Katibu wa NEC tikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amewataka wananchi wa Tarime mkoani…Katibu wa NEC tikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amewataka wananchi wa Tarime mkoani…

Katibu wa NEC tikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amewataka wananchi wa Tarime mkoani Mara kulinda amani na kuachana na wanasiasa waliofilisika kisera wenye kuchochea machafuko na kukosa uzalendo kwa Taifa, huku akisema viongozi hao baada ya kuchochea vurugu hujificha wao pamoja na familia zao nje ya nchi jambo linaloonesha kuwa hawana dhamira njema kwa Watanzania.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *