Katibu Mkuu wa @ccmtanzania Chama Cha Mapinduzi(CCM) Dk.Asha-Rose Migiro @officialasharosemigiro amesema Chama hicho hakijengwi katika majukwaa bali hujengwa kuanzia ngazi ya mashina na matawi huku akibainisha majukwaa hutumika zaidi kwa ajili ya kutoa hamasa.

Dk.Migiro ametoa kauli hiyo leo Januari 9,2026 alipokuwa akizungumza na viongozi wa mashina na matawi wa Wilaya za Kinondoni na Ubungo ikiwa ni muendelezo wa ziara yake kwa viongozi hao.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *