#MALUMBANOYAHOJA: KAMPENI YA UDHIBITI WA BIDHAA AMBAZO ZIMEPITWA NA MUDA WA MATUMIZI YAKE
#MALUMBANOYAHOJA: KAMPENI YA UDHIBITI WA BIDHAA AMBAZO ZIMEPITWA NA MUDA WA MATUMIZI YAKE. JE, ELIMU INATOLEWA IPASAVYO ILI KUKOMESHA TATIZO HILO?
Tanzania: Msako dhidi ya vyombo vya habari visivyokuwa na vibali kufanyika
Mamlaka nchini Tanzania, zimetangaza msako dhidi ya waandishi na vyombo vya Habari ambavyo vinafanya kazi bila kuwa na kibali, hatua hii ikilenga kuongeza udhibiti kuhusu uchapishaji wa Habari nchini humo.…
Mahusiano yanayochipua kati ya Ujerumani na India
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz atafanya ziara yake ya kwanza rasmi mjini New Delhi, akilenga kuiimarisha India kama mshirika wa kibiashara na kijiografia kisiasa, ingawa hatua hiyo si rahisi kutekelezwa.
Shauri la ACT-Wazalendo kupinga ubunge Lindi Mjini lafutwa
Shauri hilo la uchaguzi namba 30403/2025 lilifunguliwa na aliyekuwa mgombea ubunge jimboni humo...
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Emmanuel Tutuba, amesema kuwa kasi ya ukuaji wa uchumi wa Tanzania Bara kwa robo ya kwanz…
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Emmanuel Tutuba, amesema kuwa kasi ya ukuaji wa uchumi wa Tanzania Bara kwa robo ya kwanza ya mwaka 2026 inakadiriwa kufikia asilimia 6,…
DRC. Uzinduzi wa nambari mpya za usajili wa magari wazua utata
Mageuzi ya nambari mpya za usajili wa magari kwa mfumo ulio salama nchini DRC, uliyotangazwa na Kurugenzi Kuu ya Ushuru, na ambayo yalianza kutumika rasmi Januari 6, 2026, yamesababisha kutoelewana…
Jeshi la Syria laamuru raia wahame Aleppo
Mapigano makali yameendelea mjini Aleppo kati ya jeshi la Syria na wapiganaji wa Kikosi cha Ulinzi wa Syria SDF kinachoongozwa na Wakurdi.
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mboni Mhita ameiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga kuhakikisha inakamilisha kwa asilimi…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mboni Mhita ameiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga kuhakikisha inakamilisha kwa asilimia 100 maabara ya Phizikia ya Shule ya Sekondari Igalamya Kata ya Usule…
Lebanon yakamilisha awamu ya kuipokonya silaha Hezbollah
Jeshi la Lebanon limesema limekamilisha awamu ya kwanza ya mpango wake wa kupokonya silaha kundi la Hezbollah kusini mwa nchi hiyo, hatua ambayo Israel imeitaja kuwa ya matumaini lakini "bado…
Urusi yaituhumu Marekani kwa kuchochea mvutano
Urusi imeishtumu Marekani kwa kuchochea mvutano na kuhatarisha usafiri wa kimataifa baharini baada ya kukamata meli ya mafuta iliyokuwa ikipeperusha bendera ya Urusi katika Bahari ya Atlantiki Kaskazini.
Rais wa Ujerumani: Marekani inavuruga mfumo wa dunia
Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier amekosoa vikali sera ya kigeni ya Marekani ya Rais Donald Trump na ameyahimiza mataifa yasiruhusu utaratibu wa dunia kusambaratika.
AFCON: Mali yajianda kuingia robo fainali kwa ujasiri
Timu ya taifa ya Mali inaingia robo fainali ya AFCON ikiwa na motisha wa hali ya juu baada ya kupambana vilivyo dhidi ya Tunisia.
Yanga vs Singida BS utamu upo hapa
WATU wanajiuliza itakuwaje mechi ya Yanga dhidi ya Singida Black Stars leo Ijumaa katika nusu fainali ya pili ya Kombe la Mapinduzi 2026 itakayochezwa saa 2:15 usiku kwenye Uwanja wa…
Ngoja tuone!
WATU wanajiuliza itakuwaje mechi ya Yanga dhidi ya Singida Black Stars leo Ijumaa katika nusu fainali ya pili ya Kombe la Mapinduzi 2026 itakayochezwa saa 2:15 usiku kwenye Uwanja wa…
Wadau walalamikia kanuni za kudhibiti uchovu wa madereva
Dar es Salaam. Wadau wa usafirishaji wametoa maoni kwa baadhi ya vipengele vya Kanuni za...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dr Samia Suluhu Hassan amezindua Jengo la Taaluma na Utawala Pamoja na Bweni la wana…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dr Samia Suluhu Hassan amezindua Jengo la Taaluma na Utawala Pamoja na Bweni la wanafunzi la Taasisi ya Sayansi Bahari ya Chuo…
Marekani inaweza kudumisha udhibiti wa Venezuela kwa miaka kadhaa, kulingana na Trump
Kulingana na Rais wa Marekani Donald Trump, udhibiti wa Marekani kwa Venezuela unaweza kudumu “muda mrefu zaidi” kuliko mwaka mmoja, amesema katika mahojiano yaliyochapishwa siku ya Alhamisi, Januari 8, na…
Kuanguka kwa Maduro, Trump anaweza kuivamia Afrika
Hatua ya Marekani kumteka na kumuondoa madarakani Kiongozi wa Venezuela, Nicolas Maduro, imezua hasira na mjadala barani Afrika.
🔴HAPA NA PALE KUTOKA DODOMA – JANUARI 08, 2026
🔴HAPA NA PALE KUTOKA DODOMA - JANUARI 08, 2026
Serikali imesema vijana nchini wanapaswa kuendelea kuchangamkia fursa za ajira zinazotafutwa ughaibuni katika taaluma na fani mb…
Serikali imesema vijana nchini wanapaswa kuendelea kuchangamkia fursa za ajira zinazotafutwa ughaibuni katika taaluma na fani mbalimbali ili kuendelea kunufaika ikiwemo fursa 8,000 mpya ambazo serikali imezitafuta kwenye mataifa mbalimbali…
Urusi: Mtafiti Mfaransa Laurent Vinatier, aliyekuwa anazuiliwa tangu Juni 2024, ameachiliwa
Urusi imemwachilia huru mtafiti wa Ufaransa Laurent Vinatier kwa kubadilishana na kuachiliwa huru kwa mchezaji wa mpira wa kikapu wa Urusi Daniil Kasatkin, shirika la habari la Urusi TASS limeripoti…
Wapinzani wahimiza maandamano zaidi Iran
Makundi ya kutetea haki za binaadamu yamesema kuwa vikosi vya usalama nchini Iran vimetumia mabomu ya kutoa machozi na risasi za moto kuwatawanya waandamanaji, ambao wamegadhabishwa na mzozo wa kiuchumi.
Dili zikitiki Tanzania Prisons kazi mnayo!
VIONGOZI wa timu ya Tanzania Prisons wanaendelea na vikao vya tathmini mkoani Dodoma, ili kupata picha ya kipi wakifanye katika usajili wa dirisha dogo litakalofungwa Januari 30, lakini kama michongo…
Aga Khan yazindua mfumo wa kielektroniki wa kumbukumbu za wagonjwa
Utekelezaji huo, umezingatia Mpango wa One Health wa Mtandao wa Maendeleo wa Aga Khan (AKDN).
#HABARI: Shirikisho la Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) limeutaarifu umma, wanachama wake, washirika, na wadau kuhusu mabadiliko ya…
#HABARI: Shirikisho la Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) limeutaarifu umma, wanachama wake, washirika, na wadau kuhusu mabadiliko ya uongozi wa Shirikisho. Oktoba 3, 2025, Baraza la Uongozi la TPSF lilimsimamisha kazi…
#Habari: Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kupitia Kamati ya Sera ya Fedha (MPC), imeamua kubakiza Riba ya Benki Kuu (CBR) katika kiw…
#Habari: Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kupitia Kamati ya Sera ya Fedha (MPC), imeamua kubakiza Riba ya Benki Kuu (CBR) katika kiwango cha asilimia 5.75 kwa robo ya kwanza ya…
Wizara ya Katiba na Sheria imesaini makubaliano ya ushirikiano na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) pamoja na Legal Services Facility…
Wizara ya Katiba na Sheria imesaini makubaliano ya ushirikiano na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) pamoja na Legal Services Facility, kwa lengo la kuboresha upatikanaji wa huduma za msaada wa…
Vaibu la mapokezi ya Taifa Stars
KULIKUWA na vaibu la aina yake jana wakati wa tukio la kuwasili kwa kikosi cha Taifa Stars kilichorejea kikitokea nchini Morocco lilikoenda kushiriki Fainali za 35 za Kombe la Mataifa…
Serikali yasema itaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wajasiriamali wadogo kote nchini ili waweze kunufaika kiuchumi kupitia s…
Serikali yasema itaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wajasiriamali wadogo kote nchini ili waweze kunufaika kiuchumi kupitia shughuli zao jambo litakalosaidia kuboresha maisha yao kuchangia pato la taifa kupitia kodi watakayozalisha.
#Habari: Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), kupitia kwa Kaimu Mkurugenzi Msaidizi Halima Lutavi, imetangaza kuchukua h…
#Habari: Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), kupitia kwa Kaimu Mkurugenzi Msaidizi Halima Lutavi, imetangaza kuchukua hatua kali dhidi ya kampuni ya usafirishaji iliyohusika na kashfa ya usafirishaji wa dawa…
Machafuko Aleppo: Raia waombwa kuondoka mara moja
Maafisa nchini Syria wamewataka raia kuondoka katika maeneo yanayozozaniwa ya mji wa Aleppo kaskazini mwa Syria.
#Habari: Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Kanda ya Kusini, limeteketeza bidhaa mbalimbali zisizofaa kwa matumzi ya binadamu iki…
#Habari: Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Kanda ya Kusini, limeteketeza bidhaa mbalimbali zisizofaa kwa matumzi ya binadamu ikiwemo nguo za ndani za mitumba, vipodozi na vinywaji vyote vikiwa na thamani…
Waasi wa AFC/M23 wazika miili ya waliouwawa Masisi
Waasi wa AFC/M23 wamefanya mazishi ya miili ya watu 22 waliofariki katika mashambulizi yaliyofanywa na droni za serikali ya Kinshasa katika kipindi cha zaidi ya miezi miwili.
Bunge la Seneta lamjia juu Trump sakata la Venezuela
Miongoni mwa Wabunge wanaounga mkono muswada huo, Rand Paul amesema kuwa kupitishwa kwa muswada...
Ajira mpya 1,000 zanukia, madereva na mafundi viyoyozi…
Mchakato wa kuwapata vijana hao na ajira zingine zinazotarajiwa kutangazwa mchakato utaanza...
Je tamaa ya Trump kuitaka Greenland itaivuruga NATO?
Marekani imesema Rais Donald Trump anatafakari njia kadhaa ikiwemo hatua za kijeshi za kuichukua Greenland licha ya Denmark kuonya vikali kwamba shambulio lolote litaashiria kuvunjika kwa muungano wa kijeshi wa…
#Habari: Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanya operesheni mwishoni mwa Disemba, 2025, na kufaniki…
#Habari: Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanya operesheni mwishoni mwa Disemba, 2025, na kufanikiwa kukamata kilogamu 9,689.833 za dawa za kulevya, pikipiki kumi na moja…
Abiria na watumiaji wa huduma za viwanja vya ndege Zanzibar wamehimizwa kutembelea Maonesho ya 12 ya Kimataifa ya Biashara Zanzi…
Abiria na watumiaji wa huduma za viwanja vya ndege Zanzibar wamehimizwa kutembelea Maonesho ya 12 ya Kimataifa ya Biashara Zanzibar katika Kituo cha maonesho Dimani ili kutambua haki zao wanapokuwa…
TPSF yasitisha mkataba wa ajira wa Maganga, sababu yatajwa
Taarifa hiyo inaeleza kuwa baada ya kukamilika, ripoti ya ukaguzi wa kiuchunguzi ilipitiwa...
Taifa Stars yapokelewa kwa heshima
Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo wa Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi, amesema nchi hiyo sasa ni mshindani halisi wa michuano ya AFCON baada ya Taifa Stars kufuzu hatua ya 16…
Pwani yajipanga ushindani kimataifa uwekezaji wa viwanda
Kunenge amesisitiza umuhimu wa watendaji wa Serikali kufanya kazi kwa ushirikiano na mshikamano...
Uchaguzi Mkuu 2025 wapingwa Mahakama ya Afrika Mashariki
Magoti na Wangwe wamefungua shauri hilo dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Tanzania na...
Kupitia kipindi cha #CloudsE kinachorushwa na Clouds TV, muigizaji na mtayarishaji wa filamu Patrick Kanumba ameweka wazi kuwa a…
Kupitia kipindi cha #CloudsE kinachorushwa na Clouds TV, muigizaji na mtayarishaji wa filamu Patrick Kanumba ameweka wazi kuwa amefanikiwa kutimiza karibu asilimia 80 ya malengo yake ya mwaka 2025. Amesisitiza…
Wananchi Shinyanga walia sauti za mlipuko kwenye bodaboda, DC atoa maagizo
Katika mkutano wa hadhara unaohusisha usikilizwaji wa kero za wananchi katika Halmashauri ya...
Serikali kuifufua hoteli ya kitalii Musoma, ajira kwa wananchi zamulikwa
Serikali inatarajia kuifufua hoteli ya kitalii ya Musoma ambayo imeacha kufanya kazi kwa zaidi...
Maandamano yatanda Marekani huku utawala wa Trump ukimtetea ajenti wa ICE aliyempiga risasi na kumuua mwanamke
Maandamano makubwa yameenea kote nchini Marekani baada ya wakala wa Idara ya Uhamiaji na Forodha (ICE) kumpiga risasi na kumuua mwanamke huko Minneapolis, huku Makamu wa Rais, JD Vance akitetea…
Stars yapokewa kishujaa Dar
Mamia ya wakazi walijitokeza jana kwa hisia kubwa na furaha kuikaribisha timu ya taifa ya...