Hee! Kumbe Begum hatun ana ajenda yake, Gonja ameshaijua hii siri
Hee! Kumbe Begum hatun ana ajenda yake, Gonja ameshaijua hii siri
Hee! Kumbe Begum hatun ana ajenda yake, Gonja ameshaijua hii siri
đ´JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: JANUARI 08, 2026
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA) imesema inawashikilia raia wa mataifa ya Kenya na Msumbiji kwa tuhuma za kujihusisha na uuzaji wa dawa za kulevya.…
Kupitia kipindi cha Clouds E cha #CloudsTV, @rushaynah_ ambaye ni muigizaji na muandaji wa filamu, ameweka wazi kuwa kiki yake na msanii wa singeli Dullah Makabila ilimletea matatizo mengi. Ameeleza…
Uapisho wa viongozi wote walioteuliwa utafanyika Januari 13, 2026 katika Ikulu ya Chamwino...
"Vijana wanlalamika hawapati taarifa sahihi kuhusu mikopo"- Suleiman Hanzuruni Mvunye - Mkurugenzi wa vijana Ofisi ya Rais. #sentrocloudstv
Wanaume 127 kati ya165 Mkoani Dar es saalaam wamegundulika na ugonjwa wa mabusha baada ya kufanyiwa uchunguzi wa awali wa ugonjwa huo ambapo watu 27 wamefanyiwa upasuaji bila malipo tangu…
"Mwalimu Julius Nyerere alisema Tanganyika itawasha mwenge wa Uhuru utamulika nje ya Mipaka"-Suleiman Hanzuruni Mvunye - Mkurugenzi wa vijana Ofisi ya Rais. #SentroYaCloudstv
Mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini zimesababisha kujaa maji kwenye miundombinu ya reli katika eneo la Gulwe mkoani Dodoma hadi Kidete mkoani Morogoro hali iliyosababisha zaidi ya abiria 1,000 wa…
Wafanyabiashara wadogo nchini wamemuomba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kuangalia kwa kina uwepo wa wingi wa tozo, ukosefu wa mikopo kwa wajasirimali hao pamoja na 'ubabaishaji' katika utolewaji wa vizimba…
Baadhi ya wajasiriamali wa Tanzania wameichangamkia nafasi ya michuano ya AFCON inayoendelea nchini Moroko kwa kuuza kazi mbalimbali za sanaa. Mwenzetu Fatma Abdallah Chikawe akiwa mjini Rabat ametembelea moja ya…
TAARIFA YA HABARI YA USIKU - 08/1/2026
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amesema ataendelea kutumia ulimi wake kuzungumza ili kuzishawishi taasisi za fedha ndani na nje ya nchi, ziipatie fedha Serikali kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali.…
'Natumai kuwa ile kazi inayofanywa kwa dhati kwa ajili ya watu wa Palestina itakuwa na tija na matokeo mazuri ya kudumu ambayo yatamaliza madhila yao,' anasema Emine Erdogan
#Habari: Zaidi ya nyumba mia nne katika Vijiji vinne vilivyopo Kata ya Msangano, wilayani Momba, mkoani Songwe, zimezingirwa na maji baada ya Mto Nkana, kufurika na maji yake kuelekea kwenye…
Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), imepongezwa kwa ubunifu wake katika utekelezaji wa majukumu yake yaliyosababisha mafanikio katika uhifadhi na Utalii nchini. Waziri wa Maliasili…
Rais Samia Suluhu Hassan amemuweka kando aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene. Taarifa ya Ikulu iliyosainiwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, inasema kuwa uteuzi…
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya DCEA imekamata gari lenye muonekano wa basi, huku kwa ndani likiwa limegawanywa mara mbili upande mmoja ukiwa ni basi la abiria…
Mwaka 2025, Libya ilizalisha wastani wa juu zaidi wa mafuta ghafi katika zaidi ya muongo mmoja, na kufikia takriban mapipa milioni 1.37 kwa siku.
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Paul Makonda kuwa Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo. Kabla ya uteuzi huo Makonda alikuwa Naibu Waziri katika wizara hiyo iliyokuwa ikiongozwa na Profesa Paramagamba…
HATIMAYE mechi ya malkia wawili, JKT Queens na Simba Queens imemalizika kwa sare ya 1-1 kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi Dar es Salaam. Mechi hiyo ya raundi ya saba…
Kumbe Fidan aliona bwanađ
đ´MALUMBANOYAHOJA: KAMPENI YA UDHIBITI BIDHAA ZILIZOPITWA NA MUDA. JE, ELIMU INAYOTOLEWA INATOSHA?
"Kwa mwaka huu Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ametenga zaidi ya Bil. 200 ambazo zitawafikia makundi mbalimbali hasa kundi la vijana ili kuweza kupata fursa ya kuwezeshwa"- Suleiman Hanzuruni…
Waaandamanaji walitoa kauli dhidi ya Marekani nje ya ubalozi wao mjini Pretoria
Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi ameteuliwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum). Kabla ya uteuzi huu Mhe. Prof. Kabudi alikuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.…
Zaidi ya shilingi Milioni 196. zimetolewa na Halmashauri ya Wilaya ya Bunda Mkoani Mara kwa vikundi 29 vya wanawake, Vijana na watu wenye ulemavu huku makundi hayo yakitakiwa kuachana na…
Mhe. Patrobas Katambi ameteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi. Kabla ya Uteuzi huu Mhe. Katambi alikuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara. Mhe. Katambi anachukua nafasi ya…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemteua Paul Makonda kuwa Waziri wa habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Kabla ya uteuzi huu, Mhe. Makonda alikuwa Naibu Waziri wa wizara hiyo.
Ijumaa hii tuna jambo letu #bongostarsearch #BSS #NextLevelRevolution
#ALAMA | Hii ndio safari ya #Kingwendu muigizaji na mchekeshaji mkongwe hapa nchini.. Fuatulia kipindi hiki cha #ALAMA kila Alhamisi saa 2:00 usiku kupitia #SinemaZetuHD ukiwa na @sophiamgaz
Miss Grands Tanzania 2025, Beatrice Alex ambaye pia ni balozi wa mchezo wa kubashiri wa Bang...
Somalia inaunga mkono wito wa Saudi Arabia wa kutaka majadiliano mjini Riyadh kama âmchakato sahihi wa kisiasaâ wa kutatua matatizo nchini Yemen, inasema idara ya Uhamiaji ya Somalia
TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU..JANUARI 08, 2026-DCEA YAKAMATA TANI 9 ZA DAWA ZA KULEVYA
Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeanza mazungumzo ya awali na Wizara ya Kilimo na Wizara ya Maji ili kushirikiana kwenye maeneo ambayo wizara hizo zina muingiliano wa kisekta ili kusaidiana…
Ila Mbote na ujasusi wote walimdaka kama kuku đ
Amewataka wananfunzi wanaosoma na watakaosoma katika taaisisi hiyo, watumie fursa hizo kwa...
SELAI PRE AND PRIMARY SCHOOL ni Shule mpya iliyojengwa katika eneo la Mawelewele Kwakilosa, Kata ya Mwangata Manispaa ya Iringa. Shule hii ina mazingira salama, yatakayowezesha kumpa mtoto elimu bora…
Rais wa Jamhuri ya Afrika ya kati Faustin Archange Touadera ameshinda uchaguzi wa muhula wake wa tatu madarakani. Lakini ushindi wake haukuja kama mshangao.
#Habari: Wazee wa Manispaa ya Singida, wameiomba Serikali kuchukua hatua za haraka kuwaondoa wanawake wanaofanya biashara haramu ya kuuza miili yao (madadapoa), wanaofanyia shughuli zao karibu na nyumba za ibada,…
Hali hiyo pia inaweza kufanya nchi kuona uchumi wake haukui katika kiwango kinachotakiwa, jambo...
#HABARI: Kampuni ya michezo ya kubashiri Bangbet kwa ushirikiano na Mixx by Yas leo Desemba 8, wamekabidhi zawadi mbalimbali kwa washindi wa promosheni kubwa ya âNogesha na Bangbetâ, iliyobuniwa kuleta…
Dk Mwigulu amesema Serikali inalichukulia suala hilo kwa uzito na iko tayari kulitatua kwa...
Amesema Serikali imeona huduma nzuri zinazotolewa na wasaidizi wa kisheria hasa kuyafikia...
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya DCEA imekamata kilogamu 9,689.833 za dawa za kulevya, pikipiki kumi na moja, magari matatu pamoja na watuhumiwa 66 wa uhalifu huo.…
Urusi imetoa lawama kali zinazoilaumu Ukraine na washirika wake wa Ulaya, ikiwataja wote kama mhimili wa vita vinavyoendelea huku ikionya kwamba suala la kutuma kikosi cha wanajeshi wa Ulaya nchini…
Wakati mkutano wa kilele wa mawaziri wa ulinzi kutoka eneo la Maziwa Makuu ukifunguliwa nchini Zambia siku ya Alhamisi, Januari 8, sherehe ilifanyika siku hiyo hiyo mashariki mwa DRC kuwaenzi…
Urusi imeiita Ukraine na Washirika wake nchi za Ulaya kama âwachochezi wa vitaâ, ikionya kuwa makubaliano waliyoafikiana jijini Paris kutuma wanajeshi wa kulinda amani huko Kiev ni suala ambalo Moscow…