Faili za Epstein: Nyaraka milioni 3, video na picha zatolewa
Wizara ya Sheria ya Marekani imetoa zaidi ya kurasa milioni 3 za faili za Jeffrey Epstein, ikijumuisha video na picha, huku wabunge wakisema bado nyaraka nyingi zimezuiliwa.
Wizara ya Sheria ya Marekani imetoa zaidi ya kurasa milioni 3 za faili za Jeffrey Epstein, ikijumuisha video na picha, huku wabunge wakisema bado nyaraka nyingi zimezuiliwa.
#KIPIMAJOTO: “Bima ya Afya kwa wote ni Utaratibu wa kisheria….. unaoweka utaratibu wa kila mwananchi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kulipia huduma za afya kabla ya kuugua hiyo ndio…
Mjukuu wa Suleyman Shah 🥹 (Feed generated with FetchRSS)
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: JANUARI 30, 2026
Baada ya nusu muongo wa mapigano ya umwagaji damu, jeshi lililorejea kwa nguvu nchini Myanmar linakabiliwa na upinzani wa silaha ulio na dhamira, lakini uliogawanyika.
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA JANUARI YAKO KWA BUKU TU..JANUARI 30, 2026
#HABARI: Serikali imeweka mkazo katika kuimarisha ulinzi wa maisha ya wananchi pamoja na mali zao dhidi ya wanyamapori wakali na waharibifu, kama sehemu ya mkakati wa kitaifa wa kutatua migongano…
#HABARI: Zaidi ya kaya 2,000 zenye uhitaji mkoani Manyara zinatarajiwa kunufaika na msaada wa chakula kutoka taasisi ya Mati Foundation, ikiwa ni sehemu ya mpango wa kampuni ya Mati Super…
Shangazi Mwahija hajawahi kumuacha salama Binti Msumi 😅 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: “Daktari Samia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni binadamu mwenye nyam ana hakuna mtu mzima popote pale duniani anayependa kila mara kunyooshewa kidole wakati ana masikio tumuache…
Inafuatia uamuzi wa Afrika Kusini kumfukuza Balozi mdogo wa Israel, na kuzidisha mvutano wa kidiplomasia unaohusiana na kesi ya mauaji ya halaiki ya Gaza
Dem Wa Facebook atangaza ujauzito wake kwa picha za dhati, akifichua kama maombi yaliyojibiwa. Wakenya walimwomba mshawishi huyo amtangaze baba yake wa mtoto.
🔴KIPIMAJOTO: UTEKELEZAJI BIMA YA AFYA KWA WOTE AWAMU YA KWANZA. JE, NINI VIGEZO NA MASHARTI KWA WALENGWA?
Huku kimewaka, njooni muamue #AzamTWO (Feed generated with FetchRSS)
Ukute ndio mzungu wa Bibie 🙌😅 #KombolelaSeries #KombolelaSeason2 (Feed generated with FetchRSS)
Mila potofu, ukosefu wa mawasiliano kati ya wazazi na watoto, pamoja na mitandao ya kijamii...
Hatifungani za Sukuk za 2026 kufikia sasa ni zaidi ya dola milioni 580, kiwango kikubwa kikiwa ni cha nchini Benin cha dola milioni 500, kulingana na wataalamu.
Rigathi Gachagua ameapa kurudi Othaya baada ya machafuko katika Kanisa la Witima ACK, akiwashutumu polisi kwa kushirikiana, kutishia demokrasia ya Kenya.
Wanafunzi wawili waliohitimu kidato cha sita kwenye sekondari za kata ni miongoni mwa wanafunzi...
Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya wametakiwa kusimamia kwa karibu miradi yote...
TAARIFA YA HABARI SAA MBILI JANUARI 30, 2026 - BOT YAKANUSHA KUUZA DHAHABU KUFADHILI MIRADI
#KIPIMAJOTO:UTEKELEZAJI BIMA YA AFYA KWA WOTE AWAMU YA KWANZA. JE, NINI VIGEZO NA MASHARTI KWA WALENGWA?
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametangaza mpango kabambe wa kuboresha miundombinu ya...
MBEYA City imeendeleza ukame wa ushindi katika Ligi Kuu Bara baada ya kupata sare ya bao 1-1 dhidi ya Pamba Jiji na kuendelea kuwa miongoni mwa timu tatu za mkiani…
Serikali imeagiza kufanyika kwa tathmini ya nyumba zilizojengwa katika eneo la mwekezaji...
Vyama vya msingi vya ushirika (Amcos) vitakavyoshindwa kuzalisha angalau kilo 10,000 za pamba...
#HABARI: Waziri wa Afya nchini Tanzania Mhe. Mohamed Mchengerwa Jumatatu Februari 02, 2026, anatarajiwa kuwa na ziara ya Kikazi kwenye Taasisi ya Saratani ya Ocean Road Jijini Dar es Salaam…
#HABARI: Serikali ya Tanzania, kwa kushirikiana na Shirika la Ushirikiano la Kimataifa la Korea (KOICA), imezindua mpango kabambe wa barabara za kasi (Expressways) unaolenga kupunguza msongamano wa magari na kurahisisha…
Umoja wa Ulaya unaichunguza AI ya Grok ya Elon Musk baada ya kipengele chake cha deepfake kuzalisha mamilioni ya picha za ngono za wanawake na watoto. Hatua hii ni mtihani…
ARUSHA: THE Arusha Regional Commissioner, Amos Makalla, has directed the Arusha City Council to use its internally generated revenue to improve the Ulezi and Machame street vendors’ markets so they…
Mwenyekiti wa Taifa wa ACT Wazalendo, Othman Masoud amesema jitihada za kupata suluhisho la...
Marekani imezindua ujenzi wa kupanua kambi yake ya kijeshi nchini Kenya katika eneo la pwani la Manda lililopo umbali wa kilomita 12 kutoka kusini mwakisiwa ch Lamu kwa ajili ya…
Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Hakan Fidan ameitaka Marekani kupuuza shinikizo la Israel la hatua ya kijeshi dhidi ya Iran.
Israel imetangaza kuwa itafungua tena kivuko muhimu cha Rafah kati ya Gaza na Misri siku ya Jumapili baada ya miezi kadhaa ya wito wa Umoja wa Mataifa, mashirika ya kibinadamu…
Marekani imezindua mradi wa upanuzi wa njia ya kurukia ndege wenye thamani ya dola milioni 70 katika kambi ya jeshi la anga ya Manda Bay iliyoko kaunti ya Lamu karibu…
Kiongozi wa jeshi Niger, Jenerali Abdourahamane Tchiani, amewashutumu marais wa Ufaransa, wa Benin na Ivory Coast kwa kuunga mkono makundi yenye silaha yaliyoshambulia kambi ya jeshi la anga katika mji…
#HABARI: Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imetangaza kuwa itaendesha zoezi la upimaji wa viashiria vya saratani ya tezi dume bila malipo wakati wa tamasha la IST Festival litakalofanyika Februari 14,…
SERIKALI imetangaza mpango kabambe wa kuboresha miundombinu ya usafirishaji kwa njia ya barabara wenye lengo la kurahisisha usafiri, kuongeza ufanisi na kukuza Pato la Taifa. Akizungumza na waandishi wa habari…
Waziri wa mambo ya Kigeni wa Iran Abbas Araqchi amesema nchi yake iko tayari kuanza tena mazungumzo ya nyuklia na Marekani kama majadiliano hayo yatajikita katika msingi wa haki na…
DAR ES SALAAM: THE Bank of Tanzania (BoT) has confirmed plans to sell part of the country’s national gold reserves, dismissing claims that the move is intended to finance government…
#MICHEZO: Afisa Habari wa Yanga SC, Ally Kamwe kuhusu nyota wa timu hiyo kutakiwa kuwafurahisha mashabiki na Wana-Afrika Mashariki waliokuja na wanaofuatilia kuona Yanga ikiwawakilisha mechi dhidi ya Al Ahly…
#HABARI: Rais wa Baraza la Usimamizi wa Mkataba wa Lusaka na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, amewaagiza watendaji wa Sekretarieti ya mkataba huo (LATF) kuhakikisha idadi…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA PWANI - JANUARI 30, 2026
#HABARI: Umoja wa Madereva Bodaboda Jijini Mbeya umeiomba Serikali kuingilia kati mgogoro unaofukuta kati yao na Mwenyekiti wa umoja huo, Aliko Fwamba, anayetuhumiwa kushindwa kuitisha Mkutano Mkuu. Wanachama hao wameeleza…
Mkoa wa Iringa umeimarisha usimamizi wa kampeni ya upandaji miti kwa kuweka mfumo madhubuti wa...
DAR ES SALAAM: The Bank of Tanzania (BoT) has dismissed reports circulating on social media claiming that it plans to sell part of its gold reserves to finance strategic government…
Mahmoud Ali Youssouf ametaka kuwepo kwa utulivu, na kuonya dhidi ya kukiuka makubaliano ya amani ya Pretoria ya 2022 huku kukiwa na wito wa kuepuka mapigano eneo la Tigray
Ujerumani haina maafisa wa ICE waliofunika nyuso wala wakala sawa na huo, lakini Kansela Friedrich Merz na mtangulizi wake wameharakisha kadiri walivyoweza michakato ya kuwafukuza wahamiaji. Hivi ndivyo wanavyofanya.
Yanga itakuwa na mchezo mgumu kesho dhidi ya Al Ahly, huku kocha Pedro Goncalves akitangaza kwamba wapo tayari kucheza na mabingwa hao wa kihistoria wa Afrika.