Wakazi wa Dodoma mpoooooo?
Timu ya wataalamu ya huduma kwa wateja na ufundi ya Azam TV imepiga kambi mkoani kwenu kwa ajili ya kliniki maalumu ya matengenezo ya visimbuzi pamoja na huduma nyingine.
Mnakosaje fursa hii?
Mhariri | @moseskwindi
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)