Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Doto Biteko amewasihi wananchi wa Busanda mkoani Geita kujitokeza kwa wingi siku ya Uchaguzi Mkuu.

Biteko amesema hayo akiwa katika mkutano wa kukamilisha kampeni zake ambao pia aliutumia kumnadi mgombea ubunge wa Jimbo la Busanda, Dk. Jafari Rajabu Seif.

Imeandaliwa na Ester Sumira.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *