Madagascar: Serikali yaelezea mfumo wa mashauriano ya kitaifa yanayokuja
Wakati wa kipindi maalum kwenye televisheni ya taifa jioni ya Jumapili, Desemba 7, Waziri wa serikali mpya ya Madagascar ametangaza kwamba mazungumzo haya yataandaliwa kwa pamoja na serikali na Baraza…