#HABARI: Kufuatia uwepo wa baadhi ya vijana kutumia vibaya mitandao ya kijamii wakati huu wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais kwa kutoa lugha za matusi, vijana hao wameonywa kuacha tabia hiyo kwa kuwa kuna maisha baada ya uchaguzi na kukumbuka uwepo wa sheria ya matumizi mabaya ya mtandao.
Kauli hii imetolewa na Mwanasheria na Wakili wa Kujitegemea, James Kasusura
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.