Rais Samia Suluhu Hassan, amesema taifa linapaswa kujifunza kwa kina kutokana na matukio ya uvunjifu wa amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, akieleza masikitiko makubwa kufuatia yaliyotokea.
Amesisitiza kuwa tukio hilo limeacha majeraha kwa taifa, na kwamba ni wajibu wa kila mdau kuhakikisha hali kama hiyo haijirudii, huku akiahidi kuwa serikali itapitia kwa umakini mapendekezo yote ya tume na kuyafanyia kazi kwa lengo la kuimarisha amani, mshikamano na utawala wa sheria.
#RipotiYaUchunguzi #AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)