TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU JANUARI 12, 2026 – UPEPO MKALI WAEZUA NYUMBA KALAMBO
TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU JANUARI 12, 2026 - UPEPO MKALI WAEZUA NYUMBA KALAMBO
TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU JANUARI 12, 2026 - UPEPO MKALI WAEZUA NYUMBA KALAMBO
Maandamano dhidi ya utawala yanaendelea nchini Iran, ambapo nchi hiyo katika hali tete baada ya mamlaka kuamua kufunga intaneti nchini kote ili kuzuia usambazaji wa picha na uandaaji wa maandamano.…
#HABARI: Ujenzi wa mradi wa Soko la Kimkakati la Kimataifa Kagunga wenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni mbili unaolenga kuboresha na kuimarisha shughuli za kibiashara hasa katika nchi jirani…
IShowSpeed, anayejulikana pia kama Speed, ni nyota maarufu wa mitandao ya kijamii kutoka Marekani ambaye hivi karibuni amevutia hisia za maelfu ya vijana barani Afrika, hasa Kenya.
Ripoti mpya kuhusu machafuko ya wakati wa uchaguzi wa 2025 nchini Tanzania imesema vikosi vya usalama viliwafyatulia risasi waandamanaji waliokuwa wakikimbia na kufanya "mauaji ya kiholela."
Unyanyasaji wa kingono unaohusiana na vita mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo umeongezeka huku msaada kwa walionusurika ukipungua kwa kiasi kikubwa.
Myanmar ilifanya mashambulizi ya kikatili dhidi ya jamii ya wachache wa Rohingya kwa lengo la kuiangamiza jamii hiyo, Gambia yasema.
Pamoja na mambo mengine, vikao vitakavyoanza kesho, wabunge watajua kamati zao za kudumu...
VIKOSI vya Ulinzi na Usalama vya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Vikosi Vya Idara Maalimu za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Pamoja vimefanya Matembezi Maalumu ya Kuadhimisha kutimia…
#HABARI: Wakati Serikali ya Tanzania ikiendelea kuimarisha miundombinu ya upatikanaji wa elimu ya juu nchini ikiwa ni pamoja na utoaji wa fursa za masomo kwenye mataifa tofauti ulimwenguni, wadau wa…
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeonyesha kukerwa na vitendo vya utovu wa nidhamu...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amesema nchi yake imejiandaa kwa 'vita na vilevile mazungumzo' na Marekani.
Bobi Wine, ameliambia shirika la Habari la AFP kwamba ataitisha maandamano ikiwa Rais Yoweri Museveni ataupora uchaguzi
Tume ya uchaguzi ya Uganda imewagiza waangalizi kutowasilisha ripoti zao za uchunguzi kuhusu uchaguzi kwa vyombo vya habari wala kwa umma kabla ya kuziwasilisha kwa tume hiyo.
Mahakama ya Umoja wa Mataifa ya Haki, ICJ, imeanza kusikiliza kesi ya mauaji ya halaiki dhidi ya Myanmar kuhusu ukandamizaji wa watu wa kabila la Rohingya.
Wakati kesho shule za msingi na sekondari nchini zikifunguliwa, Wakala wa Ufundi na Umeme...
Manchester United iko katika hatua za mwisho za kumteua Michael Carrick kuwa kocha wa muda - hatua inayokuja baada ya majuma kadhaa ya sintofahamu na mabadiliko ya benchi la ufundi.
Shirikisho la Soka barani Afrika, CAF limeanzisha uchunguzi na kuonya juu ya uwezekano wa kuchukuliwa hatua za kinidhamu.
Watu wenye silaha walivamia mashua yenye uvuvi Pwani ya Gabon na kuwateka, wapiga makasia tisa, kwa mujibu ya Wizara ya Ulinzi nchini humo. Imechapishwa: 12/01/2026 – 16:19 Dakika 1 Wakati…
Shirikisho la Soka barani Afrika, CAF limesema Jumatatu kwamba limeanzisha uchunguzi na kuonya juu ya uwezekano wa hatua za kinidhamu kufuatia "tabia zisizokubalika", baada ya wachezaji kupigana uwanjani.
LIGI Kuu ya Wanawake (WPL) inaendelea leo kwa mechi nne ngumu zitakazopigwa kwenye viwanja tofauti ikiwa ni raundi ya nane.
Maelfu ya Wairan wameandamana Jumatatu kuiunga mkono serikali, baada ya wiki mbili za maandamano ya kuipinga serikali yaliyochochewa na kudorora kwa uchumi.
Wakati Kivuko cha 'Mv Kazi' kikiwa kimefikisha siku sita bila kufanya kazi, wananchi wa...
Sera ya Uturuki barani Afrika inaingia katika hatua mpya ambapo ushawishi haupimwi tena kwa maneno, bali kwa vitendo.
🔴HAPA NA PALE KUTOKA ARUSHA - JANUARI 12, 2026
Utafiti mpya uliotolewa na Benki ya Dunia (WB) imeitaja Tanzania kuwa miongoni mwa nchi zilizo...
Nchini Uganda, Idara ya usalama imesema imejiandaa vilivyo kukabiliana na vitisho vyote vya usalama kuelekea uchaguzi mkuu wa siku ya Alhamisi, huku Tume ya Uchaguzi ikisema iko tayari kwa zoezi…
KUNA vita nyingi zinakwenda kushuhudiwa leo Jumanne katika fainali ya Kombe la Mapinduzi 2026 kwenye Dimba la Gombani kisiwani Pemba na Azam itacheza dhidi ya Yanga.
Ripoti ya kutetea haki za binadamu ya Human Rights Watch, imesema vitendo vya unyanyasaji wa kimapenzi, vinatumiwa kama silaha ya vita, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Imechapishwa: 12/01/2026…
Mbote kwenye kibano cha watesi wake wengine, atajinasuaje? Baba Mussa bado suala la mwanaye linamtesa.
Jamii nchini imetakiwa kuacha tabia ya kuwaficha watoto wenye uhitaji maalumu majumbani, kwani...
Hatua hiyo ilifikiwa ikiwa ni baada ya siku moja Gazeti la Mwananchi kuripoti bei ya vitu kupaa...
Dodoma. Uongozi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), umekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni na...
Uwezeshaji huu uliwezesha utekelezaji wa miradi muhimu ya miundombinu ya kitaifa ikiwamo...
MBEYA City inaendelea na maboresho dirisha hili dogo la usajili na kikosi hicho kutoka jijini Mbeya kiko kwenye hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa aliyekuwa beki wa kulia wa…
ALIYEKUWA mshambuliaji wa Simba Queens, Magnifique Umutesiwase amerejea nchini kwao Rwanda kujiunga na Indahangarwa inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake huko.
Aliyekuwa mlinzi wa Mgombea urais wa upinzani kutoka Chama cha (NUP), Robert Gyahulanyi (Bobi...
WAKATI Klabu ya Mbeya City ikiwa katika mazungumzo ya kupata saini ya kiungo mshambuliaji wa Simba, Awesu Ally Awesu, uongozi wa Kenya Police ya Kenya, umeingilia kati dili hilo kwa…
KOCHA wa Alliance Girls, Sultan Juma amesema kikosi hicho kimeweka mikakati ya kuhakikisha kinabakiza pointi tatu katika michezo yote ya nyumbani watakaocheza Uwanja wa Nyamagana, Mwanza ikiwa ni sehemu ya…
Rais Donald Trump amesema Marekani itaichukua Greenland "kwa namna moja ama nyingine" na kuonya kwamba Urusi na China wangelidhibiti eneo hilo, kama Marekani isingechukua hatua.
Kwa mujibu wa taarifa za serikali, sehemu nyingi za kazi za umma - ikiwa ni pamoja na taasisi za elimu na ofisi za utumishi wa umma - zimechelewa katika kutenga…
Shangazi Mwaija akajionea vihoja vya kufungia mwaka 😅
Shirikisho la soka Barani Afrika (CAF) linasema matukio katika mechi zote mbili yamewasilishwa kwa Kamati ya Nidhamu kwa uchunguzi kamili.
Ujerumani na India zinalenga kuupanua ushirikiano wao katika sekta ya ulinzi, na wizara za ulinzi za nchi hizo mbili zimetiliana saini kuhusiana na nia hiyo katika mkutano uliofanyika kwenye jimbo…
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema katika miaka 62 ya mapinduzi, wanajivunia jitihada...