Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa ameziomba taasisi za fedha nchini zikiwemo benki kuweka utaratibu wa kuwakopesha wafugaji kwa kutumia dhamana za mifugo yao kama ilivyo kwa wafanyabiashara na wakulima.
Dkt. Bashiru ametoa wito huo wilayani Ushetu mkoani Shinyanga alipokuwa akizungumza na wakulima na wafugaji wa wilaya hiyo.
Mhariri @moseskwindi