Makamu wa Rais, Balozi Emmanuel Nchimbi ameahidi serikali kuboresha huduma za uhamiaji visiwani Zanzibar ili kuchochea na kukuza biashara na uwekezaji sambamba utalii na kubainisha kuwa ongezeko la wageni wanaotembelea nchini lina mchango mkubwa katika maendeleo ya sekta hizo.

Dkt. Nchimbi ameyasema hayo wakati wa ufunguzi wa Ofisi ya Uhamiaji wilaya ya Kati Zanzibar ambao ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 62 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Taarifa ya Mtumwa Saidi.

Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *