuwa, Jeshi la Iran limejiandaa kikamilifu kutoa jibu thabiti na kali kwa chockochoko tarajiwa za…
Trump amhutubu Netanyahu; Daima una misimamo hasi
Rais wa Marekani, Donald Trump amemkemea vikali Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwa radimali yake hasi kwa jibu 'chanya' la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas kwa…
Dk Dau: Hii ndiyo Udart tuitakayo
Ilikuwa siku ya Alhamisi Oktoba 2, 2025 wakati natoka kuswali swala ya Alasiri katika msikiti...
Familia 1,200 zahama makazi yao kutokana na mafuriko Khartoum, Sudan
Zaidi ya familia 1,200 za Sudan zimefurushwa katika nyumba zao na mafuriko katika mji wa Bahri katika jimbo la Khartoum, Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) lilisema hayo jana Jumapili.
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55, OKTOBA 06, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55, OKTOBA 06, 2025
#HABARI: Hali ilivyo kwenye Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, …
#HABARI: Hali ilivyo kwenye Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam. Powered by #MCHEZOSUPA…
#MEZAHURU: “Matumizi umeme na miundombinu”
#MEZAHURU: “Matumizi umeme na miundombinu”. Tunaangalia juu ya matumizi ya umeme na miundombinu yake, Jinsi uboreshaji ulivyofanywa lakini hali ya wateja kulinda na kuithamini miundombinu ya umeme. Je, unashiriki vipi…
Vikosi vya serikali ya Somalia vimemaliza mzingiro wa saa 6 katika gereza kuu na kuwauwa magaidi 7
Serikali ilisema hakuna raia au afisa wa usalama aliyeuawa katika shambulio hilo la Jumamosi, ambalo lilidaiwa na kundi la wanamgambo wa al-Shabab