Pamba yazindua jezi baada ya miezi mitano
HATIMAYE Klabu ya Pamba jiji ya Mwanza imezindua rasmi jezi za msimu wa 2025/2026 na uuzaji wake utaanza leo katika mkoa wa Mwanza, baada ya subira ya mashabiki ya takribani…
HATIMAYE Klabu ya Pamba jiji ya Mwanza imezindua rasmi jezi za msimu wa 2025/2026 na uuzaji wake utaanza leo katika mkoa wa Mwanza, baada ya subira ya mashabiki ya takribani…
DODOMA: Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ally Gugu, amewataka wafanyakazi wa wizara hiyo kuendelea kudumisha mshikamano, upendo na ushirikiano kazini, akisisitiza kuwa umoja wao ndio…
#HABARI: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana, Mhe. Joel Nanauka, amesema Serikali inatambua umuhimu wa kuwepo kwa jukwaa rasmi litakalowawezesha vijana kutoa maoni, mawazo na ushauri wao…
Gavana wa mji wa Aleppo nchini Syria Azzam al-Gharib amesema kwamba mapigano yanayoendelea katika vitongoji vya Wakurdi kaskazini mwa Syria yamewafanya takribani watu zaidi ya 155,000 kuyakimbia makazi yao.
Shirika la kimataifa la ufuatiliaji wa intaneti la NetBlocks limesema kwamba "vipimo vyake vinaonyesha kuwa kukatika kwa intaneti kote nchini kunaendelea kutumika hata baada ya saa 36.
Shirika hilo limesema kati ya jumla ya vifo 53 vilivyorekodiwa, watu 25 wamekufa kutokana na mlipuko wa kipindupindu, huku wengine sita wakifariki kutokana na upungufu wa damu na matatizo yanayohusiana…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA SIMIYU - JANUARI 10, 2026
Mbeya. Mbunge wa Uyole Mkoa wa Mbeya, Dk Tulia Ackson ametoa mahitaji mbalimbali zikiwepo sare...
DAR ES SALAAM : BARAZA la Mitihani Tanzania (Necta) limefuta matokeo ya wanafunzi 19, wakidaiwa waliandika matusi kwenye karatasi zao za majibu ya upimaji wa kitaifa, ambapo 11 ni kidato…
DAR ES SALAAM :BARAZA la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa darasa la nne, ambapo ufaulu kwa darasa la nne umeongezeka asilimia 2.67 na ufaulu kidato…
Januari 10 inaashiria kuanzishwa kwa kwa sheria ya 1961 ya kuboresha haki za waandishi wa habari huko Uturuki, ikiwa ni pamoja na usalama wa kazi na mishahara ya haki.
Taifa Stars imeishia katika hatua ya 16 bora ya Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025...
Rais Samia Suluhu Hassan, amesema tuzo ilizotunukiwa Tanzania ikiwemo ya kuwa kituo bora cha utalii duniani ni uthibitisho wa sifa nzuri ilizonazo, huku akisema waliotaka kuivuruga amani ili kuichafua nchi,…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kuwa alishtushwa na taarifa za mgomo wa wachezaji wa Taifa Stars kabla ya Fainali za AFCON 2025 kutokana na…
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kumteua Makamu wa Rais mstaafu, Dkt Philip Mpango kuwa mshauri wake wa masuala ya uchumi na miradi. Pamoja naye, ametangaza kumemteua Waziri Mkuu mstaafu, Kassim…
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA JIONI - 10/1/2026
RAIS Samia Saluhu Hassan ameipongeza timu ya taifa ‘Taifa Stars’ kwa kufika 16 bora ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025), inayoendelea huko Morocco.
RAIS Samia Saluhu Hassan ameipongeza timu ya taifa ‘Taifa Stars’ kwa kufika 16 bora ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025), inayoendelea huko Morocco.
Rais amesema uamuzi huo umetokana na mahitaji mapya ya uendeshaji wa Serikali katika mazingira...
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, wameapa kulinda mali ya umaa, wakati huu maandamano makubwa yakiendelea kwa siku kadhaa sasa dhidi ya serikali. Imechapishwa: 10/01/2026 – 14:59Imehaririwa:…
Afrika Kusini, imetetea hatua ya kushirikiana na Urusi, Iran na China kwenye mazoezi ya kijeshi Baharini. Imechapishwa: 10/01/2026 – 14:52 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma yanayofuata…
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bishoftu utakuwa na nafasi ya kuegesha ndege 270 na uwezo wa kubeba abiria milioni 110 kwa mwaka, Waziri Mkuu Abiy Ahmed Ali alisema.
#HABARI: Gari aina ya Range Rover linateketea kwa moto muda huu katika barabara ya Mandela na kusababisha foleni maeneo ya Mwananchi jijini Dar es Salaam. Chanzo cha moto huo hakijajulikana…
Familia imetua nyumbani kwa Mashavu. Usikose kutazama #KombolelaSeries leo saa 1:00 usiku ndani ya #SinemaZetuHD
Wakimbizi zaidi ya 50 waliokimbia machafuko katika nchi yao ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, wamepoteza maisha wakiwa kambini, katika nchi jirani ya Burundi. Imechapishwa: 10/01/2026 – 14:42Imehaririwa: 10/01/2026 –…
Happy birthday Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo bi. Sharifa Nabalang'anya (@sharifa_nabal). #CMG inakutakia maisha marefu yenye mafanikio na baraka ndani yake. #Clouds26Nyoosha
"...pale Ikulu nahitaji akili iliyopevuka yenye maarifa mapana, yenye uzoefu mkubwa na mtu ambaye yuko vizuri kwenye kujieleza na kueleza jambo likaeleweka, nimepiga picha serikalini kwangu kote nikasema Profesa Kabudi…
Ni Nigeria Super Eagles dhidi ya Algeria majira ya saa moja jioni kwa saa za Afrika Mashariki katika uwanja Stade de Marekhesh huku Misri wakiwa kibaruani kumenyana na mabingwa watetezi…
#HABARI: Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Zainab Katimba ameeleza kuwa ukatili wa kijinsia ni kosa la jinai na kila mwanachi wa Tanzania ana haki na wajibu wa kuripoti…
#HABARI: Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Yusuph Juma Mwenda, amefunga rasmi kikao cha tathmini ya utendaji kazi kwa nusu mwaka wa fedha 2025/2026, akisisitiza umuhimu wa…
Abate Temu amesema hayo ni kwa sababu haki na amani ni matunda ya Kimungu yasiyotengenezwa na...
This article explores the molecular underpinnings of TB-500, examines the domains in which it...
Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Saluhu Hassan, ameipongeza timu...
Mwandambo, mwalimu wa Shule ya Awali ya St. Clemence, amekuwa maarufu mitandaoni kutokana na...
Abate Temu amesema hayo ni kwa sababu haki na amani ni matunda ya Kimungu yasiyotengenezwa na...
#HABARI: Meneja wa Uwakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Katavi Mhandisi Innocent Mlay, amesema kuwa Mkoa wa Katavi umejipanga kufanya ukaguzi wa mara kwa mara katika…
Kila siku yanaibuka mambo aisee, Usikose kutazama #NomaSeries leo saa 1:00 usiku ndani ya #SinemaZetuHD
Ripoti mpya iliyozinduliwa na Waziri wa Madini na Uchumi wa Bluu, inasema nchi inatathmini jinsi ardhi iliyotumika hapo awali kuchimba madini inavyoweza kurekebishwa na kutumika tena kwa manufaa ya kijamii,…
KESHOKUTWA kitawaka katika Uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza ambapo mashabiki wa Simba na Pamba Jiji watapomenyana katika mchezo wa kirafiki ikiwa ni sehemu ya kunogesha sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar.
"Moja ya thamani ya ndoa ni uhai wa watu wawili husika waliokubaliana kuishi pamoja wenye mitazamo chanya ambayo huleta furaha, amani na maendeleo, endapo thamani ya ndoa itaondoka muda wa…
Kwa mwaka wa fedha 2025/26, Serikali inaendelea na utekelezaji wa miradi mbalimbali ikiwemo...
"....hoteli moja ambayo iko Tanzania na yenyewe imepata kikombe, tumepata vikombe vitano, sasa Tanzania kituo muhimu cha utalii Afrika na Dunia hiyo ni sifa hiyo ni sifa kubwa, kwa hiyo…
Msichana mmoja balehe nchini Haiti aliyelazimika kukimbia nyumbani kwake katika mji mkuu, Port-au-Prince, kutokana na vurugu za magenge, amewaomba watu wazima wasikatie tamaa kwa watoto.
Mashirika na vyombo husika ni pamoja na: UNFPA, UNCTAD, ITC na ICTRs, UN Women Mikataba ya kimataifa ukiwemo UNFCCC wa mabadiliko ya tabianchi Na baasdhi ya Ofisi za Wawakilishi Maalum…
Ujumbe Huru wa Kimataifa wa Umoja wa Mataifa wa Kuchunguza Ukweli kuhusu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umeitaka serikali ya Iran kurejesha mara moja huduma za intaneti na mawasiliano ya…