#HABARI: Mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Peramiho Jenista Mhagama, akiimba wimbo wa hamasa na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaounda Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) katika Kata ya Parangu, wakihamasisha kutokuwa na hofu na kushiriki uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.
Jenista Mhagama anaendelea na kampeni za Kijiji kwa Kijiji kunadi Sera za CCM kupitia Ilani ya uchaguzi ya chama hicho na kuomba wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki kwenye uchaguzi mkuu na kumpigia kura ya Ndio Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM; Dkt. Samia Suluhu Hassan, yeye mwenyewe anayegombea nafasi ya Ubunge pamoja na Madiwani wanaogombea nafasi za uongozi kupitia CCM.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.