Kamati ya Uokoaji na Utafutaji mkoani Geita imetangaza imetanga kufunga shughuli za utafutaji wa mabaki ya vitu kwenye mashimo manne ya mgodi wa Msasa uliopo wilayani Bukombe ambao ulipata ajali ya mashimo yake kutitia.
Ester Sumira amefuatilia taarifa hiyo.
Mhariri | @moseskwindi
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)