Uganda kuzima mtandao wa intaneti siku ya uchaguzi: Mamlaka ya mawasiliano
Mamlaka ya mawasiliano nchini Uganda imetangaza kuwa itazima mtandao wa intaneti siku ya Jumanne, siku mbili tu kabla ya uchaguzi ambao Rais Yoweri Museveni atagombea dhidi ya Bobi Wine.
Sh796 milioni kuwanufaisha wananchi kituo cha afya Chunya
Serikali imetoa zaidi ya Sh 796 milioni kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya Mbugani, Kata ya...
Watumishi, wanasiasa waaswa kupima afya kuepuka vifo vya mapema
Watumishi na wanasiasa wametakiwa kuwa na utaratibu wa kupima afya zao mara kwa mara ili...
SKY AI yarahisisha maisha ya watumiaji wa usafiri wa anga
Idadi ya watumiaji wa usafiri wa ndege nchini Tanzania inazidi kuongezeka. Ripoti ya serikali ya mwaka 2023 inaonesha kuwa abiria waliotumia usafiri huo walifikia milioni 6.8 kutoka milioni 2.8 mwaka…
Nishati mbadala yatajwa kuwa suluhu ya uharibifu wa mazingira
Matumizi ya nishati mbadala yameendelea kutajwa kuwa suluhu ya kudumu ya kukabiliana na...
EU yajiandaa kuweka vikwazo vipya dhidi ya Iran
Rais wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya, Ursula von der Leyen, amesema Umoja huo unajiandaa kuweka vikwazo vipya dhidi ya Iran.
Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini (TCAA) imewataka watumiaji wa ndege nyuki (drones) wakiwemo waagizaji wanaozileta nchini kuzin…
Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini (TCAA) imewataka watumiaji wa ndege nyuki (drones) wakiwemo waagizaji wanaozileta nchini kuzingatia sheria na miongozo ya usajili wa vifaa hivyo ili kuendana na miongozo…
Mswada wa kuifanya Greenland jimbo la Marekani wawasilishwa
Mbunge wa Republican kutoka Florida amewasilisha mswada unaopendekeza kuiunganisha Greenland na kuifanya kuwa jimbo la 51 la Marekani.
Mtoto Theresia Gabriel Kajola mwenye umri wa miaka 11 kutoka mkoani Manyara mpaka leo ameshindwa kujiunga na shule ya msingi kut…
Mtoto Theresia Gabriel Kajola mwenye umri wa miaka 11 kutoka mkoani Manyara mpaka leo ameshindwa kujiunga na shule ya msingi kutokana na kuwa tegemezi kwa wadogo zake watatu baada ya…
Makonda awataka watendaji wizarani kukaa sawa, kufunga mkanda
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amewataka watenda wa wizara hiyo...
Uganda yaagiza kuzimwa kwa mtandao wa Intaneti
Uganda imeagiza kuzimwa kwa mtandao wa intaneti siku mbili kabla ya uchaguzi, wakati Rais Yoweri Museveni akitafuta kuendeleza utawala wake wa takriban miaka 40.
Simanjiro yafanya mageuzi ya kilimo
Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, imejipanga kuhakikisha inafanya mageuzi makubwa katika...
UN: Watoto 100 wameuawa Gaza licha ya makubaliano ya amani
Takriban watoto 100 wameuawa katika mashambulizi ya anga na operesheni za ardhini zilizofanywa na Israel katika ukanda wa Gaza tangu kuanza kwa usitishaji mapigano miezi mitatu iliyopita.
Uganda yazima intaneti kuelekea uchaguzi mkuu, VPN marufuku
Zuio hilo linaanza kutekelezwa kuanzia leo Jumanne saa kumi na mbili jioni Jumanne na...
UN na EU zatoa wito wa kusitishwa vurugu nchini Iran
Umoja wa Mataifa umetoa wito kukomesha vurugu dhidi ya waandamanaji huku Umoja wa Ulaya ukisema kuwa unatathmini hatua mpya za vikwazo kwa Jamhuri hiyo ya Kiislamu kutokana na ukandamizaji huo.
Rais Samia aonya juu ya watu kufungwa bila ya hatia
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema bado kuna watu wanafungwa magerezani bila ya hatia huku Jaji Mkuu akisema uhuru wa Mahakama uko hatarini kutokana na ukosefu wa uhakika wa…
India yaishutumu Pakistan kwa kurusha droni ndani ya Kashmir
Mkuu wa jeshi la India ameituhumu Pakistan kwa kurusha droni katika eneo la Kashmir linalodhibitiwa na India, eneo ambalo mataifa hayo mawili yenye silaha za nyuklia yalipigana kwa siku nne…
Rais Mwinyi auzindua rasmi Uwanja wa Gombani
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi Zanzibar, leo Januari 13, 2026 amezindua rasmi viwanja vya michezo vya Gombani vilivyopo Wilaya ya Chake Chake…
Jaji Masaju ataja vikwazo utoaji haki Tanzania
Kwa muda mrefu kumekuwepo na malalamiko miongoni mwa wananchi kuhusu utendaji wa mahakama...
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MBEYA – JANUARI 13, 2026
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MBEYA - JANUARI 13, 2026
Hali ilivyo masaa machache kuelekea uchaguzi mkuu Uganda
Jumla ya wagombea urais wanane akiwemo rais wa sasa Yoweri Kaguta Museveni watapambana katika nafasi hiyo pamoja na kiongozi wa upinzani Robert Kyagulani maarufu Bobi Wine.Uchaguzi wa mwaka huu wapiga…
Nia ya Marekani kuichukua Greenland yaanza kuitafuna NATO
Shinikizo kutokana na hoja ya Marekani kutumia nguvu za kijeshi kuitwaa Greenland kijeshi, limeiweka Jumuiya ya Kujihami ya NATO mahala pabaya kwani mikakati na sera zake zinajikita katika kupambana na…
#HABARI: Washiriki wa Kozi ya Kumi na Nne ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania kutoka mataifa saba duniani, yakiwemo Misri, Mal…
#HABARI: Washiriki wa Kozi ya Kumi na Nne ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania kutoka mataifa saba duniani, yakiwemo Misri, Malawi, Rwanda, Burundi, Kenya, India na Tanzania, pamoja na…
#HABARI: Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) imekabidhi tani 2.9 za mbegu za mbaazi kwa uongozi wa Mkoa …
#HABARI: Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) imekabidhi tani 2.9 za mbegu za mbaazi kwa uongozi wa Mkoa wa Songwe, zilizofanyiwa utafiti na taasisi ya TARI Ilonga.…
Mzee hataki kuelewa hadi apate majibu yaliyonyooka kuhusu mtoto wake Mussa
Mzee hataki kuelewa hadi apate majibu yaliyonyooka kuhusu mtoto wake Mussa...
Radhia amemuuliza Mussa maswali magumu ambayo yamezimwa shwaaaa
Radhia amemuuliza Mussa maswali magumu ambayo yamezimwa shwaaaa
Utafiti wabaini wanaume kuhusika na bakteria ukeni
Wakati tatizo la bakteria ukeni likiwasumbua wanawake wengi, utafiti umebaini kuwapo uwezekano...
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mhe
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mhe. Zainab Telack, amekagua miradi mitatu ya maendeleo katika Manispaa ya Lindi yenye thamani ya Shilingi bilioni 15.7, inayohusisha ujenzi wa Soko Kuu, Stendi…
Uganda yawapa masharti magumu waandishi wa habari
Tume ya uchaguzi na vyombo vya usalama nchini Uganda vimetoa masharti kwa wanahabari watakaoandika na kusambaza habari za uchaguzi. Miongoni mwa masharti hayo ni kutowahoji waangalizi na kutangaza matokeo yasiyo…
Kukoma hedhi: Wakati homoni zinapoathiri uchumi
Kuna wanawake milioni 9 waliofikia umri wa kukoma hedhi katika nguvu kazi ya Ujerumani. Mabadiliko haya katika maisha yanaweza kuathari uchumi. Kuna mambo ambayo kampuni zinaweza kufanya ili kubaki na…
Afrika Kusini yaonya kuwepo kwa mamba na viboko katika maeneo ya makazi baada ya mvua kubwa
Mamlaka nchini humo zimewataka wakazi wa maeneo hayo kuwa waangalifu, na kuepuka maeneo yenye mafuriko.
Dk Migiro: Tusimame pamoja kulinda amani ya Taifa
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Watanzania wametakiwa kuacha tofauti zao ili...
Aliyempa Zidane jina ‘Zizou’ afariki dunia akiwa na miaka 72
Mchezaji wa zamani wa soka wa Ufaransa, kocha na mchambuzi wa michezo kwenye vyombo vya habari,...
Carrick aanza rasmi kazi Man United
Michael Carrick ameanza rasmi majukumu yake kama kocha wa muda wa Manchester United baada ya...
Je, sera za Marekani zinaathiri vipi safari za kimataifa
Akichambua hali hiyo, Sarah Cubitt aliandika kwenye tovuti ya Skift kwamba safari iliyokuwa ndoto kwa wengi sasa "imegeuka kuwa kitendo cha kisiasa, hatari kubwa, na mzigo wa kifedha".
Magdalena akabidhiwa Subaru yake, asema..
Mshindi wa gari aina ya Subaru XT Forester, Magdalena Nkuba, amekabidhia gari hilo huku akisema...
Kibatala ajiondoa kumtete Saad, kesi ya kughushi nyaraka Bandari ya Dar
Saad ni mshtakiwa wa tatu katika kesi ya kuwasilisha nyaraka za uongo katika bandari ya Dar es...
Michezo ya tatu hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kupigwa mwezi huu
Michezo ya tatu hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kupigwa mwezi huu. Wawakilishi wa Tanzania watakuwa viwanja vya ugenini, Yanga atakuwa Cairo kuwavaa Al Ahly wakati mnyama atakuwa Tunisia…
Shule za msingi safi kupokea wanafunzi
DODOMA: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Prof. Riziki Shemdoe ameridhishwa na maandalizi ya mapokezi ya wanafunzi wa darasa la awali na…
Kesi ya ‘vigogo wa Kigamboni’ yakwama
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeshindwa kusikiliza ushahidi katika kesi ya kuchepusha fedha...
#MEZAHURU “….leo hii ukiniambia mimi kuhusu mitandao ya kijamii siichukulii kama watu wengine wanavyoichukulia….mimi kwa upa…
#MEZAHURU "....leo hii ukiniambia mimi kuhusu mitandao ya kijamii siichukulii kama watu wengine wanavyoichukulia....mimi kwa upande wangu nikikutana na mtu yeyote ambaye yuko mwaka wa kwanza chuo anataka kuwa mfanyabiashara…
25,000 Mbeya Students reap benefits of innovative HEET project
MBEYA: THE Main Campus of Mbeya University of Science and Technology (MUST) has greatly benefited from the implementation of the Higher Education for Economic Transformation (HEET) Project, with the university…
Wagombea Urais Uganda 2026
Rais Yoweri Museveni ambae amekuwa madarakani tangu 1986 ni miongoni mwa wagombea wanaotaka kuchaguliwa kwa awamu nyengine.
Al Ameen Foundation yasaidia watoto vifaa vya shule Dar
DAR ES SALAAM; TAASISI ya kidini ya Al Ameen Foundation ya Dar es Salaam, imefanikiwa kugawa vifaa vya shule kwa watoto wapatao 150, ikiwa ni sehemu ya kusaidia elimu, utu…
MEZAHURU: “…kiutaalamu kidogo ni IT by Prefessional so nakumbuka kuna mtu alipoteza akaunti yake ya mtandao wa kijamii ilikuw…
MEZAHURU: “...kiutaalamu kidogo ni IT by Prefessional so nakumbuka kuna mtu alipoteza akaunti yake ya mtandao wa kijamii ilikuwa ni Instagram kipindi hicho, nilikuwa Dodoma so yeye yupo Dar, ni…