RSF yaua watu 27 huko Sennar, mashariki mwa Sudan
Watu 27 wameuawa na wengine 13 kujeruhiwa katika shambulio la wapiganaji wa Rapid Support Forces lililolenga mji wa Sinja, wakati watu waliokimbia makazi yao kutoka Darfur Kaskazini wakiendelea kuongezeka, huku…