Uwanja wa soka wazinduliwa Dar
Dar es Salaam. Kampuni ya TECNO Mobile Limited imezindua uwanja wa kisasa katika eneo la...
Dar es Salaam. Kampuni ya TECNO Mobile Limited imezindua uwanja wa kisasa katika eneo la...
Jeshi la Iran lasema litalinda miundombinu na mali ya umma, likiwataka Wairani kuzuia njama za adui huku mamlaka zikikandamiza maandamano.
"....Mheshimiwa Profesa Palamagamba John Kabudi Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo.....Mheshimiwa Paul Christian Makonda Waziri mteule bado tunamjua Kabudi kama Waziri kwa sababu Makonda hajaapa, na ninaweza kubadilisha maamuzi…
Amesema kabla ya Mapinduzi, zilikuwapo baadhi ya barabara lakini hazikuwa na hadhi wala ubora...
".....kuhusu ufaulu kishule....asilimia 99.3 zimepata wastani wa madaraja ya ufaulu ya A mpka D, shule 144 zimepata wastani wa daraja E ambalo ndilo daraja la chini zaidi lenye alama kati…
Trump anawakutanisha viongozi kutoka kampuni kuu za mafuta, akiwahakikishia usalama wao wakifanya kazi katika nchi tajiri ya mafuta Amerika Kusini.
Mwenyekiti wa kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Mashindano ya CHAN na AFCON Bw.Leodegar Tenga akizungumza katika hafla ya kuipongeza Timu ya Taifa, Taifa Stars inayofanyika Ikulu jijini Dar es…
Marekani. Rais Donald Trump wa Marekani amerejea tena kauli yake ya kutaka nchi yake ichukue...
Unajua muonekano wako unaweza kukufukuzisha kazi? huko Marekani mmoja wa wahudumu wa afya amefukuzwa kazi baada ya wagonjwa kulalamika kuwa hawaridhishwi na mtindo wake wa nywele na pia inavuja miiko…
Admin hakumbuki mara ya mwisho Cholo na Baba yake kuwa kwenye ukurasa mmoja kama hivi 🥹
KILIMANJARO: SKIN health remains a vital yet often under-prioritised component of public health globally. Across East, Central and Southern Africa, skin diseases continue to rank among the leading causes of…
Serikali iko mbioni kukamilisha mradi mkubwa wa ‘umeme jua’ ulioopo wilayani Kishapu mkoani Shinyanga ambao unatarajiwa kuchangia megawati 50 katika gridi ya taifa. Mradi huo ambao umefikia zaidi ya asilimia…
Ni baada ya meya wa mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, Vitaliy Klitschko kuwasihi wakazi katika mji huo kuondoka mara moja kutokana na kukatika kwa umeme katika sehemu kubwa ya mji…
".....kwa upimaji wa darasa la nne ufaulu wa jumla umepanda kwa asilimia 2.7....asilimia 88.91 wamefaulu...." Prof.Said Mohamed - Katibu Mtendaji NECTA Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: -…
Umeshawahi kuwa hatiani kwa yasiyokuhusu? ngoja nikusogezee "ubuyu" watu 10 wakiwemo wanaume wanane na wanawake wawili wamejikuta hatiani kwa unyanyasaji wa kijinsia baada ya kuzusha kuwa mke wa raisi wa…
KLABU ya Azam huenda ikaachana na winga Mtunisia Baraket Hmidi, baada ya mchezaji huyo kushindwa kulishawishi benchi la ufundi la timu hiyo chini ya Kocha Mkongomani Florent Ibenge tangu asajiliwe.
Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi, amesema wanajivunia miundombinu ya elimu...
MAAFANDE wa Tanzania Prisons wameanza mazungumzo na Singida Black Stars kwa ajili ya kupata saini ya Ayoub Lyanga kwa mkopo katika dirisha hili dogo la usajili ikiwa ni pendekezo la…
BAADA ya kuinasa saini ya Denis Nkane kutoka Yanga, TRA United imehamia Simba ikiwinda saini ya mkongwe Mzamiru Yassin ili kuongeza nguvu eneo la kiungo.
Msanii wa Bongo Fleva @hamadaitz_amefichua kuwa bado ana hisia za kimapenzi kwa @linahafrica licha ya kutokubaliwa rasmi. Akizungumza kwenye kipindi cha #TheSpark, Hamadai alisema kuwa walikutana kwenye kazi ya pamoja…
LICHA ya kukabiliana na ushindani mkali wa namba katika kikosi cha Mashujaa FC, kipa Lameck Kanyonga bado ana imani atapata nafasi ya kucheza na hawezi kuikimbia changamoto hiyo.
Mashambulizi hayo ya vikosi vya serikali yamefanyika usiku kucha katika eneo hilo la Sheikh Maqsud baada ya muda wa mwisho uliowekwa kwa wapiganaji wa Kikurdi kusitisha mapigano na kujiondoa katika…
@hamadaitz_ ameweka wazi kuwa alipokea kwa msisimko mkubwa taarifa za kuteuliwa na uongozi wa Clouds Media Group kufanya Hour Top ya mwaka mzima. Akizungumza kwenye kipindi cha #TheSpark na mtangazaji…
KUSHINDA mechi zote tatu za First League siyo bahati mbaya kwa maafande wa Rhino Rangers ya Tabora, kwani wamedhamiria kufanya vizuri na kupanda daraja kwenda Ligi ya Championship msimu huu.
DAR ES SALAAM: THE rapid advancement of digital technology has transformed how young people communicate, learn and socialise. For today’s adolescents, the online world is not separate from reality it…
Akiyazungumzia maandamano hayo kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwake, Kiongozi mkuu wa Iran Ali Khamenei amewaita waandamanaji hao kuwa ni waharibifu na wahalifu na kuishutumu Marekani kwa kuichochea hali…
Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla katika Ikulu ya White House, Trump amesema Washington itafanya "kitu" kuhusu Greenland, iwe wengine wanapenda au la.
''Kuna ambao wanaoigiza sauti za viongozi wananiigiza pia'' @kingwendu_og Usikose kutazama ALAMA kila Alhamisi saa 2:00 usiku kupitia #SinemaZetuHD ukiwa na @sophiamgaz
Manchester United wamepata habari njema baada ya Cameroon ya Bryan Mbeumo kutolewa kwenye...
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, amesema Mradi wa Umeme unaozalishwa kwa nguvu ya Jua uliopo Kishapu, Mkoani Shinyanga, uko mbioni kukamilika ambapo jumla ya megawati 50 zinatarajiwa kuingizwa…
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetoa ajira za kudumu kwa wahitimu 136 kutoka vyuo vikuu mbalimbali nchini kupitia programu ya mafunzo ya uzoefu wa kazi (Internship Program) katika kipindi…
#HABARI: Naibu Naziri wa Nishati Mh. Salome Makamba, amewaelekeza wakandarasi wanaotekeleza miradi nchini, kuhakikisha Watanzania wazawa wanapata ajira katika miradi hiyo lengo kuu likiwa ni kupunguza changamoto mtambuka ya uhaba…
#HABARI: Mbunge wa Kundi la Vijana Kanda ya Pemba, Mhe. Zainab Abdallah, amechangia kiasi cha shilingi milioni 20.7 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa miradi ya maendeleo ya Umoja wa…
Takribani Maofisa 14 wa usalama wamefariki dunia tangu kuanza kwa maandamano ya vijana nchini...
RUBONDO Island National Park is a hidden gem in Tanzania, located on an island in Lake Victoria. It is a haven for wildlife and nature lovers. The park is home…
DAR ES SALAAM: Makamu Mwenyekiti Bara wa Chama cha ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita atakuwa na ziara ya siku saba kwenye majimbo ya mikoa ya Dar es Salaam, Tanga na Kilimanjaro…
Leo ni tarehe ya mwisho wa mwezi wa kwanza wa mwaka Januari. Bado miezi miwili tena kuumaliza...
DAR ES SALAAM: Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba amesema mradi wa umeme unaozalishwa kwa nguvu ya jua uliopo Kishapu, mkoani Shinyanga upo mbioni kukamilika. Amesema jumla ya megawati 50…
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa ameziomba taasisi za fedha nchini zikiwemo benki kuweka utaratibu wa kuwakopesha wafugaji kwa kutumia dhamana za mifugo yao kama ilivyo…
DAR ES SALAAM; Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), ACP Beng’i Issa, ametembelea vituo vitatu vya uwezeshaji wananchi kiuchumi jijini Dar es Salaam na kutoa…
DAR ES SALAAM: Discussions about graduate employment often focus on shortages and policy gaps, but the National Bank of Commerce internship programme illustrates how employers can respond through structured workforce…
SINGIDA Black Stars imeondoshwa hatua ya nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi 2026, huku safu yao ya ulinzi ikionekana kutokuwa imara katika kujilinda.
Mjomba kagoma Melis kwenda shule tena, Usikose kufuatilia kisa hiki cha 6 of Us kuanzia saa 2:00 usiku. #AzamTWO
WAKATI bingwa wa kihistoria wa Kombe la Mapinduzi, Azam FC ikijiandaa kuikabili Yanga katika fainali ya michuano hiyo, kuna nyota watatu wametengwa kwa kupewa programu maalumu.
Dear nephew Milambo, I greet you with deep respect and warmth in the sacred name of Limatunda, the great god of our Nyamwezi people. May Limatunda continue to watch over…
Matokeo ya darasa la nne haya hapa...
ZANZIBAR; RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kukua kwa uwekezaji nchini kumewezekana kutokana na uwepo wa amani na utulivu wa kisiasa, na kuwataka wanaochochewa kuvunja amani kuacha mara moja. Aidha, amesisitiza…
Taarifa ya pamoja inasema ziara hiyo inakiuka sheria za kimataifa, inadhoofisha uadilifu wa ardhi ya Somalia, na hatari inayochochea ukosefu wa utulivu wa kikanda.
Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa darasa la...