Majaribio chanjo mpya ya malaria yaonyesha matumaini
Chanjo mpya ya majaribio ya malaria iitwayo SUM-101 imeonyesha matokeo ya kutia moyo katika...
Chanjo mpya ya majaribio ya malaria iitwayo SUM-101 imeonyesha matokeo ya kutia moyo katika...
Tayari mamia ya wananchi wamefunguliwa mashtaka kwa makosa ya jinai huku viongozi wa upinzani wakiwekwa kwenye orodha mpya ya watakaokamatwa na kushtakiwa
Baada ya kusogezwa mbele kwa ratiba ya kufungua taasisi za elimu ya juu kufuatia vurugu...
Mkutano mkuu maalumu wa wakuu wa nchi na Serikali wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo...
Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman amewahimiza wananchi na waumini wa...
Baadhi ya shughuli za harusi zilizopangwa kufanyika mwishoni mwa Oktoba na mwanzoni mwa Novemba...
RIYADH: TANZANIA has confirmed its readiness to take an active role at the 26th General Assembly of the United Nations World Tourism Organization (UNWTO), currently underway in Riyadh, Saudi Arabia.…
ARUSHA: THE Tanzania Gemmological Center (TGC) has opened special centers to promote opportunities in the country’s mineral value-added chain at the Arusha International Convention Center (AICC) and at the Kilimanjaro…
Tehran inakabiliwa na uhaba usio wa kawaida wa maji ya kunywa, tukio mbaya zaidi katika miongo kadhaa. Kwingineko nchini, hakuna tone la maji lililotoka bombanii katika theluthi mbili ya mikoa…
ARUSHA: TANZANIA’S unmatched wildlife, rich culture, and breathtaking landscapes have captured the hearts of nearly 120 travel agents from the United States. The agents, visiting the country for the first…
Maharamia hao waliiacha meli ya mfanyabiashara baada ya "kuonyeshwa nguvu", taarifa ya Jeshi la Wanamaji la Umoja wa Ulaya ilisema.
Rais wa Marekani, Donald Trump, amekiri kuwa alikuwa na mchango katika mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran.
Kulingana na Budapest, Rais wa Marekani Donald Trump amekubali siku ya Ijumaa, Novemba 7, kuipa Hungary msamaha wa vikwazo vya Marekani vinavyohusiana na mafuta ya Urusi. Msamaha huo uliripotiwa kutolewa…
Rais wa Uturuki Erdogan ametoa wito kwa Armenia na Azerbaijan kujenga mustakabali wa amani wakati wa kusherehekea mafanikio ya Azerbaijan huko Karabakh..
Hali ya kutisha inajitokeza mashariki mwa Ukraine, huko Pokrovsk, katika jimbo la Donetsk. Pokrovsk, jiji lenye watu 60,000 kabla ya vita, limekuwa ngome ya upinzani wa Ukraine katika eneo hilo,…
Ukraine imeripoti kulengwa na shambulio jipya la Urusi dhidi ya miundombinu yake ya nishati usiku wa Ijumaa, Novemba 7, kuamkia Jumamosi, Novemba 8, na kusababisha kifo cha mtu mmoja na…
Polisi ya Tanzania imesema inawasaka viongozi kadhaa wa upinzani ikiwalaumu kuhusika na maandamano ya vurugu yaliyoitikisa nchi hiyo wakati wa uchaguzi mkuu.
DODOMA: TANZANIA’S Vice President, Dr Emmanuel Nchimbi, has assured Southern African Development Community (SADC) Member States that Tanzania under Dr Samia Suluhu Hassan’s presidency is committed to ensure the reconciliation…
Ukifuatia historia ya nchi hii hata kabla ya ujio wa wakoloni, wanamuziki wamekuwa na nafasi...
Wanaharakati wawili wa Kenya Bob Njagi na Nicholas Oyoo wameachiliwa huru baada ya kutoweka Uganda walikokuwa wanahudhuria mkutano wa chama cha upinzani nchini humo. Haya ni kulingana na mashirika ya…
Wakati usafiri wa mwendokasi ukisitishwa kwa muda katika barabara za Morogoro na Kilwa, baadhi...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Hemed...
Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa ameitaka taasisi hiyo ya kimataifa kusajili tamko la Trump la kukiri kuhusika moja kwa moja Marekani katika uchokozi na…
Zaidi ya watu 200 nchini Tanzania wameshtakiwa kwa kosa la uhaini siku chache baada ya maandamano ya uchaguzi ambapo upinzani unasema mamia ya watu waliuawa. Haya ni kwa mujibu wa…
Mahakama ya Uturuki imetoa hati ya kukamatwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, waziri wake wa ulinzi na maafisa wengine 35 wakuu wa Israel kwa tuhuma za "uhalifu wa kivita…
Mahakama moja ya Istanbul, Uturuki, imetoa waranti wa kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na maafisa wengine 36 wa serikali yake kwa tuhuma za uhalifu dhidi ya ubinadamu…
Maelfu ya wananchi wa Morocco wameingia mitaani na kushiriki maandamano ya kutangaza mshikamano wao na wananchi wa Palestina katika Ukanda wa Gaza, sanjari na kulaani mzingiro dhidi ya Gaza na…
Ujumbe wa IMF, ulioondoka Dakar Alhamisi, Novemba 6, mwishoni mwa ziara yake ya nne katika mwaka mmoja, ulitaka kuuhakikishia umma: ingawa ziara yake bado haikufanya kupatikane kwa mkopo mpya kwa…
Waziri Mkuu wa zamani wa utawala haramu wa Israel Ehud Barak ameonya katika matamshi kuwa utawala wa Israel unaporomoka mbele ya macho ya Wazayuni.
NOVEMBA 4, mwaka 2025 Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) lilimtangaza Miguel Gamondi kuwa Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa Stars, akichukua nafasi ya Mtanzania Hemed Suleiman ‘Morocco’. TFF na…
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kujihami, NATO, Mark Rutte, amesema katika siku zijazo, anakusudia kuangazia zaidi uwezo wa nyuklia wa muungano huo wa ulinzi wa nchi za Magharibi, kama kingi…
Spika wa Bunge la Lebanon amesisitiza kuwa, yeyote anayetaka kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala ghasibu wa Israel anapaswa kujua kwamba, jambo kama hilo haliwezekani.
Spika wa Bunge la Lebanon amesisitiza kuwa, yeyote anayetaka kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala ghasibu wa Israel anapaswa kujua kwamba, jambo kama hilo haliwezekani.
AFGHANSTAN: AFGHANSTAN’S Taliban rulers have blamed Pakistan for a lack of results after mediated talks by Qatar and Turkiye in Istanbul, but have insisted a previously agreed ceasefire will hold…
Rais wa Marekani Donald Trump, amesema hakuna afisa wa Marekani atahudhuria mkutano wa kilele wa G20 utakaofanyika Afrika Kusini, kwa madai yasiyo na ushahidi ya "kuuawa na kuchinjwa" kwa raia…
HUNGARY: HUNGARIAN Prime Minister Vickor Orban said Friday his country received an exemption from US sanctions on imports of Russian oil. Orban was speaking with reporters from Hungarian media outlets…
DODOMA: LEADERS of the Southern African Development Community (SADC) have congratulated President Samia Suluhu Hassan on her victory in the October 2025 General Election. These remarks were made at the…
Nchini Sudan, hakuna dalili ya kupungua kwa mapigano kufuatia tangazo la RSF siku ya Alhamisi, Novemba 6, la makubaliano yake ya kusitisha mapigano kwa ajili ya kupiisha misaada ya kibinadamu…
Jana katika simulizi ya mauaji ya muuguzi mstaafu wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Patricia...
USA: DISGRUNTLED travelers across the US will face more disruptions to their plans this weekend, as airlines cancel hundreds of additional flights and delays continue to mount due to air…
Robert James Purkiss aliyekamatwa huko Tidworth, Wiltshire mnamo 6 Novemba na alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu ya Westminster siku ya Ijumaa na huenda akarejeshwa Kenya kujibu mashtaka
Kizazi cha sasa hakina muda wa kusubiri taarifa kwenye TV. Kila kitu kiko mkononi. Kwenye X...
Jeshi la Polisi limesema linaendelea na msako mkali kuwatafuta wanaotuhumiwa kupanga, kuratibu...
DAR ES SALAAM: MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amekutana na wadau wa Nishati ya Mafuta katika kikao maalumu Da es Salaam. RC Chalamila ameongoza mjadala wa…
Katika taarifa iliyotolewa siku ya Alhamisi, Novemba 7, 2025, Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa “inawataka raia wa Ufaransa waweze kupanga kuondoka kwa muda nchini Mali haraka iwezekanavyo,” ikiwashauri…
MARA: Mawakala wa utalii 120 kutoka nchini Marekani wameonyesha kuvutiwa na vivutio mbalimbali vya utalii vilivyopo nchini Tanzania, hususan mandhari ya kuvutia, wanyamapori, na urithi wa utamaduni wa kipekee. Tukio…
Trump anasema anatarajia kuandaa Mkutano wa G20 wa 2026 huko Miami.
#TANZIA Azam Media Limited inasikitika kutangaza kifo cha mtumishi wake, Ally Mkongwe, kilichotokea Novemba 7, 2025 katika Hospitali ya Besta, Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu. Mkongwe ambaye alikuwa Mwongoza…
ZANZIBAR: ZANZIBAR President and Chairman of the Revolutionary Council, Dr Hussein Ali Mwinyi, has sworn in Hemed Suleiman Abdulla as the Second Vice President of Zanzibar. Hemed Suleiman Abdulla has…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amemuapisha Hemed Suleiman Abdulla kuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. The post Rais Mwinyi amuapisha…