From campus hustle to fashion empire: How Hawa created fashion powerhouse
DAR ES SALAAM: IN Dar es Salaam, where creativity moves as fast as the city’s traffic and trends change with every scroll on social media, one young woman has quietly…
DAR ES SALAAM: IN Dar es Salaam, where creativity moves as fast as the city’s traffic and trends change with every scroll on social media, one young woman has quietly…
Aliyekuwa kocha wa Arsenal, Arsène Wenger, juzi amempongeza vikali Michael Carrick kwa kuandaa...
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55....JANUARI 26, 2026
MKURUGENZI wa Mashitaka (DPP) amesema hana nia ya kuendelea kuwashitaki washitakiwa wawili kati ya 10 wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi ya kuongoza genge la uhalifu na kujipatia zaidi ha…
#TANZIA: Golkipa wa zamani wa Yanga SC na Taifa Stars, Peter Manyika, amefariki dunia asubuhi ya leo katika Hospitali ya St. Monica, jijini Dar es Salaam. . Enzi za uhai…
CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kimesema vitendo vya ukatili wa kijinsia vimekithiri katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini. Msaidizi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Tamwa, Sylivia Daulinge amesema…
ZANZIBAR: ZANZIBAR Ministry of Infrastructure and Transport has raised the alarm over the misuse of the country’s road network for social and illegal activities, warning that the trend is fuelling…
#HABARI: Awamu ya kwanza ya mradi wa Mabasi yanayotumia Umeme (Zan Bus), imewasili kupitia Bandari ya Malindi, Zanzibar, na kuelekea katika maegesho ya Stendi Mpya ya Kijangwani, Mkoa wa Mjini…
DAR ES SALAAM: THE recent directive by the Prime Minister, Hon Dr Mwigulu Nchemba, to curtail unnecessary government expenditure is a decisive and commendable step toward fiscal discipline. Speaking during…
DODOMA: THE Parliamentary Committee on Education, Sports and Culture has commended the government for notable achievements in strengthening technical and vocational education through the rapid expansion of Vocational Education and…
TANGA: TANGA District Commissioner Dadi Kolimba has urged officials in the region to strengthen nutrition interventions to combat child malnutrition, particularly among children under five, amid growing recognition that proper…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....JANUARI 26, 2026
Mchezo wa ngumi za kulipwa umeendelea kupiga hatua kubwa kutokana na mabondia wake kutambulika...
ZANZIBAR: THE Zanzibar Judiciary has reiterated its commitment to strengthening gender equality within the justice delivery system as part of ongoing institutional reforms aimed at ensuring equal access to justice…
ZANZIBAR: THE Revolutionary Government of Zanzibar is set to introduce the Zanzibar Employment Promotion Act of 2026, to safeguard job opportunities for residents and ensure that roles suitable for locals…
RUVUMA: THE governments of Tanzania and Finland have signed a Regional Forest Restoration Memorandum of Understanding (MoU) covering Ruvuma and Lindi regions, marking a significant milestone in strengthening coordinated forest…
MAHAKAMA ya Wilaya ya Temeke mkoani Dar es Salaam imewapandisha kizimbani watu wawili wakikabiliwa na mashitaka ya kusafirisha bangi aina ya skanka pakiti 20 za uzito wa kilogramu 20.03. Washitakiwa…
DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has sent a message of condolences to the Chief Justice of Tanzania, Justice George Masaju, following the death of retired High Court Judge…
#HABARI: Moto mkubwa umezuka usiku wa kuamkia leo Januari 26, 2026 katika eneo la Moshono, jijini Arusha, na kuteketeza maduka kadhaa pamoja na karakana ya mbao, tukio lililosababisha hasara kubwa…
#HABARI: Huduma ya Kitaifa ya Polisi nchini Kenya (NPS), imeanzisha uchunguzi kuhusu shambulio lililofanyika Jumapili ya Januari 25, 2026 katika Kanisa la St. Peter’s ACK lililopo Witima, Kaunti Ndogo ya…
Kipa wa zamani wa Yanga na Taifa Stars, Peter Manyika amefariki leo alfajiri na mwili wake...
TANZANIA imepanda na kustawisha miti 691,523,763 katika kipindi cha miaka minne kuanzia mwaka 2020-2024 kupitia kampeni ya upandaji miti nchini. The post Miti milioni 691 yapandwa kampeni ya upandaji miti…
ZANIZIBAR: THE Central Committee of the National Executive Committee (NEC) of the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) has made several appointments of party leadership candidates drawn from the Parliament of…
Rais wa Shirikisho la soka la Ujerumani (DFB), amesema ni wakati wakati wa kujiondoa kwenye Kombe la Dunia la 2026 kutokana na hatua ya Rais wa Marekani Donald Trump.
SERIKALI imesema imeimarisha huduma za msaada wa saikolojia na unasihi katika siku 100 za uongozi wa kipindi cha pili cha uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita. Waziri wa Maendeleo…
Staa wa Bongofleva, Oscar John Lelo anayefahamika kisanii kama Whozu ni mmoja wa wanamuziki...
ZANZIBAR: THE Union and Zanzibar governments have reaffirmed their commitment to strengthening cooperation to ensure that the benefits of the Union are translated into tangible social, economic and cultural gains…
Kwa miaka yote Lava Lava anafahamika kama mwanamuziki wa Bongofleva mwenye sauti nzuri na...
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....JANUARI 26, 2026
Rais wa Marekani Donald Trump anakusudia “kulazimisha” sera ya Venezuela, hatua ambayo haimpendezi rais wa mpito Delcy Rodriguez, ambaye hapo awali aliridhika kushirikiana na Washington. Imechapishwa: 26/01/2026 – 07:52Imehaririwa: 26/01/2026…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmaeil Baqaei, amepuuza madai ya hivi karibuni kwamba takriban watu 30,000 waliuawa wakati wa ghasia zilizoungwa mkono na wageni za hivi…
Baada ya kufanikisha azma yake ya kuwa bondia maarufu duniani, safari ya pili kwa Jake Paul...
Jeshi la Mali (FAMa) limeeleza kuwa liimefanya mashambulizi ya anga dhidi ya makundi ya kigaidi kusini-magharibi mwa nchi hiyo, na kulenga "harakati kubwa" ya wanamgambo karibu na eneo la Mourdiah.
DAR ES SALAAM: THE Ministry of Community Development, Gender, Women and Special Groups has recorded significant progress in formalising and empowering small-scale traders across the country as President Samia Suluhu…
Makaburi mawili ya umati yenye mabaki ya miili ya maelfu ya watu yalipatikana hivi majuzi mjini Khartoum mji mkuu wa Sudan. Kupatikana kwa makaburi hayo kumefichua sura ya giza katika…
Balozi wa Russia nchini Venezuela amesema Rais wa nchi hiyo, Nicolas Maduro, alisalitiwa na vibaraka wa ndani nchini humo.
KIPA wa zamani wa Yanga na timu ya Taifa ‘Taifa Stars’, Peter Manyika Sr amefariki leo alfajiri na mwili wake umehifadhiwa katika hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam.
Harakati ya Kata’ib Hizbullah ya Iraq (Brigedi za Hizbullah) imetangaza kuwa iko tayari kushiriki katika vita vyovyote vitakavyotokea ili kuilinda Iran, ikitoa wito kwa wanamapambano duniani kote kujiandaa kwa ajili…
MOROGORO: MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Morogoro, Lucy Kombani amewashauri wanafunzi wa vyuo vikuu kuzingatia ulaji wa vyakula vyenye lishe bora kwa ajili ya kujenga afya zao ili waepukane…
Wafuasi 89 wa rais wa zamani wa mrengo wa kulia nchini Brazil, Jair Bolsonaro, wamejeruhiwa baada ya kupigawa na radi, walipokuwa wakiandamana kumuunga mkono rais wao huko Brasilia siku ya…
Soma zaidi hapa...
WIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu imepokea Sh bilioni 10.5 kwa ajili ya kutoa mikopo ya masharti nafuu na imeshatoa Sh bilioni 1.3 kwa wafanyabiashara 588.…
Gavana mwingine nchini Nigeria amejiondoa kutoka upinzani na anatarajiwa kujiunga rasmi na chama cha APC, chama tawala, Jumatatu, Januari 26, 2026, kulingana na msemaji wake. Gavana huyu ni Abba Kabir…
SHINYANGA: DIWANI wa Kata ya Malunga Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, Ahamed Haruna ametoa miezi sita kwa wananchi waliofunga mikataba kwenye eneo la soko kwa ajili ya ujenzi wa vibanda…
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....JANUARI 26, 2026
Kupanda kwa nafasi ya FIFA si fahari tu kwa taifa, bali pia kumeleta mabadiliko katika mtazamo...
Siku chache zimepita baada ya kiungo mshambuliaji, Clatous Chota Chama kurejea kwenye Klabu...