#HABARI: Zaidi ya Ng’ombe kumi mali ya mfugaji Mussa Saluni, mkazi wa Kijiji cha Kang’ata wilayani Handeni mkoani Tanga, zimekutwa zimekufa katika eneo la vyanzo vya maji Kijijini hapo, tukio linalodaiwa kusababishwa na athari za ukame katika maeneo hayo.

Mwenyekiti wa Kitongoji cha Kang’ata Juma Seif, amethibitisha na kueleza Kwamba mifugo hiyo ilikutwa imeanguka wakati wafugaji wakijaribu kuwapeleka kwenye maeneo yenye maji ambayo hivi karibuni yamekuwa yakipungua kwa kasi kutokana na ukame unaoendelea.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *