Dunia inakabiliwa na chaguo la amani ama vita
Gwaride la kijeshi lilipita mbele ya umati wa watu zaidi ya 50,000 katika Uwanja wa Tiananmen kuadhimisha miaka 80 tangu kumalizika kwa Vita vya Pili vya Dunia, ambavyo kwa upande…
Dira Ya Dunia
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki Source link
‘Walinipiga risasi na kunitelekeza wakidhani nimekufa’ – mmoja wa mateka Tanzania aeleza kilichomkuta
Maelezo ya picha, Edgar Mwakabela alitekwa mwaka jana na kutelekezwa masituni baada ya kupigwa risasi ya kichwa Maelezo kuhusu taarifa Author, Alfred Lasteck Nafasi, BBC, Mbeya Saa 4 zilizopita Tahadhari:…
Amka Na BBC
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
Tetesi za soka Ulaya Jumatano: Marc Guehi akasarishwa na Crystal Palace – Kunani?
Beki wa Crystal Palace Marc Guehi hana nia ya kusaini mkataba mpya baada ya uhamisho wake kwenda Liverpool kuporomoka, Manchester United bado iko tayari kumuuza kipa Andre Onana, Tottenham wanatumai…
Marekani: Trump ataka kupeleka Walinzi wa taifa Chicago, gavana wa Illinois amjia juu
Baada ya Los Angeles na Washington, Donald Trump analenga ngome nyingine ya chama cha Democratic: Chicago, mji mkuu wa Illinois. “Tutaingilia kati” katika mji huo, Rais wa Marekani Donald Trump…
‘Watoto wangu waliungua hadi kufa nikiwaona’
Maelezo kuhusu taarifa Author, Asha Juma Nafasi, BBC, Nairobi Akiripoti kutoka Nairobi Saa 1 iliyopita Florence Amunga ni mama wa makamo ambaye leo anatupambia Waridi wa BBC. Simulizi ya Amunga…
Maelfu ya askari wa akiba wa Israel wanaripoti kazini kabla ya mashambulizi ya Gaza
Maelfu ya askari wa akiba wameanza kuripoti kazini huku jeshi la Israel likiendelea na mashambulizi ya kuiteka Gaza. Mji huo pia uko chini ya mashambulizi makali ya anga na mizinga…
Amka Na BBC
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
Xi apongeza ‘China isioweza kuzuilika’ na kuzindua silaha mpya kuonyesha nguvu yake
Chanzo cha picha, Getty Images Rais wa China Xi Jinping ameonya kwamba ulimwengu unakabiliwa na chaguo kati ya amani au vita wakati akifanya gwaride kubwa zaidi la kijeshi nchini mwake…
Israel yahamasisha askari wa akiba 60,000 kwa vita Gaza
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kupitia ujumbe kwa njia ya video kwa askari hao wa akiba, amesema ni lazima wamalize kile walichokianza katika ukanda wa Gaza, akieleza kuwa jukumu…
China yaadhimisha miaka 80 ya ushindi kwa gwaride la kijeshi
Gwaride hilo limetasfiriwa na wachambuzi kama ishara ya mabadiliko ya nguvu za kisiasa, kiuchumi na kijeshi duniani ambapo China – chini ya uongozi wa Rais Xi Jinping – inajitokeza kama…
Mamlaka Sudan yashughulikia athari za maporomoko ya ardhi
Mamlaka za ndani nchini Sudan, Umoja wa Mataifa na mashirika ya misaada ya kibinadamu yanaendelea kushughulikia athari za maporomoko ya ardhi yaliyotokea katika eneo la milima ya Jebel Marra jimbo…
Juhudi za kutafuta manusura zaidi Afghanistan zinaendelea
Kwa mujibu wa msemaji wa serikali ya Taliban, Zabihullah Mujahid, takwimu hizo zinahusu jimbo la Kunar pekee. Tetemeko hilo, lenye ukubwa wa 6.0 katika kipimo cha Richter, lilitokea usiku wa…
Mapigano mapya Sudan Kusini yasababisha vifo vya watu 14
Msemaji wa jeshi la Sudan Kusini Garang Ateny amesema kuwa wapiganaji kutoka kikosi cha White Army, wanamgambo ambao wapinzani wa Machar wanadai wana uhusiano na chama cha SPLM-IO anachoongoza, walishambulia…
China yaadhimisha miaka 80 tangu kumalizika kwa vita kuu ya pili ya dunia
Rais wa Urusi, Vladmir Putin na mwenzake wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, hivi leo walikuwa wageni waheshima katika sherehe za gwaride kubwa la kijeshi lililoandaliwa na Uchina kwenye mji…
Madagascar imepokea mafuvu matatu ya watu yaliyokuwa yamehifadhiwa Ufaransa
Madagascar imekuwa na maadhimisho ya kupokea mafuvu matatu ya watu, yaliyokuwa yamehifadhiwa nchini Ufaransa kwa miaka 128. Imechapishwa: 03/09/2025 – 05:17 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma…
DRC: Waziri wa Zamani Constant Mutamba ahukumiwa miaka mitatu ya kazi ya kulazimishwa
Waziri wa zamani wa sheria wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Constant Mutamba amehukumiwa siku ya Jumanne, Septemba 2, kifungo cha miaka mitatu ya kazi ya kulazimishwa na marufuku ya…
Macron: ‘Hakuna mashambulizi’ ya Israel yatazuia harakati ya kutambua taifa la Palestina
Macron ameionya Israel dhidi ya “kunyakua” au “kufanya mashambulizi dhidi ya Gaza ,” akithibitisha pamoja na Saudi Arabia uungaji mkono wake wa kutambuliwa kwa taifa la Palestina. Imechapishwa: 03/09/2025 –…
Israel yazidisha maandalizi ya kushambulia Jiji la Gaza
Israel imezidisha maandalizi yake ya kijeshi siku ya Jumanne kwa kuwajumuisha tena maelfu ya askari wa akiba katika safu zake ili kujiandaa na mashambulizi yaliyotangazwa kwenye mji wa Gaza baada…
DRC: Joseph Kabila azungumza kwa mara ya kwanza tangu kuhukimwa kifo
Rais wa zamani wa DRC Joseph Kabila akizungumza kwa mara ya kwanza tangu kuhukumiwa kifo kwa makosa ya uhaini tarehe 22 mwezi Agosti mwaka huu, ameikashifu hukumu hiyo. Imechapishwa: 03/09/2025…
DRC: Joseph Kabila azungumza kwa mara ya tangu kuhukimwa kifo
Rais wa zamani wa DRC Joseph Kabila akizungumza kwa mara ya kwanza tangu kuhukumiwa kifo kwa makosa ya uhaini tarehe 22 mwezi Agosti mwaka huu, ameikashifu hukumu hiyo. Imechapishwa: 03/09/2025…
03.09.2025
DIRA.BZ03.09.20253 Septemba 2025 Waandamanaji wamemiminika kwenye mitaa ya Israel+++Wakati viongozi wa Ulaya wakitarajiwa kukutana hapo kesho mjini Paris kujadili hakikisho la usalama kwa Ukraine+++Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, polisi…
03.09.2025 – Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 03 Septemba 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW Bonn.
03.09.2025 Matangazo ya Mchana
SK2 / S02S03.09.20253 Septemba 2025 Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa China Xi Jinping ameonya kuwa dunia inakabiliwa na uamuzi wa kuchagua amani au vita / Utafiti uliofanywa kwenye…
03.09.2025 Matangazo ya Asubuhi
DIRA.BZ03.09.20253 Septemba 2025 Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Takriban wanajeshi wanne na wanamgambo 10 wameuawa kufuatia mapigano mapya yaliyozuka Sudan Kusini / Wilaya ya Monduli iliyopo mkoani Arusha kaskazini mwa…
Pakistan: Watu 14 wauawa katika shambulizi la kujitoa mhanga kwenye mkutano wa kisiasa wa Baloch
Watu wasiopungua 14 wameuawa Jumanne jioni, Septemba 2, wakati mshambuliaji wa kujitoa mhanga alipojilipua katika mkutano wa kisiasa huko Balochistan, maafisa wawili kutoka mkoa wenye machafuko kusini magharibi mwa Pakistan…
Xi awakaribisha ‘rafiki wa enzi’ Putin, Kim Jong Un Beijing
Kwa mara ya kwanza, Rais wa China Xi Jinping amekutana hadharani na Rais wa Urusi Vladimir Putin na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un mjini Beijing, hatua ambayo wachambuzi…
Nchimbi amtaka Mpina kurudi CCM
02.09.20252 Septemba 2025 Mgombea mwenza wa Chama tawala nchini Tanzania, CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi amemtaka mwanasiasa aliyeenguliwa kwenye nafasi ya kugombea urais kupitia chama cha ACt-Wazalendo Luhaga Mpina, kurejea mara…
Rwanda yaidhinisha sheria ya mama mbeba mimba
Kwa mara ya kwanza katika historia ya taifa la Rwanda, bunge limeidhinisha sheria inayomruhusu mwanamke kubeba mimba kwa niaba ya familia nyingine. Sheria hii inatoa mwanga mpya kwa familia ambazo…
Putin: Ukraine yaweza kujiunga na EU lakini si NATO
Putin ameitoa kauli hiyo Jumanne wakati alipokutana kwa mazungumzo na Waziri Mkuu wa Slovakia Robert Fico mjini Beijing huku akionyesha matumaini kuhusu suala la dhamana ya usalama kwa Ukraine: “Kuna…
Viongozi wa Ulaya kukutana Paris kuijadili Ukraine
Viongozi kadhaa wa Ulaya akiwemo pia rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky watakutana Alhamisi mjini Paris, huku wengine karibu 30 wakishiriki kwa njia ya mtandao katika mazungumzo ya kujadili suala la…
Watu 20 wapotea Indonesia kufuatia maandamano
Maelfu ya Waindonesia waliingia barabarani katika maandamano ya kitaifa ya kupinga marupurupu makubwa kwa wabunge ambayo baadaye yaligeuka kuwa hasira kali ya umma dhidi ya polisi. Machafuko hayo yalimlazimu Rais…
Burkina Faso yaidhinisha sheria ya kupinga ushoga
Waziri wa Sheria Edasso Rodrigue Bayala amesema mtu yeyote atakayepatikana na hatia ya kushiriki katika vitendo vya ushoga au vitendo vinavyofanana atakabiliwa na adhabu ya kifungo cha miaka 2 hadi…
Putin: Ukraine inaweza kujiunga na Umoja wa Ulaya
Akizungumza mjini Beijing wakati wa mazungumzo na Waziri Mkuu wa Slovakia Robert Fico, Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema licha ya Urusi kutokupinga Ukraine kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya,…
Ahadi za wagombea Tanzania na uhalisia wa maisha ya raia
Kampeni za uchaguzi wa urais nchini Tanzania zimeingia katika hatua muhimu huku wagombea 17 kutoka vyama tofauti wakisambaa katika mikoa yote ya nchi hiyo wakitangaza ilani na sera zao. Ikiwa…
Kwanini afisa huyu wa Iran anasema Urusi iliisaidia Israel wakati wa vita na Iran?
Chanzo cha picha, Seenergy.ir Maelezo ya picha, Mohammad Sadr ni mwanadiplomasia mkongwe ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wakati wa enzi ya mageuzi. 1 Septemba 2025 Baada…
Tetemeko la ardhi Afghanistan: Sababu 7 zinazofanya matetemeko kuwa ya maafa
Chanzo cha picha, EPA Dakika 16 zilizopita Tetemeko baya la ardhi lililopiga mashariki mwa Afghanistan Jumapili jioni limeua mamia ya watu, kulingana na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Taliban.…
Kim Jong Un aungana na Putin na Xi gwaride la kijeshi
Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, amesafiri kuelekea Beijing kwa treni maalum kushiriki gwaride kubwa la kijeshi Jumatano, tukio litakalomweka jukwaa moja na Rais wa China Xi Jinping na…
Mkutano wa usalama wa China: Je, wiki hii ni mwanzo mpya wa muungano dhidi ya Marekani?
Chanzo cha picha, EPA Maelezo kuhusu taarifa Author, Alexey Kalmykov Nafasi, BBC News Russian 1 Septemba 2025 Mwezi ni muda mrefu sana katika siasa za ulimwengu. Vladimir Putin yuko China…
Burkina Faso yapitisha sheria ya kupiga marufuku ushoga
Bunge la mpito la Burkina Faso, linaloongozwa na wanajeshi, limepitisha rasmi sheria mpya inayopiga marufuku ushoga, hatua inayoliweka taifa hilo la Afrika Magharibi kwenye orodha ya zaidi ya nusu ya…
Uokoaji waendelea Sudan baada ya maporomoko ya udongo
Tukio hilo la kusikitisha lilitokea Jumapili ya Agosti 31 katika kijiji cha Tarasin katika milima ya Marrah baada ya siku kadhaa za mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika mkoa wa Darfur,…
Watu 31 wauawa Gaza kufuatia mashambulizi ya Israel
Miongoni mwa waliouawa ni watu 10 katika mji wa Gaza ambapo jengo la makazi lililengwa kwa mashambulizi ya anga. Hayo yameelezwa na Mahmoud Bassal, msemaji wa shirika la kiraia katika…
Viongozi wa China, Urusi na Korea Kaskazini kukutana Beijing
Putin, ambaye kwa sasa yuko ziarani nchini China, anatarajiwa kuhudhuria gwaride la kijeshi hapo kesho na mwenyeji wake, Rais Xi Jinping , katika sherehe za kuadhimisha miaka 80 tangu vimalizike…
Ujumbe wa siri wa Vita Baridi ambao ulisababisha ugunduzi wa mabaki ya Titanic
Chanzo cha picha, Getty Images Dakika 24 zilizopita Meli ya Titanic labda ndiyo meli maarufu zaidi katika historia, ambayo bado ina msukumo zaidi ya karne moja baada ya kuzama. Meli…
UN: Ukiukwaji wa haki za binaadamu wakithiri nchini Burundi
Wataalamu hao wa Umoja wa Mataifa wamesema kati ya Januari 2024 na Mei 2025, mashirika ya kiraia ya Burundi yameorodhesha karibu matukio 200 ya unyanyasaji wa kijinsia, ikiwa ni pamoja…
Tetemeko la ardhi Afghanistan: Waliokufa wapindukia 1,400
Watu wengine zaidi ya 3,000 wamejeruhiwa kufuatia tetemeko la ardhi lililopiga katika miji kwenye jimbo la Kunar na mji wa Jalalabad. Tetemeko hilo lenye ukubwa wa 6.0 katika kipimo cha…
Wafghanistani walio hatarini waisihi Ujerumani kuwapa visa
Kundi la takriban Wafghanistani 200 walioko hatarini kutokana na vitisho vya Taliban limeandika barua kwa Kansela wa Ujerumani, Friedrich Merz, wakiomba waruhusiwe kuhamia Ujerumani. Barua hiyo, ambayo shirika la habari…
Mashambulizi ya Israel yawauwa zaidi ya watu 30 Gaza
Msemaji wa Shirika la Kuwatetea raia Ukanda wa Gaza Mahmud Bassal, amesema shambulio moja lililenga jengo linalotumiwa kama makazi ya watu na kuwauwa watu 10 kwenye jiji la Gaza. Shambulio…
Maporomoko ya udongo yaua watu 1,000 Darfur Sudan
Janga hilo lilitokea Jumapili baada ya mvua kubwa kunyesha kwa siku kadhaa na kuathiri vibaya Kijiji cha Tarasin kilichoko eneo la Jebel Marra. Kundi la wanamgambo wa Sudan Liberation Movement…