Kitoweo cha samaki wa nguruka chenye umaarufu mkubwa mkoani Morogoro kimeligeukia soko la kimataifa huku ikidaiwa kuwa hata wakazi wa mji huo wameanza kukikosa.
Katikati ya simulizi hiyo ya kusisimua Theresia Mwanga anaangalia asili ya samaki huyo.
Mhariri @moseskwindi