Mechi za mkondo wa pili nusu fainali Ligi ya Mabingwa Afrika kupigwa Jumamosi hii.

Saa 10:00 jioni, Mamelodi Sundowns watakuwa nyumbani wakiwakaribisha Esperance De Tunis.

Katika mechi ya kwan za Mamelodi Sundowns akiwa ugenini alishinda goli moja.
Je, atashinda nje ndani na kutinga fainali? ama Esperance kupindua meza

Saa 4:00 usiku, RS Berkane kuwakaribisha AS FAR.

Katika mechi ya kwanza AS FAR akiwa nyumbani alishinda magoli mawili.

Je, Berkane kupindua meza ama kipigo kuendelea na AS FAR kutinga fainali?

Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii.

#CAFCL #Azamtvsports

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *