Ludewa kugeukia kilimo cha ufuta
Zaidi ya wananchi 450 kutoka vijiji vya Tarafa za Masasi na Mwambao wilayani Ludewa, wameanza...
Zaidi ya wananchi 450 kutoka vijiji vya Tarafa za Masasi na Mwambao wilayani Ludewa, wameanza...
Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, imetoa tahadhari kwa wavuvi na...
Muhudumu wa Kasino ya Da Tang, Aisha Kadry (29) amefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo,...
Shirikisho la Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) linapenda kuuarifu umma, Wanachama wake, Washirika, na Wadau kuhusu mabadiliko ya uongozi wa Shirikisho. Tarehe 3 Oktoba 2025, Baraza la Uongozi la TPSF lilimsimamisha…
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imewataka wamiliki wa vyombo vya...
Afrika Kusini imesema haitapinga mpango wenye utata wa serikali ya Washington wa kuwapeleka Marekani raia wazungu walio wachache wa Afrika Kusini.
Mgombea wa urais wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine, amesema kuwa iwapo atapata ridhaa wa wananchi ya kuliongoza taifa hilo, basi atapitia upya mikataba ya mafuta ya nchi hiyo.
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imesema imetenga zaidi ya Bilioni 10 kwa ajili ya kuboresha miundombinu na mazingira ya utoaji elimu na ujifunzaji kwa ajili ya muhula wa…
Japan ni kati ya mataifa ambayo wananchi wake hufanikiwa kuishi miaka mingi na kuufikia uzee hadi wa miaka 84 nakuendelea. Wanafanikiwaje kwenye hili..? @Marcel__Kitabu leo ametupelekea mpaka #KWAWENZETU hawa na…
Bobi Wine mgombea mkuu wa upinzani katika uchaguzi wa kiti cha urais nchini Uganda uliopangwa kufanyika wiki ijayo, amesema kuwa atapitia upya makubaliano yaliyofikiwa kati ya nchi hiyo na makampuni…
Kwa mujibu wa taarifa hiyo Mhashamu Askofu Mteule Lyimo alizaliwa Agosti 20, 1964 ambapo baada...
Maelfu ya wananchi wa wa Colombia wamefanya maandamano nchi nzima kulaani vitisho vya Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya nchi yao kama vile vya kuishambulia kijeshi Venezuela.
Zoezi la kuondolewa watu wa kabila la Wamaasai kutoka kwenye ardhi ya mababu zao Tanzania, kwaajili ya kuwavutia watalii kwenye eneo la kuvutia la Ziwa Natron linawaweka hatarini baadhi ya…
Huyu Karesi bey kuna kitu anakitafuta, Gonja anagundua siri ya Begum hatun. Usikose kutazama OTTOMAN leo usiku kuanzia saa 4:00 usiku. #AzamTWO
Wakazi wa kisiwa cha Greenland wameelezea wasiwasi wao kuhusu nia ya Marekani ya kujimilikisha kisiwa hicho kikubwa katika eneo la Aktiki, huku mijadala kuhusu mamlaka ya kujitawala ardhi hiyo ikipamba…
OFISA Habari wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF), Mohamed Kabwanga, amesema kilichotokea katika maandalizi ya Kombe la Mapinduzi 2026, kimewapa chachu ya kuboresha Ligi Kuu Zanzibar.
#HABARI: Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma 'Mwana FA' amezungumza baada ya kukipokea kikosi cha timu ya Taifa Stars kikitokea nchini Morocco ambapo walikuwa wakishiriki mashindano…
🔴MEZA HURU: MAENDELEO SOKA LA VIJANA- .JANUARI 08 2025
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu Zanzibar, Dk Saada Mkuya Salum amesema maendeleo ya elimu...
Michango kwa bajeti ni kwa mujibu wa Chata ya UN UN kuendelea kutekeleza majukumu inayopatiwa na nchi wanachama UN ina wajibu ya kuhudumia wahitaji
Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa inasema ukuaji wa uchumi duniani unatarajiwa kukua kwa asilimia 2.7 mwaka 2026, kiwango ambacho ni chini kidogo ya asilimia 2.8 iliyokadiriwa mwaka 2025, na…
Huko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, (DRC) ambako walinda amani wa Umoja wa Mataifa kutoka Tanzania wanatekeleza jukumu la ulinzi wa amani, mwaka 2026 umeanza kwa kikao mahsusi…
Safia Jama, mzaliwa wa nchini Somalia na kiongozi wa diaspora anayeishi nchini Uingereza, ametumia zaidi ya miongo miwili kuwaunga mkono wanawake na familia kupitia juhudi zinazoongozwa na jamii. Safari yake…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....JANUARI 08, 2025
#HABARI: Huu ndio msafara wa Taifa Stars mara baada ya kutua nchini ikitokea nchini Morocco kushiriki mashindano ya AFCON 2025 ambapo ilifanikiwa kutinga hatua ya 16 Bora. Powered by #MCHEZOSUPA…
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeeleza kuwa, uchumi wa Tanzania ulikua kwa asilimia 5.9 pungufu...
Hatua ya makundi ya Kombe la Mapinduzi 2026 imehitimishwa juzi Jumanne tukishuhudia vita ya...
Picha zilizotolewa na shirika la habari la hifadhi ya nchi hiyo zilimuonesha sokwe huyo aliyepewa jina la Mafuko mwenye umri wa miaka 22 akiwa amewakumbatia watoto wake.
Zikiwa zimesalia siku sita kwa uchaguzi mkuu kufanyika Uganda, homa ya kisiasa inayoshuhudiwa yaweza kuelezewa kuwa ni kinyang’anyiro cha uongozi kati ya vijana na wazee.
#HABARI Jefferson Kilonzo Mwende (35), raia wa Kenya amekamatwa na Mamlaka ya kudhibiti na Kupambana na dawa za kulevya akiwa na gramu 131.88 za heroin katika operesheni iliyofanyika Sinza C…
Mariam Mgaya- Katibu Mtendaji Taasisi ya Uhamasishaji Uwazi Uwajibikaji katika rasilimali za Madini,Mafuta na Gesi Asilia (TEITI) akizungumzia athari zinazotokana na makampuni kutotoa taarifa kwenye taasisi hiyo. #clouds360
Mambo yanazidi kuchanganya kwa Zein, mama ni kama hamtaki Sara. Usikose THE PRICE leo saa 3:00 usiku #AzamTWO
#VIDEO: Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, ikiwasili nchini kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) ikitokea Morocco, ambako ilishiriki fainali za Kombe la Mataifa ya…
Wakazi wa kijiji cha Makome B katika kata ya Mbawala halmashauri ya wilaya ya Mtwara mkoani Mtwara ambao wanateseka kupata maji ya kunywa na matumizi mengine wameiomba serikali kukamilisha mradi…
"Kwenye miradi mingi ya madini wananchi wengi ambao wanakaa pale wanapewa priority. "Wanapewa ajira kwa wale ambao wana ujuzi au ambao hawana ujuzi watapewa ujuzi au watapewa zile kazi za…
Rais wa Marekani Donald Trump ameamuru Marekani ijiondoe kutoka mashirika 66 ya kimataifa, akisema hayahudumii tena maslahi ya kitaifa ya Marekani.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mheshimiwa Edward Mpogolo amekutana na Wakuu wa shule za Msingi na Sekondari zilizopo ndani ya Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam kwa lengo la…
"Serikali inafanyia kazi kwenye mabadiliko ya sheria ya madini kuna baadhi ya kodi zimeongezwa zingine zimepunguzwa"- Mariam Mgaya- Katibu Mtendaji Taasisi ya Uhamasishaji Uwazi Uwajibikaji katika rasilimali za Madini,Mafuta na…
Naibu Waziri Ofisi ya Rais mipango na uwekezaji Dkt. Pius Chaya, amewataka wawekezaji nchini kuhakikisha wanafuata maelekezo ya serikali kwa kuajiri wataalam wa ndani wenye ujuzi wa miradi inayotekelezwa, ikiwemo…
Serikali imetangaza kuanza utekelezaji wa mkakati wa kubadilisha miundombinu ya maji isiyofaa, kwa lengo la kudhibiti upotevu wa maji na kuboresha huduma kwa wananchi. Aidha, wananchi wametakiwa kutunza na kulinda…
Taarifa ya muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia imesema, Kiongozi wa upande wa Kusini mwa Yemen unaotaka kujitenga, Aidaros Alzubidi amekimbilia Umoja wa Falme za Kiarabu.
Rais wa Marekani, Donald Trump, ameendelea kutawala vichwa vya habari za kimataifa baada ya kufanya mazungumzo ya simu na Rais wa Colombia, Gustavo Petro, siku chache tu baada ya kutoa…
Watumishi wa halmashauri wakiwemo wakurugenzi watendaji na madiwani mkoani Lindi wametakiwa kutumia ipasavyo mafunzo ya uongozi yaliyotolewa kwa madiwani, ili kutatua changamoto za kiuongozi zinazojitokeza katika utekelezaji wa majukumu ya…
Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 imeingia hatua ya robo fainali ya Kombe la...
Mashambulizi ya Urusi ya katika eneo la Dnipropetrovsk nchini Ukraine yamewaacha zaidi ya watu milioni moja bila maji na umeme.
Kitaani kwako kuna Kero ipi⁉️ #clouds360 #LainiYawana #Clouds26Nyoosha
Wizara ya Afya inaendelea kutoa huduma maalum za upasuaji kwa wagonjwa wa mabusha, Katika Kituo cha Afya Kinondoni, Dar es Salaam. Farasi wa #MorningTrumpet amefika kituoni hapo na kuelezwa kuwa,…
Maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani wamewakemea vikali viongozi wa Somalia kufuatia madai ya wizi wa msaada wa chakula na kusitisha programu zote zinazoendelea za msaada wa…
Katika Mkoa wa Mara, amesema wajumbe wawili wanatarajiwa kukutana na walengwa kwa muda wa siku...
Timu ya taifa ya Morocco inaendelea na dhamira ya kutwaa taji la Kombe la Mataifa ya Afrika wakiwa nyumbani, lakini inakabiliwa na shinikizo kubwa kabla ya robo fainali dhidi ya…