“Sababu kuu ya kuwa na viwanda vingi kwa sababu tuna viongozi ambao wanajitahidi sana kutafuta wawekezaji.

“Tukiwa na kiongozi wetu wa mkoa ndugu yetu, RC Pwani, Abubakar Kunenge. Mara nyingi anajitahidi sana kuvutia wawekezaji wawekeze katika maeneo.

“Tumefanikiwa kwa kiwango kikubwa sana kuwa na viwanda vingi kwa sababu ya uongozi wake. Pia tupo na Mkuu wa Wilaya, Mhe Nickson Simon ‘NikkwaPili’ . Kibaha ni eneo la biashara kwa upande wa viwanda”- Dkt. Mawazo Nicas, Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa Kibaha.

#LiveonClouds360
#LainiYawana
#Clouds26Nyoosha

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *