#HABARI: Waziri wa Nishati, Mh. Deogratius Ndejembi, amesema mara baada ya Serikali kuwekeza fedha zaidi ya Trilioni 13, katika miradi mbalimbali ya umeme hapa nchini, Wizara ya Nishati kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) imejipanga kutatua changamoto za umeme kwa watumiaji wa huduma hiyo huku akilitaka shirika kuwa na ubunifu utakaosaidia kuhimarisha mawasiliano baina ya TANESCO na wateja.
Mh. Ndejembi, ameyasema hayo jijini Dar es Salaam, wakati wa uzinduzi wa mita janja za umeme kwa wateja wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ambazo zitaondoa changamoto ya matumizi ya umeme.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania