Baada ya maboresho makubwa yaliyogharimu takriban shilingi bilioni 157.8 na kuongezeka kwa vifaa vya kisasa vya usafirishaji, Bandari ya Mtwara sasa imefikia uwezo wa kuhudumia shehena ya hadi tani milioni 2.5 kwa mwaka.

Kwa sasa, bandari hiyo imepanua huduma zake na imeanza kupokea na kusafirisha mafuta kwenda nje ya nchi, hatua inayoonyesha ukuaji wa biashara na miundombinu ya usafiri wa baharini nchini.

John Kasembe
Mhariri | @claud_jm

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *