Watoto wanne wa familia mbili tofauti za kata ya Kibeta manispaa ya Bukoba wamefariki dunia kufuatia mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo katika manispaa hiyo huku baadhi ya wajasiriamali pia wakiripoti kupata hasara kutokana na biashara zao kuharibiwa na mvua hizo.
Benson Eustace anaeleza zaidi.
Mhariri | @moseskwindi
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)