Wabunge wa Somalia waapishwa kujiunga na Eala
Hatimaye wabunge tisa kutoka Somalia wameapishwa rasmi kujiunga na Bunge la Afrika Mashariki...
Hatimaye wabunge tisa kutoka Somalia wameapishwa rasmi kujiunga na Bunge la Afrika Mashariki...
SHINYANGA: WATOTO wenye umri wa kuanzia miaka 0 hadi 10 mkoani Shinyanga wanatarajiwa kupatiwa chanjo ya Polio ili kuwazuia kupata virusi vya ugonjwa huo nakuweza kuwaepusha na ulemavu wa kudumu…
Selena Kimathi aliomboleza kifo cha kusikitisha cha mumewe katika shambulio la majambazi, na kumwacha na watoto tisa huko Tigania, kaunti ya Meru.
Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi amesema Serikali inaendelea kushughulikia changamoto za...
#HABARI: Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Mhe. Barke Sehel, amesema kuwa Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuimarisha upatikanaji wa haki kwa wanawake na wasichana ili kufanikisha usawa wa kijinsia.…
DAR City ikiwa katika maandalizi kwa ajili ya Ligi ya Kikapu Africa (BAL) 2026, meneja wa timu hiyo, Simon Joe amesema wanajipanga kufanya makubwa katika mashindano hayo wakilenga kutoa ushindani…
DAR ES SALAAM: SERIKALI imetoa kiasi cha Sh bilioni 4 kuendeleza ujenzi wa jengo la gharofa nne la wodi ya binafsi inayogharimu kiasi cha Sh bilioni 21 Hospitali ya Taifa…
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (Tasac) limewakumbusha wananchi wanaotumia usafiri wa...
Umoja wa Wanasheria wa Pan-Africa (Palu) umeanza hatua za kutetea haki za urithi za wanawake wa...
Kampuni ambazo Serikali ina umiliki wa hisa chache zimetakiwa kujiendesha kwa ufanisi wa...
Rais William Ruto amewakashifu wapinzani ambao wamekuwa wakimdhihaki, na kudai amepunguza uzito. Alikiri, akisema alifanya hivyo ili kuwahudumia Wakenya.
KIPA wa Mashujaa FC, Patrick Munthali ndiye aliyekuwa kinara wa clean sheet akifikisha 12 kwa wazawa msimu uliopita Ligi Kuu Bara, ambapo amezungumzia ugumu wa kuifikia rekodi hiyo.
Mfanyabiashara Bosco Senyonjo na watoto wake wawili wamefariki katika ajali ya barabarani asubuhi, na kumwacha mmoja akijeruhiwa huku polisi wakichunguza chanzo.
ARUSHA: THE Tanzanian government has issued eight strategic directives aimed at improving the performance of companies in which it holds minority shares, as part of efforts to achieve a high…
#HABARI: Mkoa wa Mbeya umekumbwa na hofu baada ya kurejea kwa mtindo wa kinyama wa uporaji kwa kutumia nondo na nyundo, ambapo watu sita wamepoteza maisha katika matukio tofauti. Kati…
Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Mkuti lililopo Halmashauri ya Mji wa Masasi, wamefungua shauri...
Serikali kupitia Wizara ya Maji imesema itaendelea kuhakikisha wananchi wanaozungukwa na mradi...
Wimbi la baadhi ya wananchi kukopa fedha kupitia laini za simu zilizosajiliwa kwa kutumia...
Halmashauri za Wilaya za Ileje na Mbozi mkoani Songwe, zimezindua mpango maalumu wa kuwarejesha...
#HABARI: Wizara ya Katiba na Sheria imezindua rasmi huduma ya “Sema na Waziri” Machi 17, 2026, inayolenga kuwasaidia wananchi kuwasilisha changamoto zao za kisheria kwa njia ya simu bila malipo.…
#HABARI: Serikali ya Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera inawasaka watuhumiwa sita, wakiwemo wenyeviti wa vitongoji watatu, kwa tuhuma za kuvamia na kuharibu msitu wa Buyanja uliopo Kijiji cha Businde. Mkuu…
Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake ya ACT Wazalendo, Janeth Rithe inadaiwa amekamatwa na Jeshi la...
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MANYARA, MACHI 17, 2026
Taarifa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu wa Israel imesema Benjamin Netanyahu ameamuru kuondolewa...
Wakati Tanzania ikiendelea kujikita katika kuimarisha umahiri wa sekta ya afya, Kamati ya...
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amesema Serikali iko tayari kutoa eneo kwa ajili ya ujenzi wa kituo maalum cha taarifa za maendeleo kitakachoanzishwa na Taasisi ya Vyombo…
Utafutaji wa watu watatu waliopotea kufuatia kuzama kwa jahazi katika Bahari ya Hindi, eneo la...
Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, imewahukumu kifungo cha miaka 20...
Zaidi ya watoto 781,186 wenye umri wa miaka sifuri hadi 10, wanatarajiwa kupatiwa chanjo ya...
Benki ya CRDB imepokea maombi 3,967 kutoka kwa vijana wajasiriamali nchini kupitia mradi wake...
Amesema ikiwa Watanzania watayashika na kuyaendeleza mambo makubwa aliyoyafanya Magufuli...
"Mgeni mualikwa unapoalikwa kwenye sherehe inapendeza utafute kiti cha nyuma kuketi, halafu baadae mhusika atakunyanyua na kukupeleka siti ya mbele," Sylivia Simkoko - Naibu Katibu Saa. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI…
DAR ES SALAAM: THE National Institute of Transport (NIT) has been urged to enhance innovation and strengthen its promotional strategies in order to attract more students, including those from abroad,…
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar, Dk Khalid Salum Mohamed amezindua majaribio ya ushushaji...
DAR ES SALAAM: MRADI wa ujenzi wa jengo la kitega uchumi la Mzizima Towers unaotekelezwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umefikia asilimia 91 ya utekelezaji na…
Maeneo ya kipaumbele yatakayolengwa ni pamoja na nishati jadidifu, maendeleo ya biashara ndogo...
DODOMA: STEMpower has announced the successful installation of its 159th Science, Technology, Engineering, and Mathematics (STEM) center at the Tanzania Community Networks Polytechnic College (TCNPC) in Dodoma. This milestone marks…
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, imeitaka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maalumu kuunga mkono kwa kutoa fedha ili kukamilisha miradi…
"Unapoalikwa mahala lazima uwe na nidhamu, mtu mwingine anaalikwa pahala anakuwa yeye kama ndio mwenyeji jambo hilo halipendezi, unapoalikwa kwenye sherehe ukaenda mikono mitupu haipendezi" Adel Kyarwazi - Mchambuzi Masuala…
CHATO: Retired Director General of the National Security Department, Dr Modestus Kipilimba, has described the late President Dr John Pombe Magufuli as a tireless leader who worked day and night,…
KATAVI: Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamad Hassan Chande amewataka w Watanzania kushirikiana na taasisi za uhifadhi nchini katika uhifadhi wa misitu kuongeza chachu ya maendeleo endelevu kupitia misitu…
ARUSHA; MSAJILI wa Hazina, Nehemiah Mchechu amesema kuwa katika miaka mitano iliyopita uwekezaji wa serikali katika kampuni umeongezeka kutoka Sh bilioni 821 hadi kufikia Sh trilioni 3.6, huku gawio likiongezeka…
DAR ES SALAAM: THE Chief Secretary of the Revolutionary Government of Zanzibar and Tanzanian Ambassador-designate to Saudi Arabia, Zena Ahmed Said, has called on donors from within and outside Tanzania…
KIGOMA; MKUU wa mkoa Kigoma Balozi Simon Sirro amesema kupatikana umeme wa uhakika mkoani Kigoma ni kichocheo cha utekelezaji wa mpango mkakati wa serikali kuufanya mkoa huo kuwa wa kimkakati…
#HABARI: Kada wa Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina, amewashauri viongozi wa Serikali na Watanzania kwa ujumla wake, kuhakikisha Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya…
CHATO: THE Retired Chief of the Defence Forces, Venance Mabeyo, has stated that the late Dr John Pombe Magufuli taught many important lessons in life and leadership, and he believes…
DAR ES SALAAM: THE Parliamentary Standing Committee on Infrastructure has urged Tanzanians to develop a culture of keenly following weather forecasts issued by relevant authorities, to improve and safeguard various…
DAR ES SALAAM: BENKI ya Maendeleo TIB imesaini hati ya makubaliano (MoU) ya miaka minne na Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa, kwa lengo la kuimarisha mifumo…
DAR ES SALAAM: THE Parliamentary Standing Committee on Social Welfare and Development has urged the Ministry of Social Development, Gender, Women, and Special Groups to support by providing funds to…
'Rais Samia kukamilisha ujenzi wa Makumbusho ya Hayati John Pombe Magufuli" Dkt. Emmanuel Nchimbi Makamu wa Rais (Feed generated with FetchRSS)