Zaidi ya wakazi 29,000 wa tarafa ya Old Shinyanga wanatarajiwa kunufaika na huduma za afya walizokuwa wakizifuata kwenye umbali mrefu baada ya kukamilika kwa kituo cha afya cha Ihapa.

Wakazi hao walikuwa wakitembea zaidi ya kilometa 10 kufuata huduma za afya kabla ya kukamilika na kuanza kazi kwa kituo hicho.

Kasisi Kosta ameshuhudia uzinduzi wa kituo hicho.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *