15 wapata ushemasi Moshi, Askofu Minde awapa ujumbe wao na wazazi
Mafrateri 15 wa Jimbo Katoliki Moshi wapata sakramenti ya ushemasi, kanisa lataka waumini...
Mafrateri 15 wa Jimbo Katoliki Moshi wapata sakramenti ya ushemasi, kanisa lataka waumini...
BAADA ya kuifikisha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars katika hatua ya 16 Bora ya michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) 2025 akiwa kama kocha wa mpito, Miguel…
Amesema ushindi huo si wa bahati, bali ni matokeo ya kazi endelevu inayofanywa na taasisi za...
Rais wa mpito wa Venezuela, Delcy Rodríguez, ameomba uhusiano mzuri na wa heshima na Marekani siku ya Jumapili wakati wa mkutano wake wa kwanza wa baraza la mawaziri, akialika Washington…
Serikali kupitia Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao mchanganyiko (COPRA), imetoa bure mbegu za mbaazi tani 2.6 kwa wakulima mkoani Simiyu, ambapo katika msimu wa kilimo wa Mwaka 2025/2026…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA RUVUMA - JANUARI 05, 2026
#HABARI: Zaidi ya majiko banifu 10,000 yamejengwa katika kaya mbalimbali za Wilaya ya Monduli, mkoani Arusha kwa lengo la kuhamasisha matumizi ya nishati safi na kupunguza matumizi ya kuni na…
#TANZIA: Danny Bandezu akiwa kwenye kaburi la marehemu Nizar Muhsin baada ya kukamilika kwa shughuli ya maziko leo Januari 5, 2026 kwenye makaburi ya Mwinyimkuu Magomeni, Dar es Salaam. Bandezu…
Serikali imesema itaendelea kuwekeza katika elimu inayojenga umahiri, ujuzi na maadili kwa...
Mashahidi 117 wanatarajiwa kutoa ushahidi wao mahakamani katika kesi ya kuendesha biashara ya...
Klabu ya Manchester United ya England imemfuta kazi kocha mkuu wa Ruben Amorim, ambaye amekuwa katika nafasi hiyo kwa kipindi cha takribani miezi 14 akiwa Old Trafford. Uamuzi huo umechukuliwa…
Kanuni hizi zinatarajiwa kupunguza idadi ya watoto 20,000 wanaoishi na unene kupita kiasi na kuleta faida za kiafya zenye thamani ya takribani dola bilioni 2.68.
TAIFA Stars imehitimisha safari yake ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) katika hatua ya 16-Bora baada ya kupoteza kwa bao 1-0 dhidi ya timu Na.1 kwa ubora wa barani…
Wizara ya Madini imetangaza kuzuia wamiliki wa kigeni wa migodi nchini kujihusisha na utoaji wa huduma na bidhaa zipatazo ishirini, hatua inayolenga kutoa fursa kwa kampuni za Kitanzania zinazomilikiwa kwa…
Grey’s Anatomy rasmi kupitia AzamONE mzigo unaanza leo Jumatatu Januari 05, 2026. Madaktari wa upasuaji na wasimamizi wao wapo kwenye safari ya kimatibabu, iliyojaa mambo mbalimbali ikiwemo hadithi za kuhuzunisha…
#MEZAHURU”….tunapozungumzia malengo tusipate msukumo kutoka nje, usiingie kuandika malengo yako kwa sababu ya ya kelele za nje, yaani kelele za mitandao, kelele za watu binafsi fanya kutoka ndani..."-Mwalimu Bryson Makena.…
Master Chef ndani ya Azam ONE. Majaji wakuu wa shindano la upishi Australia wana kazi ya kuwapima, kuwachuja na wapishi bora wa nyumbani wenye shauku ya kuwa washindi kupitia shindano…
Mwaka mpya vitu vipya ndani ya AzamONE, MARVEL's THE PUNISHER Baada ya kulipiza kisasi kwa watu waliohusika na vifo vya mkewe na watoto wake, Frank Castle anaendeleza moto dhidi ya…
Shirika la kimataifa la haki za binadamu, Amnesty International, linasema vikosi vya usalama nchini Uganda vimetumia njia za mateso na ukamataji usio wa kisheria kuwatisha wapinzani kuelekea uchaguzi wa Januari…
Wakati mazingira na miundombinu vikiboreshwa, Zanzibar imepanga kusajili miradi isiyopungua 150...
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Shipping Agencies Corporation (TASAC) has cautioned fishermen and water transport operators to take precautions against strong winds and high waves in the Indian Ocean from…
Wanu, ambaye ni mara yake ya kwanza kufika katika taasisi hiyo inayotoa shahada za umahiri na...
Wawekezaji katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) wameongeza utajiri wao kwa Sh6.12...
Amesema baada ya mtuhumiwa kutekeleza mauaji hayo, alikimbia, na Jeshi la Polisi linaendelea...
Ili kutekeleza azma ya Serikali inayolenga kuwezesha matumizi ya tehama katika kujifunzia na...
KIUNGO wa Shamakhi FC, Alphonce Mabula amesema kucheza michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON) akiwa na kikosi cha Taifa Stars kumeanza kumpa uzoefu wa mechi za kimataifa na somo kwenye…
Dodoma. Serikali imefanya marekebisho ya Kanuni za Ushirikishwaji wa Watanzania za mwaka 2018...
MABOSI wa Mashujaa FC ya Kigoma bado wanakuna vichwa kuhusu usajili wa dirisha dogo, huku wakisisitiza kwamba wanasubiri ripoti ya benchi la ufundi ili kuwa na uhakika wa nini kifanyike…
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi UVCCM umeanza Matembezi Maalum ya kuadhimisha kutimia Miaka Siti na Mbili ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya 1964.
#HABARI: Waziri wa Katiba na Sheria, Juma Homera, ameliagiza Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro, kupitia Dawati la Jinsia na Watoto, kumsaka na kumkamata Daniel Simbaulanga, mkazi wa Morogoro, kwa…
KOCHA wa Dodoma Jiji, Aman Josiah amesema timu itafanya mazoezi kwa wiki moja, huku ikiangalia ni mkoa gani ikienda itapata mechi za kirafiki kwa urahisi kabla ya kurejea mechi za…
MSHAMBULIAJI wa Zimamoto ya Zanzibar, Seleman Mgaza ameziingiza vitani timu mbili za maafande wa JKT Tanzania na KMC, ambazo zimeonyesha nia ya kumhitaji katika dirisha hili dogo, huku mazungumzo kati…
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ameliomba Jeshi la Polisi nchini kuyapa kipaumbele makosa ya uhalifu mitandaoni,makosa ya barabarani yanayosababishwa na madereva bodaboda huku akisisitiza amri ya…
#HABARI: Watumishi wawili wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama mkoani Singida—Afisa Utumishi Bw. Eliah Noah Samata na Mhandisi Bw. Innocent Magadula—wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi wa tuhuma za matumizi mabaya ya…
Manchester United mpaka sasa tangu kujiungua kwa Sir Alex Ferguson mpaka sasa imeachana na makocha tisa. Huku na wale makaimu kocha wa muda ikiwa jumla kuu 9. Louis van Gaal…
Watu watatu wa familia moja wamefariki dunia katika eneo la Nyarusura, Manispaa ya Musoma, mkoani Mara, kufuatia ajali ya moto ulioteketeza nyumba yao usiku wa kuamkia leo. Taarifa za awali…
Lengo ni kupanua wigo wa ushiriki wa wazawa na kuongeza manufaa ya moja kwa moja kwa taifa.
#HABARI: Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Katiba na Sheria imetangaza kuanza kwa mchakato wa awamu mpya ya kampeni kabambe ya msaada wa kisheria maarufu kama "Mama Samia Legal Aid…
Zaidi ya wakazi 2000 kutoka Mkoa wa Shinyanga na maeneo ya jirani wanatarajiwa kunufaika na huduma za kibingwa za magonjwa ya pua, koo na masikio, zilizoanza kutolewa leo katika Hospitali…
Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) mkoani Mbeya, kupitia Kituo cha Uendelezaji wa Teknolojia, limezindua mtambo wa kisasa wa kusafisha dhahabu unaolenga kupunguza na hatimaye kuondoa matumizi ya zebaki, kemikali…
DAR ES SALAAM: THE East African Crude Oil Pipeline (EACOP) project, which runs from Uganda to Tanzania, has successfully created more than 10,000 jobs while also equipping citizens with various…
Waziri wa Katiba na Sheria, Juma Homera, ameupongeza Mkoa wa Morogoro kwa kile alichokiita “rekodi safi” ya kudumisha amani, akibainisha kuwa hakuna mkazi hata mmoja wa mkoa huo aliyekamatwa au…
Serikali iko katika hatua za mwisho za kukamilisha Mfumo wa Kidijitali wa Utoaji wa Taarifa na Maoni kuhusu maafa yanayoweza kutokea, pamoja na namna ya kuyakabili kwa haraka na ufanisi.…
Kikao cha familia, hakijawahi kuisha kwa amani 😇
Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba leo Januari 05, 2026 amefungua Skuli ya Sekondari Chukwani, Zanzibar ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. Ujenzi wa…
Jamii ya Waluguru mkoani Morogoro wanatarajia kufanya tambiko la kimila Januari 11, 2026...
Uchaguzi wa Disemba 28 ulifanyika chini ya katiba mpya ambayo iliruhusu viongozi wa jeshi kugombea na kuongeza muda wa utawala wa rais kutoka miaka mitano hadi miaka saba.