Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda, ameitaka TRA SACCOS kuongeza elimu ya uwekezaji ili kuwawezesha wanachama kuchukua mikopo na kuanzisha shughuli za kiuchumi, hatua ambayo amesema inaweza kuongeza mchango wao katika pato la taifa.

#AzamTVUpdates
✍Upendo Michael
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *