Iraq yaanza upigaji kura maalum wa uchaguzi wa bunge kwa wanajeshi na wakimbizi
Mchakato wa upigaji kura maalum kwa ajili ya wanajeshi na wakimbizi katika uchaguzi wa bunge la Iraq umeanza rasmi leo Jumapili katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo.
Mchakato wa upigaji kura maalum kwa ajili ya wanajeshi na wakimbizi katika uchaguzi wa bunge la Iraq umeanza rasmi leo Jumapili katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo.
Wananchi walimiminika mitaani siku ya Jumamosi katika jiji la Kano, kaskazini mwa Nigeria, kupinga vitisho vya Rais Donald Trump wa Marekani, vya kuivamia nchi hiyo kijeshi.
Wivu, unapodhibitiwa vyema, unaweza kuwa mlinzi wa upendo. Lakini ukiachiwa uhuru kupita kiasi,...
Meneja wa England, Thomas Tuchel jana ametangaza kikosi cha timu ya Taifa ya nchi hiyo kwa...
DAR ES SALAAM: TANZANIA has concluded the much-awaited General Election with results on ballot paper out and special seats Members of Parliament (MPs) already named. Different steps are currently being…
Wakati mwingine, mtu anaweza kuwa bahili bila hata kujitambua, jambo linaloathiri kwa kiasi...
Ukweli ni kwamba, mtoto asiyefundishwa kujitegemea ni mzigo. Wazazi wanapaswa kujifunza kutoka...
Mzazi au mlezi anayo nafasi muhimu katika kumsaidia mtoto kupunguza athari hizo kabla...
Simba imekwea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuibuka na ushindi wa...
MEATU: THE construction of the Itembe River Bridge in Meatu District, Simiyu Region, is now 95 per cent complete, according to the Tanzania National Roads Agency (TANROADS). Speaking to journalists…
ILI taifa lolote lipate maendeleo, kuna mambo ya msingi yanayopaswa kuzingatiwa, ikiwemo uwepo wa amani na utulivu. Amani katika nchi inachochea ustawi wa jamii kwani huvutia wawekezaji, watalii na kuchochea…
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka wadau na jamii kuendelea kutoa elimu kwa vijana hasa walio kwenye makundi ya waendesha pikipiki (bodaboda) na bajaji juu ya…
Na Mwandishi Maalumu BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza rasmi awamu ya pili ya upangaji wa mikopo na ruzuku kwa wanafunzi wa vyuo ambapo wanafunzi…
JESHI la Polisi nchini limebainisha athari kubwa zilizotokana na vurugu, uporaji na uvunjifu wa amani vilivyotokea Oktoba 29, mwaka huu katika maeneo mbalimbali nchini. Pia, limesema linaendelea na msako mkali…
ZANZIBAR: IN a move to control the rise of food prices in the isles, the Zanzibar Ports Corporation (ZPC) has announced an 80 per cent reduction in levies on all…
RAIS Samia Suluhu Hassan amedhamiria kuhakikisha mchakato wa mazungumzo ya maridhiano unafanikiwa ili kuwa na taifa lenye amani na umoja na kuendelea kuwa mfano wa utulivu katika Afrika na dunia…
Mkuu wa Shirika la Usafiri wa Anga la Iran amesema kuwa, baada ya kubuni na kutengeneza ndege ya mizigo, sasa wataalamu wa Iran wako katika mchakato wa kubuni na kuzalisha…
Palestina imesifu na kupongeza hatua ya Uturuki ya kutoa hati za kukamatwa viongozi 37 wa utawala wa kizayuni wa Israel na kuielezea kuwa ni 'ushindi kwa haki' huku ikizitolewa mwito…
KATIKA kukabiliana na kudhibiti mfumuko wa bei za bidhaa za chakula uliojitokeza nchini, Shirika la Bandari la Zanzibar (ZPC) limetangaza kupunguza kwa asilimia 80 ya tozo kwa bidhaa zote za…
(Mtu akisema, Nampenda Mungu, naye anamchukia ndugu yake, ni mwongo, kwa maana asiyempenda...
Huku mamilioni ya Wamarekani wakihangaika kumudu milo yao ya kila siku, wanahisa wa Kampuni ya Tesla wamepasisha kifurushi cha fidia ambacho hakijawahi kushuhudiwa cha dola trilioni moja kwa Elon Musk.…
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon ambayo ina viongozi wapya na kwa kiasi kikubwa viongozi wake hivi sasa ni vijana, imefanikiwa kurejesha nguvu zake na kama Israel…
Utawala wa Kizayuni wa Israel unaendelea kukanyaga makubaliano ya kusimamisha vita Ghaza na umefanya mashambulizi mapya dhidi ya wananchi wasio na ulinzi wa ukanda huo iliouzingira kila upande.
Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limetoa mwito wa dharura wa kusaidiwa sana kimataifa maelfu ya watu waliokimbilia Chad kukwepa mauaji ya kimbari nchini Sudan. Wasudan wanaendelea kumiminika…
Leo ni Jumapili 18 Mfunguo Nane Jamadul-Awwal 1447 Hijria mwafaka na 9 Novemba 2025 Miladia.
DODOMA: THE Tanzania Police Force has vowed to track down and bring to justice all individuals involved in the recent skirmishes. According to a police statement, the violence, which erupted…
DAR ES SALAAM: TANZANIANS have been urged to continue protecting the country’s lasting peace to enable leaders to effectively implement development projects for national prosperity. Citizens have been reminded to…
Urusi yasema iko tayari kuzungumza na Marekani kuhusu Ukraine+++Rais wa Syria awasili Marekani katika ziara ya kihistoria+++Maelfu wahamishwa makwao kupisha kimbunga kingine kikubwa Ufilipino
MENEJA wa Simba, Dimitar Pantev, ameanza vyema mechi yake ya kwanza ya Ligi Kuu Bara na timu hiyo, baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya JKT Tanzania,…
WAKATI ikielezwa Simba imeshaanza mchakato wa kusaka mbadala wa kipa Moussa Camara anayetarajiwa kufanyiwa upasuaji wa goti, eneo la beki wa kati kikosini hapo ni uhakika huku majembe matano yakiipa…
KIPINDI hiki ambacho mashabiki wa Yanga wanazidi kupasuka vichwa kuhusu kundi ambalo timu hiyo limepangwa katika Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu, kiungo wa zamani wa klabu hiyo Stephane Aziz…
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Wanawake Bara, JKT Queens leo watakuwa katika Uwanja wa Suez Canal uliopo Ismailia, Misri kuianza safari ya ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika Wanawake…
UONGOZI wa Singida Black Stars, umesisitiza kwamba Kocha Mkuu, Miguel Gamondi bado yupo sana klabuni hapo, huku ukieleza namna utakavyoishi pale ambapo kocha huyo atatingwa na majukumu ya timu ya…
KIUNGO wa Fountain Gate, Abdallah Kulandana amesema ongezeko la wachezaji ndani ya kikosi hicho baada ya uongozi kukamilisha usajili kwenye mfumo limeongeza chachu ya ushindani huku akiitahadharisha Pamba Jiji.
KIPA namba moja wa Mbeya City, Beno Kakolanya amesema bado anaamini ana nafasi ya kurejea katika kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, huku akiwapongeza makipa wote walioitwa…
TIMU nne za Tanzania zinazoshiriki hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika zimeshajua zinakutana na wapinzani gani katika mechi sita zikiwa ni Yanga, Simba,…
Singida Black Stars imepunguzwa kasi baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 na Pamba Jiji kwenye mechi ya Ligi Kuu Bara, huku Kocha wake, Miguel Gamondi akilalamikia uwanja na urefu…
Chama kikuu cha upinzani nchini humo cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA kimetangaza leo mchana kuwa polisi kwenye mkoa wa kaskazini wa Arusha limemkamata Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Amani…
Marekani imesema jana kuwa Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimeahidi kushirikiana kupunguza mvutano na kuahidi tena kuzingatia makubaliano ya amani, ambayo yameshindwa kusitisha ghasia.
Ukraine inasema watu zaidi ya 1,400 kutoka mataifa 36 wanaipigania Urusi, kwenye vita vinavyoendelea kwa zaidi ya miaka miwili sasa. Imechapishwa: 08/11/2025 – 16:33 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo…
Droni moja imelenga jengo la ghorofa tisa katika mji wa Dnipro mashariki mwa Ukraine mapema leo na kuwauwa watu watatu pamoja na kujeruhiwa wengine 12. Haya yameripotiwa leo na mamlaka…
Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma, Kenya ODPP, imepongeza kukumatwa kwa mwanajeshi wa zamani wa Uingereza Robert James Purkiss, kwa tuhuma za kumuua raia wa Kenya Agnes Wanjiru zaidi…
Israel imetambua mabaki ya mateka wa hivi karibuni zaidi kurejeshwa na kundi la Hamas kutoka Gaza na kubakisha idadi ya miili mitano mingine inayopaswa kurejeshwa chini ya makubaliano ya amani…
Jeshi la polisi linawatafuta viongozi wakuu wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA, kwa madai ya kuhusishwa na machafuko makubwa yaliyotokea wiki iliyopita katika miji mbalimbamnali, wakati wa uchaguzi mkuu. Imechapishwa:…
Tutakukumbuka daima #AllyMkongwe
Wakati Jeshi la Polisi likitangaza kuwasaka watu wengine 10 kwa makosa ya kupanga, kuratibu na...
Licha ya kuzua mjadala, kujitoa kwa Dk Tulia Ackson kwenye kinyang’anyiro cha uspika kunaweza...
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imethibitisha taarifa za kupatikana...
Wananchi waliothiriwa na vurugu zilizosababishwa na maandamano siku ya uchaguzi wa Oktoba 29...
Bei mpya zinaanza kutumika kesho Novemba 9, 2025