Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu: Chelsea kuharakisha usajili wa Messi
Chelsea inaweza kuharakisha mipango ya kumsajili winga wa Ufaransa Rayane Messi, 18, kutoka Strasbourg huku Bayern Munich, Barcelona na Paris St-Germain pia zikimtaka. (Teamtalk)
Chelsea inaweza kuharakisha mipango ya kumsajili winga wa Ufaransa Rayane Messi, 18, kutoka Strasbourg huku Bayern Munich, Barcelona na Paris St-Germain pia zikimtaka. (Teamtalk)
#SWALILAKIPIMAJOTO: Kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Tabora kufuta vibali vyote vya uvunaji wa miti ya uchomaji mkaa mpaka utaratibu endelevu wa kutunza mazingira utakapowekwa. Je, Mikoa mingine iige?"
🔴TAARIFA YA HABARI ASUBUHI MACHI 16, 2026
#GIRLSCODE EP 2 :UKWELI AMBAO MABINTI WENGI HAWAJUI KUHUSU MAFANIKIO (Feed generated with FetchRSS)
#CAFCL Wamelala…Sasa watalazimika kushinda angalau 2-0 nyumbani; Je, wataweza!!!?? FT: Esperance 1-0 Al Ahly HT: OC de Safi 0-0 Wydad AC LIVE #AzamSports2HD #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #Esperance #AlAhly #EsperanceAlAhly (Feed generated…
#CAFCL Kule Morocco ni mapumziko hivi sasa kukiwa hakuna bao, wakati Tunisia ni dakika za nyongeza, kuna watu wanapambana kuchomoa…!!! 90+: Esperance 1-0 Al Ahly HT: OC de Safi 0-0…
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania…
#CAFCL 65’: Esperance 0-0 Al Ahly 25’: OC de Safi 0-0 Wydad AC LIVE #AzamSports1HD na #AzamSports2HD #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #Esperance #AlAhly #EsperanceAlAhly (Feed generated with FetchRSS)
#SerieA Wamempiga aliyetoka kumpiga kinara wa ligi….kipimo cha kipigo ni kilekile. FT’: Lazio 1-0 Milan OC Safi vs Wydad inaanza saa 7:00 usiku huu LIVE #AzamSports2HD #LigiKuuItalia #SerieAUpdates #Lazio #Milan…
NBC Premier League, April 05, 2026 ni Mzizima Derby. AzamFC Vs Simba SC. Mchezo huu kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD. #NBCPL #Azamtvsports (Feed generated with FetchRSS)
LICHA ya kushuka dimbani ikiwa na safu kali ya ushambuliaji inayoundwa na washambuliaji hatari wa Ligi Kuu Bara kwa sasa, Depu na Prince Dube, wenye jumla ya mabao 12, Yanga…
Miji makubwa nchini ikiwemo jiji la Arusha, Dodoma na Mwanza yanatarajiwa kuingizwa kwenye mpango wa ujenzi wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na Serikali kupitia Wakala wa Majengo (TBA) kwaajili…
STAA wa zamani wa Simba na Taifa Stars, Shaban Kisiga aliwahi kusema kipaji kinakijua kipaji kingine hata kama wachezaji wanacheza timu tofauti.
“Akili ni mali” – msemo huu unaakisi ubunifu wa kipekee katika Saluni ya Kike iliyoko jijini Dar es Salaam ambayo imejizolea umaarufu kutokana na utofauti wa huduma wanazotoa. Mbali na…
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Solomon Itunda amewataka madereva kuwa mabalozi wa usalama barabarani...
Mashindano ya Quran yamefanyika katika kanda mbalimbali hapa nchini, huku wazazi wakitakiwa kuwalea watoto katika maadili mema ili kuandaa wazalendo watakaoweza kuwa viongozi bora hapo baadaye. Juma Kapipi ametuandalia mkusanyiko…
Nilipoanza mkakati wa kuacha kutia sukari kwenye chai au kahawa, haikuwa kazi nyepesi. Kwa muda...
#HABARI: Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imekagua Kituo cha Kupokea na Kupoza Umeme cha Mpomvu mkoani Geita leo Machi 15, 2026, ili kuona maendeleo ya miradi…
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Solomon Itunda, amewahimiza viongozi wa dini ya Kiislamu kuendelea...
ARUSHA: Meya wa Jiji la Arusha, Maxmillan Iraghye ameutaka Umoja wa Washereheshaji Mkoa wa Arusha (UWAA) kuchangamkia fursa za utalii zilizopo mkoani. Pia ameutaka umoja huo kuacha kujikita katika kusherehesha…
ARUSHA: Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha na Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Cecilia Paresso, ametoa mchango wa mbao zenye thamani ya Sh milioni 2.5…
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imefanya ziara ya ukaguzi katika Kituo cha Kupokea na Kupoza Umeme cha Mpomvu kilichopo mkoani Geita tarehe 15 Machi 2026, ikiwa…
Majeruhi walionusurika katika ajali ya boti iliyouwa saba, wakiwemo watumishi wanne wa idara ya...
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI .. MACHI 15, 2026 - MAWASILIANO YA BARABARA KIGOMA, MIKUMI, YAREJEA
Ijumaa Machi 13, 2026 Mahakama Kuu Dar es Salaam ilitoa uamuzi wa shauri la kupinga Tume ya...
Serikali imekusudia kukihamisha Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) na kutumia eneo hilo kwa...
Serikali imeeleza utayari wake wa kushirikiana kwa karibu na wadau wa sekta binafsi, likiwamo...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameeleza dhamira ya Serikali chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha watanzania hususan vijana, wanapata makazi bora na ya gharama nafuu…
Mpaka sasa vita vya Mashariki ya Kati vinavyohusisha Marekani na Israel dhidi ya Iran...
#HABARI: Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Jerry Silaa, amewaasa waumini wa dini ya Kiislamu kuwalea watoto katika misingi ya kumcha Mungu ili kuwakinga na matendo maovu. Akizungumza katika mashindano…
#HABARI: Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio, ameiagiza Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kuimarisha shughuli za utafutaji wa mafuta na gesi asilia ambazo…
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha na Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Cecilia Daniel Paresso, ametoa mchango wa mbao zenye thamani ya shilingi milioni…
Serikali imesema kuanzia mwisho wa mwezi huu, itaanza kutumia Treni ya Kisasa (SGR) kusafirisha...
#HABARI: Majeruhi wa mwisho kati ya 11 waliosalimika kwenye ajali ya boti katika Ziwa Tanganyika, Bwana Lawi Filemoni, ameruhusiwa leo kutoka Hospitali ya Rufaa Maweni mkoani Kigoma. Bwana Filemoni amerejea…
Timu ya Mbeya City imeshindwa kutamba ikiwa kwenye Uwanja wa Tanzanite Kwaraa uliopo Babati...
Watu wanne wamefariki dunia wilayani Monduli mkoani Arusha kufuatia mvua kubwa zilizosababisha...
#HABARI: Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani wamepongeza hatua ya Serikali kutenga zaidi ya hekari 20,000 katika maeneo matatu kwa ajili ya uanzishaji wa kongani za viwanda.…
Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (ACHRO), imepongeza kukamatwa kwa washukiwa watatu...
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Arusha, Isaac Massawe amesema upofu wa roho umewafanya...
".....jingine ambalo tunaipongeza Serikali kupitia kwako Mheshimiwa Waziri baada ya maboresho kumekuwa na ongezeko kubwa sana la mapato, mapato yameongozeka lakini huduma zinazotolewa Kwa wananchi sasa zimekuwa bora, wanaotumia bandari…
"....tunajua sana changamoto ya chuo hiki na tunafahamu umuhimu wa eneo hili kwa upande wa bandari....maamuzi tumeshafanya na TPA wanaenda kuchukua eneo hili na wao ndio wanaenda kujenga chuo huko…
Timu ya Mbeya City imeshindwa kutamba ikiwa kwenye Uwanja wa Tanzanite Kwaraa uliopo Babati mkoani Manyara, baada ya kukubali kichapo cha mabao 4-1, dhidi ya Singida Black Stars, katika mechi…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MOROGORO, MACHI 15, 2026
Serikali imesema itaendelea kushirikiana na sekta binafsi ili kuhakikisha huduma ya afya kwa wote inapatikana kwa Watanzania kupitia utekelezaji wa mfumo wa Bima ya Afya kwa Wote. Hayo yamesemwa jijini…
KIUNGO mshambuliaji wa JKT Tanzania, Jafary Maneno, amewataja baadhi ya wachezaji wa Ligi Kuu Tanzania Bara anaowakubali na kwamba anajifunza mengi kutoka kwao.