Inasemekana kuwa kuna wakulima wanapiga hela kwenye zao la parachichi mkoani Njombe lakini wameficha password ya mafanikio kwenye zao hilo na miongoni mwa watu wenye ushahidi huo ni Mbunge wa jimbo la Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika.
Maafisa kutoka #SentroYaCloudstv leo wamemtumia ujumbe maalumu mbuge huyu aje anyooshe maelezo kuhusu fursa kwenye zao hilo pamoja na kutoa passwords za mafanikio kwenye zao hilo ili kila mwenye nia na uwezo achangamkie fursa hii mapema mnoo.
Njoo @cloudstv saa 1:30