Trump atafakari hatua dhidi ya Iran, maandamano yakishika kasi
Kwa mujibu wa ripoti ya Al Jazeera, maandamano hayo yanatajwa kuwa miongoni mwa changamoto...
Kwa mujibu wa ripoti ya Al Jazeera, maandamano hayo yanatajwa kuwa miongoni mwa changamoto...
Je Bala atafanikiwa kuona sura ya Sophia, Osman ashindwa kujizuia. Ni OTTOMAN kuanzia saa 4:00 usiku , usikose kufuatilia uhondo wa tamthilia hii. #AzamTWO
Majeshi hayo ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT) na Vikosi ya Serikali ya Mapinduzi ya...
Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa Januari 10, 2026 na ofisi ya Meneja wa Tanroads Mkoa wa...
Nusu fainali za mwaka huu za michuano ya AFCON 2025 zinawakutanisha vigogo wanne wa soka barani Afrika: Senegal, Misri, Nigeria na Morocco.
Wakati leo ikiadhimishwa miaka 62 ya mapinduzi Zanzibar, mabadiliko mengi ya kiuchumi na kijamii yanatajwa kufikiwa ikiwamo maendeleo na haiba ya visiwa hivyo.
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo kuanzia majira ya alasiri kwa saa za New York, Marekani limekutana katika kikao cha dharura kujadili mashambulizi ya makombora na ndege zisizo…
Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP), Cindy McCain, amewataka viongozi wa dunia kuchukua hatua za haraka kukomesha njaa zinazosababishwa na binadamu. Wito…
Nchini Chad, utekelezaji wa mradi wa kusambaza nishati ya umeme PAAET umefanikisha vifaa 145,000 vya nishati ya sola kusambazwa kwa gharama nafuu kwa kaya zilizoko majimbo 23 ya taifa hilo…
Shirika la Umoja wa Mataifa la afya duniani linaendelea na juhudi za kupambana na changamoto ya usugu wa Viuaji- Vyasumu au AMR na sasa imetoa miongozo na taratibu za kuhakikisha…
Katika ziara yake ya kwanza rasmi kama Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Wakimbizi, Barham Salih ametoa wito wa kuimarishwa kwa mshikamano wa kimataifa na uwekezaji endelevu ili kuwasaidia…
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa Kuchunguza Hali ya Haki za Binadamu nchini Venezuela umekaribisha hatua ya kuachiliwa kwa baadhi ya wafungwa wa kisiasa nchini humo katika siku za hivi…
Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP), Cindy McCain, amewataka viongozi wa dunia kuchukua hatua za haraka kukomesha njaa zinazosababishwa na binadamu.
Meta yafunga zaidi ya akaunti 544,000 nchini Australia baada ya marufuku.
Wapiga kura wanaweza kumrejesha madarakani kiongozi ambaye angeingia katika muongo wa tano wa utawala wake, au kumuunga mkono mgombea anayetaka kuleta mabadiliko
Mwanadiplomasia mwandamizi wa Iran anasema nchi yake inaangazia kuwa na makubaliano ambayo yanaheshimu haki za wote na usawa.
DAR ES SALAAM: FROM AI-Powered Farms to Solar-Powered Smart Cities, the Building Blocks of a Digital Nation Are Falling Into Place. For years, the story of technology in Tanzania has…
Kocha wa Morocco Walid Regragui ameibuka kwa hasira na kupinga vikali madai kwamba timu yake inanufaika na maamuzi ya upendeleo katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2025…
Mahakama ya Umoja wa Mataifa yaanza kusikiliza kesi ya mauaji ya kimbari dhidi ya Myanmar.
Huyo Awadh mwenyewe chizi, ‘mbili kasorobo’ 🤣😅
Huyu Firaz akili zake anazijua yeye, Usikose kufuatilia THE PRICE leo saa 3:00 usiku. #AzamTWO
DAR ES SALAAM: THE President of the United Republic of Tanzania, Dr Samia Suluhu Hassan, has extended her greetings to all Tanzanians as they celebrate the 62nd anniversary of the…
Ilibidi Bibie acheke tu 🤣😅 #KombolelaSeries #KombolelaSeason2
Wapiganaji wa mwisho wa vikosi vinavyoongozwa na Wakurdi wameondoka katika mji wa Aleppo kaskazini mwa Syria kufuatia makubaliano ya kusitisha mapigano makali yaliyodumu kwa siku kadhaa.
DAR ES SALAAM: THE Independent Power Tanzania Limited (IPTL) has won an appeal filed by Standard Chartered Bank Hong Kong in the Court of Appeal of Tanzania, which is Civil…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Johann Wadephul, anakutana siku ya Jumatatu na mwenzake wa Marekani Marco Rubio mjini Washington, kuhusu vitisho vya Marekani kuchukua Greenland hata kwa nguvu.
DAR ES SALAAM: THE Chairman of the Local Organising Committee for the 2027 Africa Cup of Nations (AFCON), Leodgar Tenga, has expressed satisfaction with Tanzania’s preparations ahead of the continental…
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, ametoa wito kwa askari wa Jeshi la Polisi na watumishi...
Karibu uwe sehemu ya kipindi cha Morning Trumpet kwa kuweka comment yako, umewahi kusikia juu kiasi cha juu cha kutunza nyumbani kwako na una maoni gani? Tuandikie maoni yako na…
Mamlaka za Iran zimedai kuwa hali imedhibitiwa baada ya maandamano kuitikisa Jamhuri hiyo ya Kiislamu. Wanaharakati wametahadharisha kuwa kuzimwa kwa intaneti kunaficha vitendo vya ukandamizaji na mauaji.
Ujerumani na India zimepanga kuongeza ushirikiano wao katika sekta ya ulinzi.
ARUSHA: THE government is intensifying efforts to control dangerous and destructive wildlife through increased use of technology, expansion of ranger posts, provision of modern equipment and continued strengthening of security…
Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Mombo, John Mapolu, amesema majeruhi wengine 13 waliopata...
MWANZA: Wananchi wa mtaa wa National, kata ya Nyakato wilayani Ilemela, mkoani Mwanza wameshauri kuwepo wa mikutano ya hadhara kila mwezi, kufahamishwa serikali imewafanyia shughuli zipi kimaendeleo. Wito huo umetolewa…
Wakimbizi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, walioko katika kambi ya Bikinga nchini Burundi, wamedai kutoridhishwa na hali ya maisha kutokana na huduma dhaifu za afya, makazi duni na hali…
AFCON NUSU FAINALI Wamebakia wababe wanne.. Je, timu gani kutinga fainali? Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii. #AFCON25 #Azamtvsports
TANGA: Watu wanne wamepoteza maisha kufuatia ajali ya kugongana uso kwa uso kati ya magari mawili, iliyotokea katika eneo la Mkumbara, Tarafa ya Mombo, wilayani Korogwe, kwenye barabara kuu ya…
ARUSHA: FRESH from being spotlighted by CNN Travel as one of the world’s best places to visit in 2026, Arusha National Park is stepping up efforts to position itself as…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi, amesema siku ya Jumatatu kwamba hali nchini humo imedhibitiwa kikamilifu baada ya ukandamizaji wa kikatili wa maandamano ya nchi nzima.
Nawanda amemdaka yuleeee aliyemtia fedheha 🙌
KIBAHA: IN a bid to align with the government’s strategy to transform the Coast Region into the country’s industrial hub, councillors in the region have been urged to be innovative…
Fainali NMB Mapinduzi Cup ni Dar es Salaam Derby, AzamFC dhidi ya Yanga SC. Mechi hii itapigwa Januari 13, 2026. Mechi hii itapigwa kuanzia saa 10:30 jioni na kuruka mbashara…
ARUSHA: THE Minister for Industry and Trade, Judith Kapinga, has directed heads of institutions under her docket to develop strategies that will enable them to operate independently, without relying on…
DAR ES SALAAM: Education is often described as the great equaliser—and for good reason. It shapes minds, builds character, and quietly prepares societies for the future long before economic growth…
Muda wowote kuanzia sasa, Yanga itamtambulisha kiungo mshambuliaji, Allan Okello (25) kama...
ZANZIBAR: The National Bank of Commerce (NBC) has reaffirmed its strategic commitment to supporting Zanzibar’s economic transformation by financing large-scale infrastructure projects that catalyse growth across key sectors. This follows…
Serikali ya Zanzibar, kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, imeanza kufanya maboresho ya miundombinu ya usafiri wa baharini na kuchochea ukuaji wa uchumi wa visiwa hivyo kupitia ujenzi wa kituo kipya…
TANGA: THE government has urged private sector players in Tanga Region to capitalise on emerging investment opportunities within local government authorities and public institutions in order to accelerate economic growth…
DAR ES SALAAM: THE Dar es Salaam Stock Exchange (DSE)’s market capitalisation soared by 34.3 per cent at the end of last year, buoyed by favourable macroeconomic conditions, regulatory reforms…
Maafisa wa Marekani wamesema walikuwa na chanzo maalum kilichotoa taarifa za kina kuhusu mahali alipo Maduro, jambo ambalo lilikuwa muhimu kwa operesheni hiyo.