Baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM – Mlimani) wamemtaka Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka kufanyia kazi mchakato wa uanzishwaji wa Baraza la Vijana la Taifa ili kutoa nafasi kwa vijana kuelekeza changamoto wanazokabiliana nazo sambamba na kufikisha mawazo yao kupitia baraza hilo.

Wanafunzi hao wameligusia baraza hilo katika kikao na Waziri Nanauka alipofanya ziara chuoni hapo kwa lego la kuzungumza na vijana.

Imeandaliwa na @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *