Wataalamu wa uchumi nchini wameihimiza serikali kuwarasamisha wafanyabisashara wadogo “wamachinga”, maafisa usafirishaji “bodaboda” na wauza vyakula “Mama na Baba Lishe” ili kuongeza fursa kwa upande wao na kuiongezea serikali vyanzo vipya vya mapato.
Maoni hayo yanafuatia kikao cha wajasiriamali hao na Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba na mawaziri wa kisekta uliofanyika jana Januari 8, 2026.
Mhariri @moseskwindi