Makamu rais wa zamani wa Kenya adai jaribio la kumuua katika shambulio la Kanisa
Mwanachama maarufu wa upinzani nchini Kenya Rigathi Gachagua amedai kulikuwa na jaribio la kumuua wakati wa ibada ya siku ya Jumapili kanisani. Imechapishwa: 26/01/2026 – 06:27 Dakika 2 Wakati wa…