Unatoka Ubungo pande zipi? Una swali gani kwa mwenye dhamana ya Wilaya hiyo DC @albertoMsando
Dondosha swali lako hapa chini kisha baadae Mzee wa Jambo @ally__kashmiry atapita nalo kwenye kikao maalum na DC Msando kitivoni.
#SentroCloudsTv
#Clouds26Nyoosha