Rais Ndayishimiye akosoa matamshi ya Waziri wake kuhusu Qatar
Nchini Burundi, Rais Evariste Ndayishimiye alilazimika kumkemea waziri wake wa mambo ya nje baada ya waziri huyo kutuma ujumbe wa kuikosoa Qatar. Ujumbe huo uliochapishwa kwenye mitandao ya kijamii Jumamosi…