Zelensky akiri hali ni ngumu nchini Ukraine
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema baada ya karibu miaka minne ya vita, hali nchini mwake inaendelea kuwa mbaya zaidi katika eneo la vita. Amesema miundombinu inaharibiwa na mashambulizi ya…
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema baada ya karibu miaka minne ya vita, hali nchini mwake inaendelea kuwa mbaya zaidi katika eneo la vita. Amesema miundombinu inaharibiwa na mashambulizi ya…
Denmark na Greenland zimeungana kupinga wito wa rais wa Marekani Donald Trump kutaka kukitwaa kisiwa cha Greenland. Viongozi wa nchi hizo wamesema wanaichagua Jumuiya ya NATO na Umoja wa Ulaya…
Idadi ya vifo hivyo kubwa imeripotiwa kufuatia mapigano kati ya jeshi la Kongo na Allied Democratic Forces (ADF), kundi lenye silaha linalohusiana na kundi la kigaidi la Islamic State (ISIS),…
Spika wa bunge la Venezuela Jorge Rodriguez amesema watu zaidi ya 400 wameachiwa huru kama sehemu ya mpango wa kuwaachilia wafungwa wa kisiasa.
Katika uchaguzi huo utakaojumuisha wagombea wanane wa nafasi ya urais, wananchi wataamua nani...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan, ameahidi Serikali kuendelea kulinda na kuheshimu uhuru wa mahakama ili kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi. Dkt Samia ameeleza hayo…
Mareani imesema itafuta hadhi ya ulinzi wa muda kwa baadhi ya wahamiaji kutoka Somalia. Hatua hii ni katika kuendeleza juhudi za rais Donald Trump kuwafukuza watu wengi kutoka nchini Marekani.
Serikali nchini Uganda imezima mtandao wa intaneti siku chache kuelekea uchaguzi mkuu wa hapo kesho, uchaguzi ambao Rais Yoweri Museveni anataka kuchaguliwa kwa muhula wa saba. Imechapishwa: 14/01/2026 – 04:53Imehaririwa:…
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kufuta mikutano yote na maafisa wa Iran huku akiahidi kuwatumia msaada waandamanaji nchini Iran. Marekani imewataka raia wake waondoke Iran.
Takriban watu 13 wamepoteza maisha kufuatia maporomoko ya udongo yaliyotokea mashariki mwa Kongo mapema jana Jumanne. Watu wengien zaidi ya 30 hawajulikani waliko hadi sasa.
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI JANUARI 14, 2026
"Kulikuwa na wanawake watatu wenye uwezo na sifa stahiki ambao wangeweza kufika katika orodha ya mwisho ya wagombea, lakini mfumo uliwakwamisha wote", anasema Yvonne Mpambara.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar ametangaza kuwa, Doha inafanya mawasiliano na pande mbalimbali ili kutuliza hali katika eneo hili na kutatua tofauti kati ya Iran na…
Wakati ukandamizaji wa Iran dhidi ya maandamano ya kupinga serikali ukiendelea, rais wa Marekani anatafakari ni jinsi gani bora ya kushughulikia hilo.
Wanasiasa mbalimbali wa Pakistan wamesisitiza kuwa, ulimwengu wa Kiislamu unapaswa kuwa upande wa Iran katika mazingira ya sasa ambapo taifa hili la Kiislamu linaandamwa kwa njama mbalimbali.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Somalia ameitaja hatua ya utawala ghasibu wa Israel ya kulitambua eneo la Somaliland kuwa ni ukiukaji wa wazi wa mamlaka ya nchi yake.
Katika matamshi yake mapya ya vitisho, Rais wa Marekani amezililenga nchi zinazofanya biashara na Iran.
Leo ni Jumatano tarehe 24 Rajab 1447 Hijria sawa na Januari 14 mwaka 2026.
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kufuta mikutano yote na maafisa wa Iran huku akiahidi kuwatumia msaada waandamanaji nchini Iran / Shinikizo kutokana na hoja…
Iran yasema Marekani inatafuta 'kisingizio cha kuingilia kati kijeshi'. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky akiri hali ni ngumu nchini Ukraine. Na viongozi wa Denmark na Greenland waungana kupinga wito wa…
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa The post Habari kubwa…
DAR ES SALAAM: Tathmini ya data za mitetemo za 3D zilizochukuliwa katika Kitalu cha Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia cha Ruvuma kilichopo mkoani Mtwara imeonesha uwezekano wa uwepo wa…
Alijua hajaonekana, kwisha habari yake
Dar es salaam: The ongoing oil and natural gas exploration at the Ruvuma Block in Mtwara Region has revived fresh hope for Tanzania’s energy sector, as an assessment of 3D…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: JANUARI 13, 2026
Alichokifanya Firaz bado hakisahauliki
VITASA NDANI YA MAPINDUZI CUP FINAL🤔🤔
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA JANUARI YAKO KWA BUKU TU..JANUARI 13, 2026
Baada ya kampuni ya Azam Marine kukamilisha ushushwaji wa boti mpya ya kisasa ya Kilimanjaro IX 'Dragon of the Sea' yenye uwezo wa kubeba abiria 631 leo tunakuletea baadhi ya…
Katika nchi yenye makabila na tamaduni zaidi ya 125 ni vigumu kupata kitu cha kipekee kinachoweza kulitambulisha kabila na utamaduni wake lakini hilo linaonekana kuwezekana kwa makabila ya Wanyiramba na…
Utamaduni wa baadhi ya wanafunzi hususani wanaokuwa watahiniwa wa mitihani ya Taifa wa kuandika lugha isiyoaa ikiwemo matusi imekuwa ikiendelea licha ya adhabu ya kufutiwa matokeo kwa wanafunzi hao. Je,…
Rais Samia amesema hatasita kuwaweka kando viongozi watakaoshindwa kufanya kazi kwa ufanisi...
#HABARI: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, ameuweka wazi mpango wake kumuomba Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kiasi cha hadi Shilingi bilioni mbili kwa ajili…
Devran anataka nusu ya mali, mwamba atakubali? #AzamTWO
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Christian Makonda ametoa watendaji wa wizara hiyo kutekeleza majukumu yao ipasavyo. Makonda Ametoa wito huo leo Januari 13, 2026 wakati wa makabidhiano…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma. Rais Dkt. Samia amesema…
#VIDEO: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Christian Makonda amewataka watendaji wa wizara hiyo katika idara na taasisi zote kutekeleza majukumu yao ipasavyo kwa weledi na uadilifu…
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda akizungumza leo, Januari 13, 2026 jijini Dar es Salaam wakati wa makabidhiano ya ofisi na aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo,…
Awali, Ikulu ya White House ilisema kuwa Rais Trump “haogopi,” lakini anapendelea kufuata njia ya diplomasia na Iran.
Pamoja na Azam kuwa pungufu lakini walionyesha kiwango bora dakika 30 za nyongeza.
TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU JANUARI 13, 2026 -SERIKALI KUENDELEA KULINDA UHURU WA MAHAKAMA
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA USIKU - 13/01/2026
#PichaYanguSeries | Baba Hamida | Mzee Kombo
Fainali ya Kombe la Mapinduzi 2026 kati ya Azam dhidi ya Yanga iliyochezwa Jumanne ya Januari 13, 2026, haijawa nyepesi kwani kipute kimepigwa hadi dakika 120 ndipo mshindi akaja kupatikana,…
"Hakuna Taifa linaloweza kuwa na maendeleo endelevu bila kuwa na Usimamizi mzuri wa Haki."Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA), Dodoma.…
Madiwani katika halmashauri za Wilaya ya Mufindi na Mji Mafinga wametakiwa kutumia vizuri...
Mbunge wa Mbeya Vijijini, Patali Shida amesema atavalia njuga suala la utunzaji wa mazingira...
Mkurugenzi wa wa Masoko METL ametoa wito kwa wadhamini na wadau wa soko nchini kuwekeza kwenye ligi ya wanawake ambayo inakua kwa kasi nchini kwani kufanya hivyo kuna faida kwa…