#HABARI:Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara, limetolea ufafanuzi juu ya tukio la kifo cha Chacha Ryoba (45), mkulima na mkazi wa Kijiji…#HABARI:Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara, limetolea ufafanuzi juu ya tukio la kifo cha Chacha Ryoba (45), mkulima na mkazi wa Kijiji…

#HABARI:Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara, limetolea ufafanuzi juu ya tukio la kifo cha Chacha Ryoba (45), mkulima na mkazi wa Kijiji cha Kihumbu kilichopo Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara aliyefariki dunia baada ya kudaiwa kupatwa na shambulio la moyo akiwa nyumba ya kulala wageni na mpenzi wake.

Jeshi hilo limesema Mei 12,2026 majira ya saahacha Ryoba aliongozana na mpenzi wake na kukodi chumba kimoja katika nyumba hiyo ya wageni kwa ajili ya kupumzika, wakiwa ndani ya chumba hicho, mpenzi wa Chacha alibaini mabadiliko ya ghafla kwa mwenzake, baada ya kuanza kuishiwa nguvu, hali iliyoambatana na kupumua kwa shida, licha ya jitihada za awali alizofanya, hali yake ilizidi kuwa mbaya na muda mfupi baadaye alifariki dunia.

Aidha, Mwili wa marehemu umefanyiwa uchunguzi wa kitabibu na kubainika kuwa, chanzo cha kifo kimetokana na shambulio la moyo.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *