#HABARI: Zoezi la kuzima moto mkubwa unaodaiwa kusababishwa na shughuli za kibinadamu linaendelea katika Hifadhi ya Mlima Hanang, mkoani Manyara, ambapo moto huo umeendelea kuwaka kwa siku tatu mfululizo.

Juhudi za kuuudhibiti moto huo zinaongozwa na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, likishirikiana na wadau mbalimbali ili kuhakikisha hauendelei kusambaa na kuepusha athari zaidi kwa mazingira, wanyamapori na jamii zinazozunguka hifadhi hiyo.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *